Maariv Media Israel : Iran yapokea SU 35 fighter jets, S-400 Air defense System kutoka Russia na laser Anti - drone system silent Hunter" kutoka China

Maariv Media Israel : Iran yapokea SU 35 fighter jets, S-400 Air defense System kutoka Russia na laser Anti - drone system silent Hunter" kutoka China

Kuhusu Ukraine Ukraine Hali yake ni mbaya anachezea kichapo cha hatari. Halafu kwa sasa Urusi anajiandaa kuingia vita na Marekani indirect kupitia Iran na tayari keshapokea askari 12000 kutoka Korea kaskani kwajili ya kushika doria Ukraine wakati anamtandika mmarekani.
S 400 haijatumika zaidi ya kutestiwa, hayo madude yamewasubiri NATO wajichanganye wajikute wameingia chakike, hapo ndipo utajuwa S 400 nikitu gani.
 
Silaha hazinunuliwi kama makontena ya mabakuli kwamba unaagiza tu ukiwa na uhitaji. Niko busy na nina uvivu wa kuandika hapa ila kwa kifupi ni kwamba S-400 wala Su-35 hazijaenda Iran. Wanahitaji si chini ya miaka miwili kuanza kupata Su-35 wakiagiza leo, wanahitaji angalau miaka miwili au mitatu wakisaini S-400. Mpaka mwaka huu hakuna deal lolote kati ya hizo systems mbili ilikuwa imesainiwa.

Russia mwenyewe yuko overwhelmed na matumizi ya hizo silaha frontline kiasi kwamba nchi kadhaa zilizoweka order Urusi zilisitisha kutokana na kuchelewa, kila silaha inaundwa inatumiwa na Urusi vitani. Nyingine sanctions zimechelewesha kutafuta alternatives.

Alafu kampuni za silaha hazifyatui tu kama nguo. Kama hamna order hawaundi, sasa hizo silaha za kwenda Iran wamezipata wapi.
Huna tofauti na dereva alietoka veta leo
 
Israel ana access na technology zote za USA 🇺🇸 acha ushamba na kujidanganya unasema Israel ilitwangwa October 1 nani alikufa kwenye kutwangwa??
Iran ilishindwa kumlinda gaidi Ismail Haniya akiwa Tehran unadhan Israel inashindwa kumuua Khamenei!!!
Mpaka watu wafe !? Kitendo cha kupigwa Tu ktk ardhi yako Hiyo tayari ni zaidi ya udhaifu na ni chanzo kamili cha kuwafanya watu waingie vitani
 
Ya zamani mkuu nilikua naitwa Sir John Roberts ila wagalatia wenzangu wakaanza kuniandama sana eti kwanini siisapoti Israel wakati avatar yangu ina jina la kigalatia sasa kwahasira nimemua kumuenzi mwamba Sinwar JF ukitaka unabadilisha tu hamna complications
🤣🤣🤣🤣 Wanaleta udini kwenye siasa
 
Chombo cha habari Maariv kutoka Israel kinaripoti kuwa tayari Iran imepokea silaha za kisasa ikiwemo ndege vita Chapa SU 35 kutoka Russia na air defense system S-400 , Hali kadhalika Iran imepokea kutoka China Laser Anti -drone system. Habari hii pia imeripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari nje ya Israeli.

Haya ni maandalizi kamili ya majibu yatakayotokana na Israel kujibu shambulio la Oktoba 1.
View attachment 3130743View attachment 3130745View attachment 3130746View attachment 3130747
Umoja wa Nchi za Kiarabu (OIC) wametoa msaada gani?
 
The S-400 is an expensive toy as it has terribly failed to prove its usefulness in Ukraine.


 
Hakuna silaha hapo itakayoisaidia Iran kwani silaha zote hizo ni the spent force.
 
Iran hasaidiwi silaha ila ana exchange na mataifa mengine. Zile shahed drones zinazowatungua wayukrein kule Russia zinatoka Iran. Zile ballistic missiles alizowatwanga waisraeli Oktober 1 zinatengenezwa Iran. Kwahiyo Iran kwa sasa anaongeza nguvu na mataifa mengine ili kukabiliana na marekani na NATO ambao wanaisaidia Israel.
Atashangaa
 
Israel anapiga Iran ili iweje. Huo ni ujinga.

Yeye ashughulikie Hezibolaa na Hamasi. Kupiga Iran hakuna faida yeyot

Sidhani kama Wazayuni wataingia katika mtego wa kuivamia Iran. Kwanza baba yao USA kishawakataza. Ufaransa kakataa kuwauzia silaha. Sasa za kuambiwa waongezee na za kwao>
Ile ni propaganda ili Iran aamini yameisha
 
Ndio nakuambia sasa ngoja Trump aingie kesho kutwa jamaa wanaona muda wa kumalizana na Iran ni sasa so anachotafuta ni kutibua ili marekani aingilie. Tutakaopata shida nini sisi kwa taarifa yako wala sio wao. Maana ule mlango bahar wa homz unassfirisha asilimia 20 ya mafuta yote duniani. Wanaofanya biashara ya kusafirisha mizigo nje au kuleta wananielewa hasa muda huu kampuni za meli zilivyopandisha bei ya usafiri. Huu ushabiki maandaz wala hautasaidia chochote ukikosa hela ya kulipia ada wanao.
Kwamba trumpet hakuwahi kuwa rahisi wa marekani
 
Hiyo Taarifa imetolewa na Chombo cha Habri cha Israel Maariv. Huo ni ushahidi kwamba Iran na yale mataifa mengine ya Kiarabu hapo Middle East hawana kitu ambacho Israel hakijui. Tukumbuke Neta aliwahi kusema Hakuna kilichojificha au hakijulikani na hakuna mahali popote Israel hawezi kufika ndani ya mataifa hayo.
Haiwezi Iran 🇮🇷 ndio inaweza imefika mpaka Haifa
 
Back
Top Bottom