Nyetanyahu kwisha habari yakeLabda marekani na washirika wake walale usingizi wa pono waiache israel ipambane peke yake na majahili hayo yanayoisaidia iran zana za kivita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyetanyahu kwisha habari yakeLabda marekani na washirika wake walale usingizi wa pono waiache israel ipambane peke yake na majahili hayo yanayoisaidia iran zana za kivita
Saddam mlisema hivyo kaishia kunyongwa, Gaddafi the same, Haneyah the same, Nusrath the same, Majenerali wa Iran same, hadi ajali fake kwa Rais wa Iran the same, hamshituki tu?Nyetanyahu kwisha habari yake
Sisi tunataka wamuue ili show ianzeIsrael ana access na technology zote za USA 🇺🇸 acha ushamba na kujidanganya unasema Israel ilitwangwa October 1 nani alikufa kwenye kutwangwa??
Iran ilishindwa kumlinda gaidi Ismail Haniya akiwa Tehran unadhan Israel inashindwa kumuua Khamenei!!!
Ki Vp?Nyetanyahu kwisha habari yake
Tunataka arushe makombora Iran kama walivyo rushiwa wao hizo nyengine taarab hatuzitaki kama ajali hata mkuu wamajeshi hapa Kenya alipata ajali na akafaSaddam mlisema hivyo kaishia kunyongwa, Gaddafi the same, Haneyah the same, Nusrath the same, Majenerali wa Iran same, hadi ajali fake kwa Rais wa Iran the same, hamshituki tu?
Okay tusiende mbali, Iran kuna Su-35 na S-400???Mkuu ndio maana mwanzo nikakwambia je uko ndani ya state moja wapo kati ya hizo kama jibu hapana bado itabaki ni matarajio yako tu kua iran wafanye vile unataka wewe
Jambo la kuwekwa oda ya hizi ndege vita huwezi jua lini na mda gani wameweka order kwa sababu au mawasiliano yao kuhusu ushirikiano na kuhusu hili yaliandaliwa vipi.
Ndio mana hata mwezi April tayari hata wamarekani na hata Israel wakaanza kulisemea hili
Na kumbuka irani mambo yake muhimu ya kijeshi hua sio mtangazaji hovyo.
Hahahah unafananisha Kenya na IranTunataka arushe makombora Iran kama walivyo rushiwa wao hizo nyengine taarab hatuzitaki kama ajali hata mkuu wamajeshi hapa Kenya alipata ajali na akafa
Haya maneno mnayotumia kwenye vigodoro hapa sio mahala pake. Nikajua utaonyesha wapi S-400 na Su-35 zimekuwa introduced kwenye vikosi vya IranHuna tofauti na dereva alietoka veta leo
Unaposema taifa fake la Mungu wa Kikristo unamaanisha yupo Mungu wa Kikristo ambaye ni tofauti na allah wa kiislam!? Hata hivyo Israel siyo taifa la kikristo, ni la kiyahudi. Hapa ndo wavaa kobazi mnapokosea maana siyo wakristo wote wanaisupport israel, mfano ni hayati JK. Nyerere na hata mimi hapa ni mkristo lkn kamwe siisupport Israel katika hili na mambo mengi tu. Hebu acheni udini kwenye mambo uhai na maisha ya watu. Kwanza hao Iran wenyewe hawamtambui Muhammad ambaye wewe ndo mtume wako, wao wanamtambua Hussein so sijui kama nao mnashare huyo mungu wenu!!!???Israel kila kukicha analeta habari oh mara hivi mara hivi sa mbona wao wanasaidiwa na Europe na US pamoja na Warabu, mbona Iran kapiga Israel na US alikuwa anampa warning asiguse . Iran wanaume Israel hawezi gusa Iran, anajua wazi hapo ndio taifa fake la mungu wa kikristo litapotezwa.
Nimefananisha ajali kama unaushahidi wa israhell kumuua rais wa Iran leta tuuoneHahahah unafananisha Kenya na Iran
Kwani ni lazma arushe makombora? Huenda atatumia mbinu nyingine kulipiza.Tunataka arushe makombora Iran kama walivyo rushiwa wao hizo nyengine taarab hatuzitaki kama ajali hata mkuu wamajeshi hapa Kenya alipata ajali na akafa
Ndio udhaifu huo wa israhell Iran 🇮🇷 anangoja majibu ya coward taifa teule asije akaripua sehemu kule Syria akasema kashalipa kisasiKwani ni lazma arushe makombora? Huenda atatumia mbinu nyingine kulipiza.
Kuna vitu vinaitwa circumstantial evidence, ushahidi wa kimazingira, kama makaburu walifanya hilo mwaka 1986 kwa Hayati Samora Machel, na kama wameweza kulipua pagers za wapiganaji wa Hezbullah huko walipo nini kinafanya ugumu kwenye hiyo ajali fakeNimefananisha ajali kama unaushahidi wa israhell kumuua rais wa Iran leta tuuone
Msululu mrefu kama uliokuwa unaelekea ukraine kuipiga siku tatu,kumbe yalikuwa machuma chakavuChombo cha habari Maariv kutoka Israel kinaripoti kuwa tayari Iran imepokea silaha za kisasa ikiwemo ndege vita Chapa SU 35 kutoka Russia na air defense system S-400 , Hali kadhalika Iran imepokea kutoka China Laser Anti -drone system. Habari hii pia imeripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari nje ya Israeli.
Haya ni maandalizi kamili ya majibu yatakayotokana na Israel kujibu shambulio la Oktoba 1.
View attachment 3130743View attachment 3130745View attachment 3130746View attachment 3130747
Bado umeruka ruka kama bisi kikaangoni sijapinga hizo huja uloleta ingawa sijazitaka nilitaka ulete ushahidi wa rais wao kuuliwa na israhellKuna vitu vinaitwa circumstantial evidence, ushahidi wa kimazingira, kama makaburu walifanya hilo mwaka 1986 kwa Hayati Samora Machel, na kama wameweza kulipua pagers za wapiganaji wa Hezbullah huko walipo nini kinafanya ugumu kwenye hiyo ajali fake
We si ndio ulikua mchambuzi kwenye jukwaa la urussi na Ukraine..Haya maneno mnayotumia kwenye vigodoro hapa sio mahala pake. Nikajua utaonyesha wapi S-400 na Su-35 zimekuwa introduced kwenye vikosi vya Iran
Baada ya hapo kabakiwa na majimbo mangapi kwenye nchi yake ,,,.Msululu mrefu kama uliokuwa unaelekea ukraine kuipiga siku tatu,kumbe yalikuwa machuma chakavu
ah ah ah ah,dogo aliyafanya scraper ndani ya muda mfupi
Aah kumbe hizi ndio S-400 na Su-35 zilizopo Iran? Basi sawaWe si ndio ulikua mchambuzi kwenye jukwaa la urussi na Ukraine..
Baada ya kuleta vidata data vyako na VI calculation vyako uchwara ukaona maji ya shingo ukakimbia mpk sasa kipanya kabaki mwenyewe ..
Hata huku utakimbia tuh
Nazani tutakutana kwenye jukwaa la vita vya Taiwan
Saiv niko kwenye mambo mengi baadae nkumbushe nkupe full documentsAah kumbe hizi ndio S-400 na Su-35 zilizopo Iran? Basi sawa
Kwani ni lazma arushe makombora? Huenda atatumia mbinu nyingine kulipiza.