Maariv Media Israel : Iran yapokea SU 35 fighter jets, S-400 Air defense System kutoka Russia na laser Anti - drone system silent Hunter" kutoka China

Maariv Media Israel : Iran yapokea SU 35 fighter jets, S-400 Air defense System kutoka Russia na laser Anti - drone system silent Hunter" kutoka China

Ob
Mbona ni kama hizo S-400 zime prove failure pale Crimea kwenye hii vita ya Russia na Ukraine?
Nadhani hapo Russia na China wamefanya business!
Huenda Mashambulizi ya Israel yatatokea ndani ya Iran yenyewe!
Iran haitajua,itakuja kuona matokeo tu ya uharibifu uliofanywa ndani ya maeneo muhimu!
Haina issue
 
Kumbe Iran nao weupe tu wanasaidiwa silaha kama Israel!! Mimi nilidhani anajiweza kumbe waapii
Iran hasaidiwi silaha ila ana exchange na mataifa mengine. Zile shahed drones zinazowatungua wayukrein kule Russia zinatoka Iran. Zile ballistic missiles alizowatwanga waisraeli Oktober 1 zinatengenezwa Iran. Kwahiyo Iran kwa sasa anaongeza nguvu na mataifa mengine ili kukabiliana na marekani na NATO ambao wanaisaidia Israel.
 
Iran anatafuta justification ya kuingia front direct na Israel ila kwasababu hamna akili hamuwezi elewa.
Hahahahaahah kama wa Quds Ismail kaani yupo wapi??
Uko late sana iran inalilia kusimamisha vita kati ya Israel na Hisbollah maana Israel wameua viongozi wote wa Hisbollah na huyo Ayatollah asipokuwa makini atauawa. Iran hata kumlinda rais wake tu walishindwa
 
Iran hasaidiwi silaha ila ana exchange na mataifa mengine. Zile shahed drones zinazowatungua wayukrein kule Russia zinatoka Iran. Zile ballistic missiles alizowatwanga waisraeli Oktober 1 zinatengenezwa Iran. Kwahiyo Iran kwa sasa anaongeza nguvu na mataifa mengine ili kukabiliana na marekani na NATO ambao wanaisaidia Israel.
Kwahyo Israel yeye hatengenezi silaha zake mwenyewe?
 
Hakuna n

Hakuna nchi dunia hii isionunua silaha na iran inategemea silaha bora toka kwa urusi kwa sababu technology ya iran ibado sana kwa Israel. mkuu msijifariji kwa uongo helicopter iliyomuua rais wa iran ilitengenezwa marekani miaka ya 60. Kwanin iran itumie vifaa vya makumbusho toka marekani kama wana uwezo??
 
Hahahahaahah kama wa Quds Ismail kaani yupo wapi??
Uko late sana iran inalilia kusimamisha vita kati ya Israel na Hisbollah maana Israel wameua viongozi wote wa Hisbollah na huyo Ayatollah asipokuwa makini atauawa. Iran hata kumlinda rais wake tu walishindwa
Aisee wewe ndio upo nyuma sana. Esmail Qaani mbona wamekuonesha juzi hapa Tena ikatangazwa kapata ugonjwa wa mshtuko baada ya kuhojiwa na mamlaka za Iran kuwa anashirikiana na MOSSAD na anatakiwa kujieleza ilikuaje mpaka Nasrallah akauwawa.
 
Hakuna n

Hakuna nchi dunia hii isionunua silaha na iran inategemea silaha bora toka kwa urusi kwa sababu technically ya iran ibado sana kwa Israel mkuu msijifariji kwa uongo helicopter iliyomuua rais wa iran ilitengenezwa marekani miaka ya 60
Iran Bado sana kwa Israel , helicopter iliyomuua Rais wa Iran ilitengenezwa marekani miaka ya 60. Sijakuelewa unazungumzia Marekani au Israeli?
 
Atauawa soon kama sulemani na Fakrizadeh
Netanyahu ndio anatakiwa kuishi kwenye mahandaki maisha yake yote si umeona Jana imemkosa kosa drone nyumbani kwake alikua bustanini angekua ndani sahizi tungekua tunaongea mengine. Na hao ni Hezbollah tu vijana wa Iran sasa unaweza ku assume Iran wenyewe uwezo wao uko je.
 
Kwahyo Israel yeye hatengenezi silaha zake mwenyewe?
Hana huo uwezo anatengeneza silaha ndogo ndogo tu ila silaha nzito na mifumo ya ulinzi anapewa na marekani Tena kwa sababu wale Jewish lobbies kule US Wana ushawishi mkubwa kwa Serikali na ndio kitu waisraeli walicho win kuocontrol serikali ya Marekani ila akija kutokea Rais kichaa hao jamaa hawana chao. Wakimuua JFK kwa kwasababu hiyo hiyo
 
Iran Bado sana kwa Israel , helicopter iliyomuua Rais wa Iran ilitengenezwa marekani miaka ya 60. Sijakuelewa unazungumzia Marekani au Israeli?
Israel ana access na technology zote za USA 🇺🇸 acha ushamba na kujidanganya unasema Israel ilitwangwa October 1 nani alikufa kwenye kutwangwa??
Iran ilishindwa kumlinda gaidi Ismail Haniya akiwa Tehran unadhan Israel inashindwa kumuua Khamenei!!!
 
Haya
Chombo cha habari Maariv kutoka Israel kinaripoti kuwa tayari Iran imepokea silaha za kisasa ikiwemo ndege vita Chapa SU 35 kutoka Russia na air defense system S-400 , Hali kadhalika Iran imepokea kutoka China Laser Anti -drone system. Habari hii pia imeripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari nje ya Israeli.

Haya ni maandalizi kamili ya majibu yatakayotokana na Israel kujibu shambulio la Oktoba 1.
View attachment 3130743View attachment 3130745View attachment 3130746View attachment 3130747
Haya sasa acha inyeshee tujue panapovuja daadekii.
Ila ninachoamini ni kwamba mataifa madogo kama hii yetu tutaumia mno😥😥
 
Hana huo uwezo anatengeneza silaha ndogo ndogo tu ila silaha nzito na mifumo ya ulinzi anapewa na marekani Tena kwa sababu wale Jewish lobbies kule US Wana ushawishi mkubwa kwa Serikali na ndio kitu waisraeli walicho win kuocontrol serikali ya Marekani ila akija kutokea Rais kichaa hao jamaa hawana chao. Wakimuua JFK kwa kwasababu hiyo hiyo
Wewe ni mpuuzi, Jericho III ni silaha ndogo? Hujui kuwa Israel inatengeneza pia f35 zakwake mwenyewe, Israel inauzia silaha hadi nchi kibao za ulaya.
 
Back
Top Bottom