Maandamano yale ya Yanga hayafanani na timu isiyokuwa na uwanja wake

Nionyeshe uwanja wa AC MILAN, INTER MILAN, AS ROMA, LAZIO, HERTHA BERLIN na KAIZER CHIEFS.
Huo ni ujinga kwa mtu mwenye akili kujifananisha na asiye na akili. Sababu na mazingira (context) yao ya kutokuwa na viwanja vyao ni tofauti sana na sababu na mazingira ya yanga kukosa uwanja wake. Hatuhitaji ufahari kwenye nyumba ya kukodi, tujenge yetu, watoto wataelewa kwanini hawali nyama kama wakiona baba yao anajenga nyumba ya kwao.
 
Sio aibu yoyote. Wewe hujui hesabu ndo maana unasema hivyo.

Kuna nchi majiji yenyewe yanatenga bajeti kwa ajili ya kujenga viwanja kwa ajili ya timu kubwa za kwenye majiji hayo.

Halafu inaelekea umeathiriwa na utapeli anaofanya Mo pale Simba kuwadanganya eti wachange kujenga uwanja wa kisasa kama wa Mkapa.
Anasa za club bila uwanja wake wenyewe ni sawa na kununua benz na kwenda kulipaki CCM. Kifupi, mwekezaji afikirie kuipatia yanga uwanja sio kutunywesha al-kasusu na kucheza music. Vyote ni muhimu lakini muhimu zaidi ni stadium na vitega uchumi lukuki.
 
Aiseeee Yanga inawaumiza wengi
waoneeni huruma watoto hawa masikini wanaotembea kwa miguu kwenda na kurudi airport hadi kariakoo huku wakiimba njia nzima bila kujua njaa zikianza kuwauma wamuone nani. Hawa hawana uwezo wa kuona mbali wala kujua kuwa kwenye tukio zima kuna watu humo wanatengeneza pesa nyingi sana na uhakika wa kupata chakula. Viongozi wa Simba hakikisheni kuwa furaha yao hiyo haiwi ya muda mfuti na inayotegemea mtu mmoja tu kuweko yanga. Jengeni miundombinu ambayo itasababisha furaha iweko siku zote na wakati wote bila kujali nani yuko yanga leo na kesho., Uwanja na hosteli safi za wachezaji ni moja kati ya miundombinu hiyo.
 
Huo ni ujinga kwa mtu mwenye akili kujifananisha na asiye na akili. Sababu na mazingira (context) yao ya kutokuwa na viwanja vyao ni tofauti sana na sababu na mazingira ya yanga kukosa uwanja wake. Hatuhitaji ufahari kwenye nyumba ya kukodi, tujenge yetu, watoto wataelewa kwanini hawali nyama kama wakiona baba yao anajenga nyumba ya kwao.
Uwanja wa Al ahly uko wapi? Mbona unajitoa ufahamu?? Afrika karibu timu zote hazina viwanja, na kwamba viwanja vinamilikiwa na mashirika au serikali.
 
Nionyeshe uwanja wa AC MILAN, INTER MILAN, AS ROMA, LAZIO, HERTHA BERLIN na KAIZER CHIEFS.
Anaongea asiyoyajua. Ushabiki maandazi wa kitanzania ndivyo ulivyo. Tanzania Mtu akijua jina la mchezaji mmoja anadhani ameshaujua ulimwengu wote wa soka.
 
Siyo uwanja wao hata Kwa umoja wao tafuta hostoria ya huo uwanja wa Milan.
Tusije kulewa kwa ubingwa, Tunataka kusikia Yanga itapaje uwanja wake, sio vinginevyo. Tunataka furaha endelevu sio homa ya vipindi. Timu ikiwa na vitegauchumi vyake kama uwanja, hostel, migahawa, mahotel itapunguza ukali wa utegemezi wa mtu mmoja mwenye roho moja, moyo mmoja na damu nyekundu kama wengine.
 
Waanze kwanza AL AHLY kupata uwanja wao ambao ndio mabingwa mara nyingi wa Afrika.
 
Al-Ahly ni nchi ndani ya nchi, inajiendesha, ina vitega uchumi na utawala murua kabisa. yanga bila Manji/GSM ni bakuli bakuli na wewe. Ni hela ngapi tunapoteza kule Avic town? je, GSM akitukoromea timu itahamia wapi? mimi sio miongoni mwa wanachama wanaofurahia kizuzu na utamu wa banzoka. Lazima tuwe na mkakati madhubuti unaoelezeka na kupimika wa kutafuta uwanja, hostel na hotel kubwa/majengo makubwa/vitegauchumi vya club kutoka kwa michanga/mikopo ya mashariti nafuu/wawekezaji/marafiki nk.
 
Hoja murua kabisa hii
 
Nionyeshe uwanja wa AC MILAN, INTER MILAN, AS ROMA, LAZIO, HERTHA BERLIN na KAIZER CHIEFS.
Mbona hutak kusema kuhusu
Azam , Gwambina., Ihefu , namungo, geita (unajengwa now) ukienda kwa majiran mazembe wana uwanja wao waarabu nao wanavyo ukienda ulaya huko ndiyo siseme Madrid , Barcelona, Manchester united & city, Arsenal wote wanamiliki viwanja
 
Al-Ahly ni nchi ndani ya nchi, inajiendesha, ina vitega uchumi na utawala murua kabisa. yanga bila Manji/GSM ni bakuli bakuli na wewe. Ni hela ngapi tunapoteza kule Avic town? je, GSM akitukoromea timu itahamia wapi? mimi sio miongoni mwa wanachama wanaofurahia kizuzu na utamu wa banzoka. Lazima tuwe na mkakati madhubuti unaoelezeka na kupimika wa kutafuta uwanja, hostel na hotel kubwa/majengo makubwa/vitegauchumi vya club kutoka kwa michanga/mikopo ya mashariti nafuu/wawekezaji/marafiki nk.
Jenga wewe huo uwanja hauja zuiliwa
 
Mbona hutak kusema kuhusu
Azam , Gwambina., Ihefu , namungo, geita (unajengwa now) ukienda kwa majiran mazembe wana uwanja wao waarabu nao wanavyo ukienda ulaya huko ndiyo siseme Madrid , Barcelona, Manchester united & city, Arsenal wote wanamiliki viwanja
Akili fupi sana hizi.
Soma mchango wangu hapo juu. Nimesema wazi timu zinazomilikiwa na watu binafsi au mashirika ndio mara nyingi huwa na viwanja vyao. Lkn zile za wanachama mara chache mno kuwa na Viwanja vyao.

Haya katika hizo kuna timu ya wanachama hapo??
 
Mbona hutak kusema kuhusu
Azam , Gwambina., Ihefu , namungo, geita (unajengwa now) ukienda kwa majiran mazembe wana uwanja wao waarabu nao wanavyo ukienda ulaya huko ndiyo siseme Madrid , Barcelona, Manchester united & city, Arsenal wote wanamiliki viwanja
Waarabu gani wenye viwanja vyao BINAFSI??
 
Back
Top Bottom