Maandamano yale ya Yanga hayafanani na timu isiyokuwa na uwanja wake

Another stupid question
Huna unalojua fala wewe, ukute hata uwanja wa Taifa hujawahi ingia mbuzi wewe.

Mi ninayekwambia nafatilia mpira ile kindakindaki, naelewa machokwambia, SAN SIRO una milikiwa na jiji la Milan na hauna uhusiano wowote na hizo timu boya wewe.

Umekaaa ukahisi kujenga uwanja ni kama kukaa kwa shemeji yako hapo Kitunda?? Hata Man City sio wamiliki wa Ule uwanja kama hujui.
 
Jenga wewe huo uwanja hauja zuiliwa
tunachokumbusha sisi ni kuwa, tusije tukatolewa kwenye njia za kupata furaha ya kweli na endelevu kwa kutumia mbinu za kutupatia furaha ya muda na isiyotabirika upatikanaji kwake. Binafsi nimeridhika sana na mchakato huu wa mabadiliko/transformation ya yanga, lakini ninachotamani kukiona mimi ni the Five years Rolling Strategic plan ya yanga ili sote tushiriki kikamilifu katika kupanga na kufanya tathimini ya utekelezaji wa mpango mkakati wa timu. Hatupendi mtu au kundi moja tu ndilo ambalo ndilo linaoamua na kufahamu muelekeo wa klabu yetu.
 
Akili fupi sana hizi.
Soma mchango wangu hapo juu. Nimesema wazi timu zinazomilikiwa na watu binafsi au mashirika ndio mara nyingi huwa na viwanja vyao. Lkn zile za wanachama mara chache mno kuwa na Viwanja vyao.

Haya katika hizo kuna timu ya wanachama hapo??
utetezi gani wa aina hii, hebu tuambia sababu za msingi kwanini timu nyingi za wananchi hazina viwanja vyao, na kwanini yanga isiwe kwenye hizo timu chache za wananchi zenye viwanja? unatetea uzembe na upigaji.
 
tunachokumbusha sisi ni kuwa, tusije tukatolewa kwenye njia za kupata furaha ya kweli na endelevu kwa kutumia mbinu za kutupatia furaha ya muda na isiyotabirika upatikanaji kwake. Binafsi nimeridhika sana na mchakato huu wa mabadiliko/transformation ya yanga, lakini ninachotamani kukiona mimi ni the Five years Rolling Strategic plan ya yanga ili sote tushiriki kikamilifu katika kupanga na kufanya tathimini ya utekelezaji wa mpango mkakati wa timu. Hatupendi mtu au kundi moja tu ndilo ambalo ndilo linaoamua na kufahamu muelekeo wa klabu yetu.
Unalalamika nini kwani transformation imekamilika? si usubiri ndio uhoji, unataka nani awake pesa zake sehemu ambayo structure haijakaa sawa
 
Huna unalojua fala wewe, ukute hata uwanja wa Taifa hujawahi ingia mbuzi wewe.

Mi ninayekwambia nafatilia mpira ile kindakindaki, naelewa machokwambia, SAN SIRO una milikiwa na jiji la Milan na hauna uhusiano wowote na hizo timu boya wewe.

Umekaaa ukahisi kujenga uwanja ni kama kukaa kwa shemeji yako hapo Kitunda?? Hata Man City sio wamiliki wa Ule uwanja kama hujui.
Ardhi ina thamani sana huko majuu, haipo kubwa ya kutosha kujenga viwanja vya mpira na mahitaji yake yote yanayotakiwa. Hapa kwetu ardhi ipo tu bwerere kwa bei ya kutupa kwa ukubwa wowote, nini kimeifanya yanga isiwe na uwanja tangu mwaka 1935. Miaka yote hiyo ni upigaji tu. Hakuna mpango mkakati wa club wa kuonyeshi lini club inatakiwa kuwa wapi kwa njia zipi. This time nop!!! sio oyaoya tena tulizozizoea. Mtu akisikia Aziz Ki anakuja basi imeshatosha kwake bila kujua kuna mfumo gani wa kumsajili Aziz Ki, atalipwaje, atalipwa na nani. Je, GSM akijitoa ghafla kwenye udhamini itakuwaje kwa wachezaji, uongozi na majukumu ya timu.
 
Kaizer Chiefs Wana moja Kati ya training facility bora kabisa barani Africa. Hizo timu zote ulizozitaja Wana viwanja vya mazoezi, siyo habari ya kutrain Sinza Mara Kigamboni. Chukueni changamoto muifanyie kazi siyo kujificha kwa kutumia hoja za kujifanisha.

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Hapo kigamboni si wanalipia?
 
Husijifariji ndugu hao wote kila mmoja ana training centre yake ya kisasa kiasi kwamba kwa hapa bongo mtaomba mchezee mechi. Bora ufute comment yako maana inahalalisha uzembe wa viongozi wa soka.
Kwani uzi unahusu training center?
 
Unalalamika nini kwani transformation imekamilika? si usubiri ndio uhoji, unataka nani awake pesa zake sehemu ambayo structure haijakaa sawa
Hilo ninalikubali, ingawa miaka 85 ya Yanga ni mingi sana kiasi chz kukosa hata strategic plan
 
Maandamano ya Yanga ni sawa na ule msemo wa "maskini akipata......"
 
Angalau makolo Wana uwanja wa mazoezi . Utopolo yeye hata wa mazoezi hana. Anadandia viwanja vya shule za chekechea wenzake kufanya mazoezi
Wanao wa Kaunda mkuu, labda tuseme hauendani na mahitaji ya sasa hivyo ukiwalinganisha na Simba tunaweza kusema wao tangu miaka hiyo walikuwa na uwanja wa mazoezi na kuwatumia, cha kuwapongeza Simba kwamba wao pamoja na kutokuwa na uwanja tangu timu ianzishwe ila wamekuja na nguvu kubwa na kutengeneza uwanja mzuri
 
Huna unalojua fala wewe, ukute hata uwanja wa Taifa hujawahi ingia mbuzi wewe.

Mi ninayekwambia nafatilia mpira ile kindakindaki, naelewa machokwambia, SAN SIRO una milikiwa na jiji la Milan na hauna uhusiano wowote na hizo timu boya wewe.

Umekaaa ukahisi kujenga uwanja ni kama kukaa kwa shemeji yako hapo Kitunda?? Hata Man City sio wamiliki wa Ule uwanja kama hujui.
Povu ni ishara ya udhaifu

Stupid mentality
 
utetezi gani wa aina hii, hebu tuambia sababu za msingi kwanini timu nyingi za wananchi hazina viwanja vyao, na kwanini yanga isiwe kwenye hizo timu chache za wananchi zenye viwanja? unatetea uzembe na upigaji.
Mfumo wetu wa uanachama ni wa hiyari, hauna manufaa kwa timu, ni just a charitable entities tu, not for profit Organization. Wenzetu wametransform kwenda BUSINESS ORIENTED ENTITIES. Hope umenielewa kidogo kwanza hapo....

Haya tunaendelea, sisi majority ni masikini hivyo hatuna uwezo wa kuchangia michango yetu ya kila mwaka let say 10000 tu na hatuwezi lipia hiyo.

Urasimu, yaan viongozi wengi wetu ni wale njaa kali, hawana uwezo wa kusolve ishu bali wanasubiri mapato ya timu wapige cha juu nk.

Kwa uchache timu za wanachama ni ngumu mno kutoboa kuwa na ASSETS mbalimbali bila kubadilisha aina fulani ya UTAWALA na angalau lazima kuwa PREMIUM au PLATINUM members ambao wao watalipia kadi zao za uanachama labda mil 20 kwa mwaka nk. Na hiyo layer ndio inaweza kuamua mustakabali wa timu husika.
We've a long walk bro, sio kirahisi kama mnavyoona nyie.

Nilijaribu kupelekea wazo langu miaka hiyo, kwamba Timu iingie ubia na kampuni kubwa moja wajenge uwanja kwa makubaliano ya miaka hata 20 katika gate collection na name rights nk lkn nikaonekana mtoto miaka hiyo.
 
Ni kweli kabisa, jina la club lenyewe ni mtaji tosha, ndio maana wanaojifanya wafadhili wanazikimbilia hizi timu mbili tu, na hatujiulizi kwanini hawaendi Coastal Union au African sports? Wametajirika sana watu hawa uchwara, lakini maadamu wigo wa wanachama umepanuliwa basi tutapiga kelele hadi makoo yachubuke. Tunahitaji kujua mipango ya club, kinachoingia na kutoka ili tuone kwa pamoja tunakwama wapi. Tunahitaji furaha endelevu (sustainable joy), hata kama ni kuingia mkataba na NSSF, Bank, NHC, watujengee uwanja kisha wakusanye wao gate collections, car parking, migahawa uwanjani na maduka kwa miaka kadhaa hadi pesa yao irudi tufanye hivyo.
 
waoneeni huruma watoto hawa masikini wanaotembea kwa miguu kwenda na kurudi airport hadi kariakoo huku wakiimba njia nzima bila kujua njaa zikianza kuwauma wamuone nani. Hawa hawana uwezo wa kuona mbali wala kujua kuwa kwenye tukio zima kuna watu humo wanatengeneza pesa nyingi sana na uhakika wa kupata chakula. Viongozi wa Simba hakikisheni kuwa furaha yao hiyo haiwi ya muda mfuti na inayotegemea mtu mmoja tu kuweko yanga. Jengeni miundombinu ambayo itasababisha furaha iweko siku zote na wakati wote bila kujali nani yuko yanga leo na kesho., Uwanja na hosteli safi za wachezaji ni moja kati ya miundombinu hiyo.
Kwa hiyo hawakutakiwa kushangilia sababu hawana uwanja wala hostel? Ac Milan na Inter kwa hiyo hawatakiwi kabisa kushangilia na kuzunguka na magari kisa hawana uwanja au labda kwa mtizamo wako Yanga kuzunguka na lile gari kuna wafanya wasifikirie kujenga uwanja?
 
Ungesema training ground yenye kila kitu sawa,ila kiwanja si siyo timu zote zinavyo duniani
 
Back
Top Bottom