Unajisahau tena 😂😂😂😂 sio nyie mnasema Uislamu ulianza toka AdamAccording to Tabari, Aisha was born before Islam emerged.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajisahau tena 😂😂😂😂 sio nyie mnasema Uislamu ulianza toka AdamAccording to Tabari, Aisha was born before Islam emerged.
Child molester Muhammad alimtesa Sana Aisha fikiria Muhammad kauliwa Aisha akiwa na miaka 18 na kabla hajafa Muhammad alipiga biti Kali wake zake ata akifa hakuna kuolewaNarrated `Aisha:
that the Prophet (ﷺ) married her when she was six years old and he consummated his marriage when she was nine years old. Hisham said: I have been informed that `Aisha remained with the Prophet (ﷺ) for nine years (i.e. till his death).
Kwahiyo kama Yesu hana dhambi, sasa zile dhambi alizizibeba kwa ajili yenu baada ya kufufuka zilienda wapi?Hayo maelezo yake nilishayatoa mapema sana nashangaa huelewi chalii angu.
I told you Jesus died because of those sins and laana but alifufuka ( tofauti na wanadamu wengine kuwahi kutokea) na kufufuka kwake ina maana ameyashinda mauti ambayo yanaletwa na dhambi na laana zake. Maelezo haya nimekwambia mapema tu sema kichwa kizito ndugu yangu.
Yesu hana dhambi na wala hazibebi tena, alizibeba na alishazilipia. He is
Kwa hiyo tukubaliane sasa Hadith sio za kuaminika tena tutafute vyanzo vyengine vya hadith preferably GOOGLE au sio?
Mdogo mdogo mnaanza kuingia kwenye mfumo. Taratibu mnaanza kutambua kuwa kuna vitu ni ushetani na kwa hiyo lazima Hadith zitakuwa zinadanganya maana Mtume hawezi kuwa katili namna hiyo au sio?
Sasa tukatae Hadith zote au tuwe tunachagua vya kukubali ktoka kwenye Hadith? Mnatuchanganya sasa. Now tutumie google tu au tuendelee kuleta reference za kwenye Hadith za Sahih Bukhali?
Tukakuuliza,Majibu kutoka kwenye Hadith au Google? Maana Hadith zinasema namna hii mwenye macho na ajionee.
Narrated `Aisha:
that the Prophet (ﷺ) married her when she was six years old and he consummated his marriage when she was nine years old. Hisham said: I have been informed that `Aisha remained with the Prophet (ﷺ) for nine years (i.e. till his death).
حَدَّثَنَا مُعَلَّى بْنُ أَسَدٍ، حَدَّثَنَا وُهَيْبٌ، عَنْ هِشَامِ بْنِ عُرْوَةَ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ عَائِشَةَ، أَنَّ النَّبِيَّ صلى الله عليه وسلم تَزَوَّجَهَا وَهْىَ بِنْتُ سِتِّ سِنِينَ، وَبَنَى بِهَا وَهْىَ بِنْتُ تِسْعِ سِنِينَ. قَالَ هِشَامٌ وَأُنْبِئْتُ أَنَّهَا كَانَتْ عِنْدَهُ تِسْعَ سِنِينَ.
Reference
Sahih al-Bukhari 5134
Book 67, Hadith 70
Vol. 7, Book 62, Hadith 65
Haya ndo yaliyoandikwa kwenye Hadith haya mengine mnasema nyinyi. Ila nafurahi kuona mmetambua kuwa kilichofanyika ni ukatili kiasi kwamba mnatafuta namna ya kukitolea maelezo. Bahati mbaya ni kwamba Sahih Bukhari was the greatest Hadith writer na kumpinga huyu ni kama kupinga Hadith zote za Mtume.
Nimekupa mpaka Reference haya endelea kubisha sasa.
Kwanza Chizi Mwenyewe kabla sijasahau.We chizi kweli mwanangu tunatoka kwenye habari za Mtume unaleta habari za wazungu. Sasa nani kasema kuwa wazungu ndo standard ya ukristu?sisi msingi wetu ni Biblia sio wazungu usichanganye mafaili mzee.
Hapa hata sisi hatuzungumzii Waarabu tunazungumzia Mtume specifically.
Choice your examples and references wisely.
Tukakuuliza,So tumsikilze nani? Tabari au Bukhari? Ni nani ni reliable kati ya hawa wanaopingana maana nilivyofundishwa mimi ni kwamba Sahihi Bukhari ndo greatest story (hadith)teller in Islamic traditions.
Kwa hiyo mmoja hapa muongo au sio?
Na kwakuwa kaandika vitabu vingi itakuwa kadanganya pakubwa sana basi.
Jibu maswali, Onyesha sehemu aalioolalamika wakati anaingiliwa Bi AishaKwenye academic writing tunafundishwa sio kila source inafaa kwa reference. Sisi tumetumia the most reliable source in telling Hadith according to Muslims traditions,wewe source yako ni reliable? Sio kila source watu wapite nayo tu.
Wewe kweli hujitambui ina maana hata kiingereza huelewi. Neno ‘emerged' Maana yake kitu kilikuwepo ila sasa kimeongezeka Ushawidhi na kimekuwa zaidi au kimeibuka zaidi. Kwahiyo Uislamu upo tangu Adam. (Ukibisha tunaenda kweny Dictionary ya kiingereza kwa kiingereza kuangalia maana na mfano mmoja wapo, uone neno Emerge linavyotumika.)Unajisahau tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio nyie mnasema Uislamu ulianza toka Adam
Acha Uongo. Wenzako Wakristo U.S.A wanaoa vibinti vidogo na wanaenda navyo Kanisani na Wazazi wameridhia. Na hao Mabinti wako So Smart kichwani wana akili kushinda hao Wanawake zako unaowataka wa Miaka 18.Child molester Muhammad alimtesa Sana Aisha fikiria Muhammad kauliwa Aisha akiwa na miaka 18 na kabla hajafa Muhammad alipiga biti Kali wake zake ata akifa hakuna kuolewa
Wewe acha kurukaruka, Sheria ya Ndoa ya 1971 ipo na bado haijabadilishwa hadi sasa.Unaweka ma insha na nimeshaweka hukumu imeshatengua huo ujinga wa kuoza watoto
Hukumu kama imewekwa kwa kuwa Kidume Mkristo Mwenzio kamnyanyasa Mkewe hapo sawa.Unaweka ma insha na nimeshaweka hukumu imeshatengua huo ujinga wa kuoza watoto
[emoji23][emoji23][emoji23] Atakujibu Mokit MbishiJamani hapa hebu tuache udini tujiulize hili swali"Kama dunia nzima walibaki watu watatu mpaka hao mabinti wakakosa wa kuwalala mpaka kupelekea kufanya walichokifanya,Je,Ni Nani aliyevujisha hii habari?
Maana kwa Hali ya kawaida sidhani Kama hao mabinti walikuja kusimulia wajukuu zao huo uhaini wao walioufanya ujanani?Sasa Nani katoa Siri?
NB...tafadhali MTU asijibu enzi zile hata nyoka waliongea
Proudly Christian.
Hata wewe unaeza changamsha bongo.[emoji23][emoji23][emoji23] Atakujibu Mokit Mbishi
Walijulikana tu si unajua Mimba ni Miezi 9, sasa miezi yote hiyo walikuwa wanaulizwa hii mimba baba yao ni nani. Baadae walivyojufungua Watoto wakafanana na Lutu, wadau wakajua kumbe mlitenbea na Dingi yenu!!!Hata wewe unaeza changamsha bongo.
Dhambi zinaleta mauti na ndio maana alikufa msalabani kitu ambacho Shetani anapambana kuwaaminisha watu kuwa hakufa so wasimwamini wasiokolewe.Kwahiyo kama Yesu hana dhambi, sasa zile dhambi alizizibeba kwa ajili yenu baada ya kufufuka zilienda wapi?
Acha uongo kuna baadhi ya Source za kuaminika Google tena za Wakristo wenzako wanasema kizazi cha Lutu hakijafutika chote kipo hata leo kinapatikana Jordan huko.Maswqli yako 6 na 7 ni kufuru.
Nikupe kipande cha ushahri. Ukimuomba Mungu akufunulie ufahamu wa maandiko yake Matakatifu atafanya hivyo. Elewa kuwa Moabu na Waamoni walikuja kufutwa baadaye maana uzao wao ulipatikana kupitia matendo haramu. Ingawa Torati ilikuja baadaye sana baada ya Lutu. Zaidi ya miaka 400 lakini dhambi yao ilidumu na walipatilizwa kupitia upanga wa Israeli...
Kwa hiyo we unajua umbo la bi Aisha lilivyokuwa sio? Sasa we jichanganye nenda katafute katoto ka miaka 6 kenye umbo kubwa then waambie watu ujinga huo uone watakavyokugawanya.Tukakuuliza,
Je, kipindi hicho umbo lake ulikuwa unalijua?
Tukauliza tena, unafahamu kama alivunja ungo au la? (Kama hujui kuvunja ungo ni kupata first bleeding(menstruation cycle).
Hadithi inatuambia yeye Bi Aisha alikuwa mwenye Furaha kwenye Ndoa yake, wewe sasa unaumia nini? Au kuna. sehemu Bi aisha alipigwa au alinyanyaswa kijinsia?
Mwenyezi Mungu ni Mkuu, akitaka kitu kinakuwa.
Kwakuwa unang'ang'ania hadithi moja twende nayo sasa huku ukijibu Maswali.
Tutajie na Mwaka aliozaliwa Bi Aisha
Mfuasi WA child molester, mbona umbo tumeweka alikuwa mdogo Sana , ndio maana mnabaka watoto ! Yani wewe unaona umbo ndio ukubwa shame on youTukakuuliza,
Je, kipindi hicho umbo lake ulikuwa unalijua?