Maariv Media Israel : Iran yapokea SU 35 fighter jets, S-400 Air defense System kutoka Russia na laser Anti - drone system silent Hunter" kutoka China

Wanapoke silaha kila uchao ila makamanda wanaoishi Tehran wanauawa hapo hapo mjini. Midomo haisaidii vitani.
Wanajifariji tu taifa ambalo halina hata uwezo wa kutengeneza ndege vita lipambane na Marekani mwenye kila aina ya tech..maongezi ushuzi ya wakalia majamvi.
 
Kama ni kweli Iran anakaribia kuingia Brics ama ni nini hii?
 
Israel akijaribu kuipiga Iran amekwisha. Huu ni mtego ambao Iran anautamani sanaa
Mbona hiyo Israel ilipoushambulia mfumo wa Iran wa kuzuia mabomu, Iran haikujibu, na hiyo Israel haikwisha?

Huko kwao, Ukraine ilikwishaangamiza mitambo 6 ya S 400, mpaka Russia kuikimbizia mbali iliyosalia. Jule Russia hiyo mitambo siyo tu ilishindwa kuzuia drones za Ukraine, bali yenyewe ililipuliwa.
 
Hiyo mitambo ya S 400 ya Urusi, 6 iliangamizwa pale Crimea, mpaka ikamua kuondoa miwili iliyokuwa imesalia.
 
Sasa chief unaishi na matarajio yako au uko ndani ya moja wapo ya hizo state.
Silaha hazinunuliwi kama makontena ya mabakuli kwamba unaagiza tu ukiwa na uhitaji. Niko busy na nina uvivu wa kuandika hapa ila kwa kifupi ni kwamba S-400 wala Su-35 hazijaenda Iran. Wanahitaji si chini ya miaka miwili kuanza kupata Su-35 wakiagiza leo, wanahitaji angalau miaka miwili au mitatu wakisaini S-400. Mpaka mwaka huu hakuna deal lolote kati ya hizo systems mbili ilikuwa imesainiwa.

Russia mwenyewe yuko overwhelmed na matumizi ya hizo silaha frontline kiasi kwamba nchi kadhaa zilizoweka order Urusi zilisitisha kutokana na kuchelewa, kila silaha inaundwa inatumiwa na Urusi vitani. Nyingine sanctions zimechelewesha kutafuta alternatives.

Alafu kampuni za silaha hazifyatui tu kama nguo. Kama hamna order hawaundi, sasa hizo silaha za kwenda Iran wamezipata wapi.
 
Mkuu ndio maana mwanzo nikakwambia je uko ndani ya state moja wapo kati ya hizo kama jibu hapana bado itabaki ni matarajio yako tu kua iran wafanye vile unataka wewe

Jambo la kuwekwa oda ya hizi ndege vita huwezi jua lini na mda gani wameweka order kwa sababu au mawasiliano yao kuhusu ushirikiano na kuhusu hili yaliandaliwa vipi.

Ndio mana hata mwezi April tayari hata wamarekani na hata Israel wakaanza kulisemea hili

Na kumbuka irani mambo yake muhimu ya kijeshi hua sio mtangazaji hovyo.
 
Nasrallah kaenda Iran hawezi kumshambulia Israel kwa kifo cha Nasrallah ikigundulika inaweza chochea vita kamili hivyo ni kweli aliuawa
 
Kutoka kuwashabikia Hamas, baadae Hesbollah na sasa nguvu unaelekea Iran, ikisagwa tunaipambania Chechiniya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…