Maandamano ya leo ya CHADEMA yamedhihirisha unafiki wa Watanzania hasa vijana tofauti na Wakenya

Tumia akili ...chadema ni genge la mafisadi na vibaraka wa mafisadi wa ndani na wa nje ya nchi hakuna mzalendo hata mmoja. Nikama zitto kabwe tu.. chama cha chadema hakina tofauti na mchawi....ambaye anajidai mwema kumbe usiku ana wanga ...
Una uhakika na unachonena?
 
Wao waliandamana kupinga finance bill , sisi tumeandamana kupinga utekaji , kwahiyo hamna excuse
Tatizo mmetanguliza wanasiasa misukule ambao mpaka watoto wadogo wanajua ni wehu hao.

Gen z walijiteua wenywe wakaandamana kwa kauli moja ndo maana walifanikiwa.

Mtu kama mbowe wa kutuambia nini sisi tumsikilize??
 
Una uhakika na unachonena?
1000% majuzi tundu lissu kasema kuhusu rushwa ya ccm kwa viongozi wa chadema .... chadema ilikuwa inatumiwa na genge la wahuni na raia feki kina rostam azizi kupinga maendeleo ya nchi yetu chini ya JPM kwa kupigania maslai ya kina rostam azizi kama kupinga kujengwa kwa bwawa la umeme la nyerere hili fisadi rostam na genge lake waendelee kuwakamua watz kwa bei ya juu ya gesi maana walijua kuwa chini ya Jpm bwawa likikamilika bei ya umeme ingeshushwa kwa nusu na kuvuluga ubiashara yao ya kuwanyovya watz kwenye gesi.
 
Tatizo mmetanguliza wanasiasa misukule ambao mpaka watoto wadogo wanajua ni wehu hao.

Gen z walijiteua wenywe wakaandamana kwa kauli moja ndo maana walifanikiwa.

Mtu kama mbowe wa kutuambia nini sisi tumsikilize??
yaani wewe unayetumia jina bandia huwezi jiweka sentensi moja na mbowe
 
1000% majuzi tundu lissu kasema kuhusu rushwa ya ccm kwa viongozi wa chadema .... chadema ilikuwa inatumiwa na genge la wahuni na raia feki kina rostam azizi kupinga maendeleo ya nchi yetu chini ya JPM kwa kupigsnia maslai ya kina rostam azizi kama kupinga kujengwa kwa bwala la umeme la nyerere hili fisadi rostam na genge lake waendelee kuwakamua watz kwa bei ya juu ya gesi maana walijua kuwa chini ya Jpm bwawa likikamilika bei ya umeme ingeshushwa kwa nusu na kuvuluga ubiashara yao ya kuwanyovya watz kwenye gesi.
Huyo jpm alimpigia rostam magoti akamuomba arudi aje awekeze
 
Magufuli alikuwa mjanja sana kwenye mbinu ya kupambana na mafisadi lengo nikurudisha mali alizo pora kisha anamalizwa maana huyo rostam ni jambazi kubwa sana nchini .
 
Vijana wa Kitanzania tofauti na wa Nchini Kenya mahodari sana kuandana na kulalamika kwenye mitandao ya kijamii kuliko kuingia barabarani (Road)

Baada ya Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) leo kuwataka wananchi wa Tanzania hasa vijana kujitokeza kwa wingi kuamndana jijini Dar mwitikio umekuwa hafifu

matokeo yake kaandamana Mwenykiti wa chama hicho Freeman Mbowe na familia yake na baadhi ya viongozi na wanachama wachache wa chama hicho waliojitokeza kwenye maandamano hayo kuthibitiwa na kutiwa nguvuni na Polisi

Ukifuatilia na kusoma jumbe zao kwenye mitandao ya kijamii utadhani kweli vijana hao wako makini na kwamba wanauchungu sana na nchi yao na kwamba wataandamana kumbe utopolo mtupu wanabweka kama mambwa koko

Mbowe leo kajikuta anaandamana yeye na mkewe na mtoto wake na waandishi wa habari vijana wa hovyo wauufwata mkia

Vijana nawasalimu Comasa
Sio kweli watu walianza kudhibitiwa na kutishwa na kukamatwa tangu Alhamisi last week
IMG-20240923-WA0050.jpg
 
Vijana wa Kitanzania tofauti na wa Nchini Kenya mahodari sana kuandana na kulalamika kwenye mitandao ya kijamii kuliko kuingia barabarani (Road)

Baada ya Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) leo kuwataka wananchi wa Tanzania hasa vijana kujitokeza kwa wingi kuamndana jijini Dar mwitikio umekuwa hafifu

matokeo yake kaandamana Mwenykiti wa chama hicho Freeman Mbowe na familia yake na baadhi ya viongozi na wanachama wachache wa chama hicho waliojitokeza kwenye maandamano hayo kuthibitiwa na kutiwa nguvuni na Polisi

Ukifuatilia na kusoma jumbe zao kwenye mitandao ya kijamii utadhani kweli vijana hao wako makini na kwamba wanauchungu sana na nchi yao na kwamba wataandamana kumbe utopolo mtupu wanabweka kama mambwa koko

Mbowe leo kajikuta anaandamana yeye na mkewe na mtoto wake na waandishi wa habari vijana wa hovyo wauufwata mkia

Vijana nawasalimu Comasa
Sio kweli watu walianza kudhibitiwa na kutishwa na kukamatwa tangu Alhamisi last weekView attachment 3104659
 
Magufuli alikuwa mjanja sana kwenye mbinu ya kupambana na mafisadi lengo nikurudisha mali alizo pora kisha anamalizwa maana huyo rostam ni jambazi kubwa sana nchini .
Alirudisha zipi nawakati na kiwanda alifungua cha Taifa gas acha uongo na mpaka leo anakula faida
 
Wameandamana mapolisi. This time jwtz halijajihusisha kabisa na hizi drama
 
Vijana wa Kitanzania tofauti na wa Nchini Kenya mahodari sana kuandana na kulalamika kwenye mitandao ya kijamii kuliko kuingia barabarani (Road)

Baada ya Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) leo kuwataka wananchi wa Tanzania hasa vijana kujitokeza kwa wingi kuamndana jijini Dar mwitikio umekuwa hafifu

matokeo yake kaandamana Mwenykiti wa chama hicho Freeman Mbowe na familia yake na baadhi ya viongozi na wanachama wachache wa chama hicho waliojitokeza kwenye maandamano hayo kuthibitiwa na kutiwa nguvuni na Polisi

Ukifuatilia na kusoma jumbe zao kwenye mitandao ya kijamii utadhani kweli vijana hao wako makini na kwamba wanauchungu sana na nchi yao na kwamba wataandamana kumbe utopolo mtupu wanabweka kama mambwa koko

Mbowe leo kajikuta anaandamana yeye na mkewe na mtoto wake na waandishi wa habari vijana wa hovyo wauufwata mkia

Vijana nawasalimu Comasa
Wanahatarisha maisha kwa watu ambao wapo bize na Simba na Yanga. Ni kuwaacha tu wakipigika kisawasawa watazinduka na kutetea haki zao bila kuhitaji Kiongozi wa kuwasemea.
 
Vijana wa Kitanzania tofauti na wa Nchini Kenya mahodari sana kuandana na kulalamika kwenye mitandao ya kijamii kuliko kuingia barabarani (Road)

Baada ya Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) leo kuwataka wananchi wa Tanzania hasa vijana kujitokeza kwa wingi kuamndana jijini Dar mwitikio umekuwa hafifu

matokeo yake kaandamana Mwenykiti wa chama hicho Freeman Mbowe na familia yake na baadhi ya viongozi na wanachama wachache wa chama hicho waliojitokeza kwenye maandamano hayo kuthibitiwa na kutiwa nguvuni na Polisi

Ukifuatilia na kusoma jumbe zao kwenye mitandao ya kijamii utadhani kweli vijana hao wako makini na kwamba wanauchungu sana na nchi yao na kwamba wataandamana kumbe utopolo mtupu wanabweka kama mambwa koko

Mbowe leo kajikuta anaandamana yeye na mkewe na mtoto wake na waandishi wa habari vijana wa hovyo wauufwata mkia

Vijana nawasalimu Comasa
Si unafiki bali elimu ya uraia kwa vijana wa Kitanzania bado. Pia elimu ya Wakenya ipo juu kwa ujumla hivyo wanajitambua.
 
Sahihi mfano Tanzania ukishindwa maisha mjini waweza kwenda kijijini shamba ardhi iko kibao

Kenya ardhi inahodhiwa na wachache kijana akizaliwa familia maskini maisha yakimshinda mjini hana pa kwenda kusema atalima ale tu walau hamna kila ardhi akikanyaga ina mtu anamiliki
Na hawezi nunua inauzwa kwa bei ya kutisha
Angalia haya maeneo ya Kibera, Mathare hapa ambapo ni kilometres sita toka Nairobi.

Screenshot_20240923_211957_Samsung Internet.jpg

Hakuna Mtanzania Dar es Salaam anayeishi kwenye uchafu kama huu

Screenshot_20240923_212149_Google.jpg
 
Vijana wa Kitanzania tofauti na wa Nchini Kenya mahodari sana kuandana na kulalamika kwenye mitandao ya kijamii kuliko kuingia barabarani (Road)

Baada ya Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) leo kuwataka wananchi wa Tanzania hasa vijana kujitokeza kwa wingi kuamndana jijini Dar mwitikio umekuwa hafifu

matokeo yake kaandamana Mwenykiti wa chama hicho Freeman Mbowe na familia yake na baadhi ya viongozi na wanachama wachache wa chama hicho waliojitokeza kwenye maandamano hayo kuthibitiwa na kutiwa nguvuni na Polisi

Ukifuatilia na kusoma jumbe zao kwenye mitandao ya kijamii utadhani kweli vijana hao wako makini na kwamba wanauchungu sana na nchi yao na kwamba wataandamana kumbe utopolo mtupu wanabweka kama mambwa koko

Mbowe leo kajikuta anaandamana yeye na mkewe na mtoto wake na waandishi wa habari vijana wa hovyo wauufwata mkia

Vijana nawasalimu Comasa
Watanzania sio wajinga.
 
Wanasiasa nawao ni wananchi kama wewe
yaani hii comment yako inaonyesha uwezo wa watanzania wengi ni mdogo sana
Sina uwezo mdogo, ila nmeongea kitu ambacho hakijakufurahisha bila kujali n sahihi au siyo.
Kwahy samia n sawa na wananchi wa kawaida?
 
Back
Top Bottom