superphoto
Member
- Aug 17, 2024
- 51
- 79
S 400 haijatumika zaidi ya kutestiwa, hayo madude yamewasubiri NATO wajichanganye wajikute wameingia chakike, hapo ndipo utajuwa S 400 nikitu gani.Kuhusu Ukraine Ukraine Hali yake ni mbaya anachezea kichapo cha hatari. Halafu kwa sasa Urusi anajiandaa kuingia vita na Marekani indirect kupitia Iran na tayari keshapokea askari 12000 kutoka Korea kaskani kwajili ya kushika doria Ukraine wakati anamtandika mmarekani.
Huna tofauti na dereva alietoka veta leoSilaha hazinunuliwi kama makontena ya mabakuli kwamba unaagiza tu ukiwa na uhitaji. Niko busy na nina uvivu wa kuandika hapa ila kwa kifupi ni kwamba S-400 wala Su-35 hazijaenda Iran. Wanahitaji si chini ya miaka miwili kuanza kupata Su-35 wakiagiza leo, wanahitaji angalau miaka miwili au mitatu wakisaini S-400. Mpaka mwaka huu hakuna deal lolote kati ya hizo systems mbili ilikuwa imesainiwa.
Russia mwenyewe yuko overwhelmed na matumizi ya hizo silaha frontline kiasi kwamba nchi kadhaa zilizoweka order Urusi zilisitisha kutokana na kuchelewa, kila silaha inaundwa inatumiwa na Urusi vitani. Nyingine sanctions zimechelewesha kutafuta alternatives.
Alafu kampuni za silaha hazifyatui tu kama nguo. Kama hamna order hawaundi, sasa hizo silaha za kwenda Iran wamezipata wapi.
Ni kwasababu hawajawahi kuvishuhudiaKuna watu mnapenda vita sio poa
Mrusi Akisha Tia team Hao NATO lazima wakimbie 🤣🤣🤣Labda marekani na washirika wake walale usingizi wa pono waiache israel ipambane peke yake na majahili hayo yanayoisaidia iran zana za kivita
Kama anaitaka sasa sindio alipize what they're waiting for?? 🤣🤣🤣Kwa taarifa yako Israel ndio anaitaka hii vita kuliko iran
Kwani siwamesha itandika Israel mabomu Iran wajaribu mara ngapi ??Iran 🇮🇷 ajaribu aone kilichomtoa kanga manyoya
Mpaka watu wafe !? Kitendo cha kupigwa Tu ktk ardhi yako Hiyo tayari ni zaidi ya udhaifu na ni chanzo kamili cha kuwafanya watu waingie vitaniIsrael ana access na technology zote za USA 🇺🇸 acha ushamba na kujidanganya unasema Israel ilitwangwa October 1 nani alikufa kwenye kutwangwa??
Iran ilishindwa kumlinda gaidi Ismail Haniya akiwa Tehran unadhan Israel inashindwa kumuua Khamenei!!!
🤣🤣🤣🤣 Wanaleta udini kwenye siasaYa zamani mkuu nilikua naitwa Sir John Roberts ila wagalatia wenzangu wakaanza kuniandama sana eti kwanini siisapoti Israel wakati avatar yangu ina jina la kigalatia sasa kwahasira nimemua kumuenzi mwamba Sinwar JF ukitaka unabadilisha tu hamna complications
Mkuu ndio umenunua bando leo au ?Iran 🇮🇷 ajaribu aone kilichomtoa kanga manyoya
Umoja wa Nchi za Kiarabu (OIC) wametoa msaada gani?Chombo cha habari Maariv kutoka Israel kinaripoti kuwa tayari Iran imepokea silaha za kisasa ikiwemo ndege vita Chapa SU 35 kutoka Russia na air defense system S-400 , Hali kadhalika Iran imepokea kutoka China Laser Anti -drone system. Habari hii pia imeripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari nje ya Israeli.
Haya ni maandalizi kamili ya majibu yatakayotokana na Israel kujibu shambulio la Oktoba 1.
View attachment 3130743View attachment 3130745View attachment 3130746View attachment 3130747
AtashangaaIran hasaidiwi silaha ila ana exchange na mataifa mengine. Zile shahed drones zinazowatungua wayukrein kule Russia zinatoka Iran. Zile ballistic missiles alizowatwanga waisraeli Oktober 1 zinatengenezwa Iran. Kwahiyo Iran kwa sasa anaongeza nguvu na mataifa mengine ili kukabiliana na marekani na NATO ambao wanaisaidia Israel.
Israel anapiga Iran ili iweje. Huo ni ujinga.
Yeye ashughulikie Hezibolaa na Hamasi. Kupiga Iran hakuna faida yeyot
Ile ni propaganda ili Iran aamini yameishaSidhani kama Wazayuni wataingia katika mtego wa kuivamia Iran. Kwanza baba yao USA kishawakataza. Ufaransa kakataa kuwauzia silaha. Sasa za kuambiwa waongezee na za kwao>
Kwamba trumpet hakuwahi kuwa rahisi wa marekaniNdio nakuambia sasa ngoja Trump aingie kesho kutwa jamaa wanaona muda wa kumalizana na Iran ni sasa so anachotafuta ni kutibua ili marekani aingilie. Tutakaopata shida nini sisi kwa taarifa yako wala sio wao. Maana ule mlango bahar wa homz unassfirisha asilimia 20 ya mafuta yote duniani. Wanaofanya biashara ya kusafirisha mizigo nje au kuleta wananielewa hasa muda huu kampuni za meli zilivyopandisha bei ya usafiri. Huu ushabiki maandaz wala hautasaidia chochote ukikosa hela ya kulipia ada wanao.
Haiwezi Iran 🇮🇷 ndio inaweza imefika mpaka HaifaHiyo Taarifa imetolewa na Chombo cha Habri cha Israel Maariv. Huo ni ushahidi kwamba Iran na yale mataifa mengine ya Kiarabu hapo Middle East hawana kitu ambacho Israel hakijui. Tukumbuke Neta aliwahi kusema Hakuna kilichojificha au hakijulikani na hakuna mahali popote Israel hawezi kufika ndani ya mataifa hayo.