AC MILAN NA INTER MILANNionyeshe uwanja wa AC MILAN, INTER MILAN, AS ROMA, LAZIO, HERTHA BERLIN na KAIZER CHIEFS.
Ni kweli hizo timu zinatumia viwanja vya serikali ama viwanja vya majiji ilo najua fika, ila maana yako ya kutolea mfano izo timu zisizomiliki viwanja vyao ni nini hasa, embu dadavua?Nionyeshe uwanja wa AC MILAN, INTER MILAN, AS ROMA, LAZIO, HERTHA BERLIN na KAIZER CHIEFS.
Kama umeelewa mada ni kuonesha uzembe wa YANGA kuwa na Mashabiki wengi lakini hawana uwanja.ni kweli izo timu zinatumia viwanja vya serikali ama viwanja vya majiji ilo najua fika,ila maana yako ya kutolea mfano izo timu zisizomiliki viwanja vyao ni nini hasa,embu dadavua?
Yanga mjitahidi ata mjenge kiwanja cha mazoeziKama umeelewa mada ni kuonesha uzembe wa YANGA kuwa na Mashabiki wengi lakini hawana uwanja.
Ndio nimempa hizo timu ambazo katika nchi watokazo wanaongoza kwa mashabiki mbona hawana viwanja?
Kwa timu zinazomilikiwa na wanachama zenye viwanja hapa duniani ni chache tu, kama Bayern, Madrid, Barca, Dortmund nk.
Timu nyingi zenye umiliki binafsi ndizo hasa hujenga uwanja wake wenyewe.
Mnapochambua kitu, jaribuni kupitia hiki na kile basi hata kidogo ili kuongeza ufahamu wenu.
Ada ya uanachama itatosha kuendesha timu na kujenga uwanja??
Mashabiki wa Simba wanachangia ujenzi wa uwanja bila kujua wanavunja sheria za makampuni. Unawezaje kuchangia ujenzi kitu chenye wanahisa ikiwa ww sio mwanahisa ( SHABIKI TU?).
Kaizer Chiefs Wana moja Kati ya training facility bora kabisa barani Africa. Hizo timu zote ulizozitaja Wana viwanja vya mazoezi, siyo habari ya kutrain Sinza Mara Kigamboni. Chukueni changamoto muifanyie kazi siyo kujificha kwa kutumia hoja za kujifanisha.Nionyeshe uwanja wa AC MILAN, INTER MILAN, AS ROMA, LAZIO, HERTHA BERLIN na KAIZER CHIEFS.
Unaujua uwanja wa Kaunda!?Kama umeelewa mada ni kuonesha uzembe wa YANGA kuwa na Mashabiki wengi lakini hawana uwanja.
Ndio nimempa hizo timu ambazo katika nchi watokazo wanaongoza kwa mashabiki mbona hawana viwanja...
Kila kitu huja kwa mpango wakeTumetia fora sana duniani kwa aina Ile ya kushangilia ubingwa, lakini waliotupongeza wanafahamu kuwa Yanga Haina uwanja wake yenyewe pamoja na kuanzishwa 1935?
Mara nyingine kila Senti ya baada ya uendeshaji wa timu iende kwenye kuwa na uwanja wetu wenyewe, ni aibu kubwa.
Angalau makolo Wana uwanja wa mazoezi . Utopolo yeye hata wa mazoezi hana. Anadandia viwanja vya shule za chekechea wenzake kufanya mazoeziTuoneshe uwanja wa Makolo pia
Kumbe wote hawana,, basi sawaAngalau makolo Wana uwanja wa mazoezi . Utopolo yeye hata wa mazoezi hana. Anadandia viwanja vya shule za chekechea wenzake kufanya mazoezi
Hapa unaongelewa uwanja wa mazoezi au wa mechi?Angalau makolo Wana uwanja wa mazoezi . Utopolo yeye hata wa mazoezi hana. Anadandia viwanja vya shule za chekechea wenzake kufanya mazoezi
Hoja dhaifu sana hiiNionyeshe uwanja wa AC MILAN, INTER MILAN, AS ROMA, LAZIO, HERTHA BERLIN na KAIZER CHIEFS.
Swali la kipumbavu mno......Unaujua uwanja wa Kaunda!?
Wanashare na nani????Hoja dhaifu sana hii
Wale wana shared stadia