Maariv Media Israel : Iran yapokea SU 35 fighter jets, S-400 Air defense System kutoka Russia na laser Anti - drone system silent Hunter" kutoka China

Sisi tunataka wamuue ili show ianze
 
Saddam mlisema hivyo kaishia kunyongwa, Gaddafi the same, Haneyah the same, Nusrath the same, Majenerali wa Iran same, hadi ajali fake kwa Rais wa Iran the same, hamshituki tu?
Tunataka arushe makombora Iran kama walivyo rushiwa wao hizo nyengine taarab hatuzitaki kama ajali hata mkuu wamajeshi hapa Kenya alipata ajali na akafa
 
Okay tusiende mbali, Iran kuna Su-35 na S-400???
 
Huna tofauti na dereva alietoka veta leo
Haya maneno mnayotumia kwenye vigodoro hapa sio mahala pake. Nikajua utaonyesha wapi S-400 na Su-35 zimekuwa introduced kwenye vikosi vya Iran
 
Unaposema taifa fake la Mungu wa Kikristo unamaanisha yupo Mungu wa Kikristo ambaye ni tofauti na allah wa kiislam!? Hata hivyo Israel siyo taifa la kikristo, ni la kiyahudi. Hapa ndo wavaa kobazi mnapokosea maana siyo wakristo wote wanaisupport israel, mfano ni hayati JK. Nyerere na hata mimi hapa ni mkristo lkn kamwe siisupport Israel katika hili na mambo mengi tu. Hebu acheni udini kwenye mambo uhai na maisha ya watu. Kwanza hao Iran wenyewe hawamtambui Muhammad ambaye wewe ndo mtume wako, wao wanamtambua Hussein so sijui kama nao mnashare huyo mungu wenu!!!???
 
Tunataka arushe makombora Iran kama walivyo rushiwa wao hizo nyengine taarab hatuzitaki kama ajali hata mkuu wamajeshi hapa Kenya alipata ajali na akafa
Kwani ni lazma arushe makombora? Huenda atatumia mbinu nyingine kulipiza.
 
Kwani ni lazma arushe makombora? Huenda atatumia mbinu nyingine kulipiza.
Ndio udhaifu huo wa israhell Iran 🇮🇷 anangoja majibu ya coward taifa teule asije akaripua sehemu kule Syria akasema kashalipa kisasi
 
Nimefananisha ajali kama unaushahidi wa israhell kumuua rais wa Iran leta tuuone
Kuna vitu vinaitwa circumstantial evidence, ushahidi wa kimazingira, kama makaburu walifanya hilo mwaka 1986 kwa Hayati Samora Machel, na kama wameweza kulipua pagers za wapiganaji wa Hezbullah huko walipo nini kinafanya ugumu kwenye hiyo ajali fake
 
Msululu mrefu kama uliokuwa unaelekea ukraine kuipiga siku tatu,kumbe yalikuwa machuma chakavu
ah ah ah ah,dogo aliyafanya scraper ndani ya muda mfupi
 
Bado umeruka ruka kama bisi kikaangoni sijapinga hizo huja uloleta ingawa sijazitaka nilitaka ulete ushahidi wa rais wao kuuliwa na israhell

Ila kwanza kabla ya kunijibu nijibu kwanza kama unavyodai huyo rais aliuliwa aliuliwa kwa sababu gani labda
 
Haya maneno mnayotumia kwenye vigodoro hapa sio mahala pake. Nikajua utaonyesha wapi S-400 na Su-35 zimekuwa introduced kwenye vikosi vya Iran
We si ndio ulikua mchambuzi kwenye jukwaa la urussi na Ukraine..
Baada ya kuleta vidata data vyako na VI calculation vyako uchwara ukaona maji ya shingo ukakimbia mpk sasa kipanya kabaki mwenyewe ..
Hata huku utakimbia tuh
Nazani tutakutana kwenye jukwaa la vita vya Taiwan
 
Msululu mrefu kama uliokuwa unaelekea ukraine kuipiga siku tatu,kumbe yalikuwa machuma chakavu
ah ah ah ah,dogo aliyafanya scraper ndani ya muda mfupi
Baada ya hapo kabakiwa na majimbo mangapi kwenye nchi yake ,,,.
 
Aah kumbe hizi ndio S-400 na Su-35 zilizopo Iran? Basi sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…