Maandamano yale ya Yanga hayafanani na timu isiyokuwa na uwanja wake

Maandamano yale ya Yanga hayafanani na timu isiyokuwa na uwanja wake

Kaangalie ulichokiandika hapo juu
Point ni kwamba hao mnaosema hawana viwanja hizo training centre zao mngekuwa mnamiliki nyinyi mngezifanya ni kwa ajili ya mechi na training.
 
Hii mada nzuri ila watu wameweka ushabiki,wengIna wanaulizia mbona acmilan, inter hawana uwanja. Kwa taarifa inter na ac Milan wanashirikiana kujenga uwanja na hii baada ya kuona mafanikio ya mapato ya timu zilizo na uwanja mwao wenyewe kama Juve na timu za uingereza. Moja ya sababu ya time hizi kukosa viwanja ni kukosa viongozi wenye maono.
 
Maandamano ya Yanga ni sawa na ule msemo wa "maskini akipata......"
hapana sio hivyo, maandamano yale yanasimuliwa watu kuhusu ukubwa wa club ya Yanga Tanzania, East Africa, SADC, Africa na duniani. Sasa inatia simanzi kuona ukubwa kama huu lakini timu inatembeza bakuli kwa miaka yote 80. Yaani viongozi waliopita huko nyuma wanastahili kukatamatwa na kuswekwa ndani kwa walichokiiba yanga.
 
Tumetia fora sana duniani kwa aina Ile ya kushangilia ubingwa, lakini waliotupongeza wanafahamu kuwa Yanga Haina uwanja wake yenyewe pamoja na kuanzishwa 1935?

Mara nyingine kila Senti ya baada ya uendeshaji wa timu iende kwenye kuwa na uwanja wetu wenyewe, ni aibu kubwa.
Yaani ilimradi mkosoe tu..!!! Koloz mwaka huu mnalo
 
Yaani ilimradi mkosoe tu..!!! Koloz mwaka huu mnalo
je, wewe mdau mwenzangu haikukeri sherehe ya siku ya wananchi kuifanyia uwanja wa Taifa? Mapesa yoote ya viingilio na maegesho tunagawana na wengine bila sababu za msingi. Kwenye uwanja wetu tungeliweza kuweka hata shopping mall kuuza vifaa vya michezo na jezo zote. Nilienda pale makao makuu kwenye duka la Yanga unakouza jezi, pale ni walanguzi tu kama walanguzi wengine. Wanunua hukooo na kwenda kuuza pale kwa bei ya chajuu.
 
Maandamano ya Yanga ni sawa na ule msemo wa "maskini akipata......"
Nadhani sio hivyo, maana hata Simba walikaaga misimu 3 bila ubingwa lakini walipokuja kuupata haikuwa kubwa hivi.
 
Yalee maandamano alafu aambiwa timu haina hata kiwanja cha mazoezi kilicho rasmi yaan hutaamini ujue
 
Back
Top Bottom