Wana mahaba yaliyochanganyika na utumwa achana nao.Kwahyo Israel yeye hatengenezi silaha zake mwenyewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana mahaba yaliyochanganyika na utumwa achana nao.Kwahyo Israel yeye hatengenezi silaha zake mwenyewe?
Wanajifariji tu taifa ambalo halina hata uwezo wa kutengeneza ndege vita lipambane na Marekani mwenye kila aina ya tech..maongezi ushuzi ya wakalia majamvi.Wanapoke silaha kila uchao ila makamanda wanaoishi Tehran wanauawa hapo hapo mjini. Midomo haisaidii vitani.
Kama ni kweli Iran anakaribia kuingia Brics ama ni nini hii?Chombo cha habari Maariv kutoka Israel kinaripoti kuwa tayari Iran imepokea silaha za kisasa ikiwemo ndege vita Chapa SU 35 kutoka Russia na air defense system S-400 , Hali kadhalika Iran imepokea kutoka China Laser Anti -drone system. Habari hii pia imeripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari nje ya Israeli.
Haya ni maandalizi kamili ya majibu yatakayotokana na Israel kujibu shambulio la Oktoba 1.
View attachment 3130743View attachment 3130745View attachment 3130746View attachment 3130747
Yeah, hizo ndiyo changamoto Waebrania wanapaswa kushughulikia.Hezbullah ataiweza wapi hio ni ndoto hivi wamerudisha watu wao North au ndio wamezidi kukimbia nasikia nusu Haifa pia wameisha kimbia
Sasa chief unaishi na matarajio yako au uko ndani ya moja wapo ya hizo state.Siamini hizi source, hesabu haziingii kwa nilivyotarajia.
Mbona hiyo Israel ilipoushambulia mfumo wa Iran wa kuzuia mabomu, Iran haikujibu, na hiyo Israel haikwisha?Israel akijaribu kuipiga Iran amekwisha. Huu ni mtego ambao Iran anautamani sanaa
Hiyo mitambo ya S 400 ya Urusi, 6 iliangamizwa pale Crimea, mpaka ikamua kuondoa miwili iliyokuwa imesalia.Mbona ni kama hizo S-400 zime prove failure pale Crimea kwenye hii vita ya Russia na Ukraine?
Nadhani hapo Russia na China wamefanya business!
Huenda Mashambulizi ya Israel yatatokea ndani ya Iran yenyewe!
Iran haitajua,itakuja kuona matokeo tu ya uharibifu uliofanywa ndani ya maeneo muhimu!
Au anamaanisha kule zenji nako kote ni machoko?Sasa machoko wanauaje wanaume sheikh.
Israel hajawahi kutabirika.Israel akijaribu kuipiga Iran amekwisha. Huu ni mtego ambao Iran anautamani sanaa
Ugaidi, kwani Izaklabin waliweza kumuokowa?.Hahahahaahah [emoji2] ndio magaidi mnavojifariji eh??
Iran imeshindwa kukuokoa Sinwar na mwenzio Nasrallah
Silaha hazinunuliwi kama makontena ya mabakuli kwamba unaagiza tu ukiwa na uhitaji. Niko busy na nina uvivu wa kuandika hapa ila kwa kifupi ni kwamba S-400 wala Su-35 hazijaenda Iran. Wanahitaji si chini ya miaka miwili kuanza kupata Su-35 wakiagiza leo, wanahitaji angalau miaka miwili au mitatu wakisaini S-400. Mpaka mwaka huu hakuna deal lolote kati ya hizo systems mbili ilikuwa imesainiwa.Sasa chief unaishi na matarajio yako au uko ndani ya moja wapo ya hizo state.
Lakini usifanye chikichikichiiWeka ngomaaaa mamamamamamamamamaaaaaa.
Hesabu gani?Siamini hizi source, hesabu haziingii kwa nilivyotarajia.
Mkuu ndio maana mwanzo nikakwambia je uko ndani ya state moja wapo kati ya hizo kama jibu hapana bado itabaki ni matarajio yako tu kua iran wafanye vile unataka weweSilaha hazinunuliwi kama makontena ya mabakuli kwamba unaagiza tu ukiwa na uhitaji. Niko busy na nina uvivu wa kuandika hapa ila kwa kifupi ni kwamba S-400 wala Su-35 hazijaenda Iran. Wanahitaji si chini ya miaka miwili kuanza kupata Su-35 wakiagiza leo, wanahitaji angalau miaka miwili au mitatu wakisaini S-400. Mpaka mwaka huu hakuna deal lolote kati ya hizo systems mbili ilikuwa imesainiwa.
Russia mwenyewe yuko overwhelmed na matumizi ya hizo silaha frontline kiasi kwamba nchi kadhaa zilizoweka order Urusi zilisitisha kutokana na kuchelewa, kila silaha inaundwa inatumiwa na Urusi vitani. Nyingine sanctions zimechelewesha kutafuta alternatives.
Alafu kampuni za silaha hazifyatui tu kama nguo. Kama hamna order hawaundi, sasa hizo silaha za kwenda Iran wamezipata wapi.
Wewe ndio msemaji wa Israel niniIsrael hajawahi kutabirika.
Nasrallah kaenda Iran hawezi kumshambulia Israel kwa kifo cha Nasrallah ikigundulika inaweza chochea vita kamili hivyo ni kweli aliuawaHamna lolote huko Hezbullah hakuna anacho piga hata hao viongozi inawezekana hakuwauwa, sababu alikuwa ananua wanafiki kule Lebanon kwa hio mnafiki anaweza kuwa kala njama na Hezbullah ili Israel apoteze silaha zake kwenye majumba yameisha kuwa evacuated 😄
Mtakuja kushangaa kuona Nasurlah yuko hai na hao makamanda wa Hezbullah kila kitu kinawezekana unapo deal na mnafik, vipi akupe siri wewe asiweze kuwapa siri wengine.
Iran hasaidiwi bali ananunuaKumbe Iran nao weupe tu wanasaidiwa silaha kama Israel!! Mimi nilidhani anajiweza kumbe waapii
Ndugu nadhani hupendi kuelimika, Israel itengeneze F35? kwanini aagize USA.Wewe ni mpuuzi, Jericho III ni silaha ndogo? Hujui kuwa Israel inatengeneza pia f35 zakwake mwenyewe, Israel inauzia silaha hadi nchi kibao za ulaya.
Tuonyeshe kama kanunua au kapewa bureIran hasaidiwi bali ananunua
Lakini israel anasaidiwa kwa kupewa bure na msaada wa bajeti ya kij3shi