ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Iran 🇮🇷 ajaribu aone kilichomtoa kanga manyoyaYaani Hii Vita Ingelikuwa Ina Refa
Wangeachwa Mtu Mbili tu
Iran Vs Israel shida Mmoja bila Kuwa na Mtu nyuma Yake Hana lolote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iran 🇮🇷 ajaribu aone kilichomtoa kanga manyoyaYaani Hii Vita Ingelikuwa Ina Refa
Wangeachwa Mtu Mbili tu
Iran Vs Israel shida Mmoja bila Kuwa na Mtu nyuma Yake Hana lolote
Haina issueMbona ni kama hizo S-400 zime prove failure pale Crimea kwenye hii vita ya Russia na Ukraine?
Nadhani hapo Russia na China wamefanya business!
Huenda Mashambulizi ya Israel yatatokea ndani ya Iran yenyewe!
Iran haitajua,itakuja kuona matokeo tu ya uharibifu uliofanywa ndani ya maeneo muhimu!
Kumbe Iran nao weupe tu wanasaidiwa silaha kama Israel!! Mimi nilidhani anajiweza kumbe waapiiIsrael akijaribu kuipiga Iran amekwisha. Huu ni mtego ambao Iran anautamani sanaa
Iran anatafuta justification ya kuingia front direct na Israel ila kwasababu hamna akili hamuwezi elewa.Hahahahaahah 😃 ndio magaidi mnavojifariji eh??
Iran imeshindwa kukuokoa Sinwar na mwenzio Nasrallah
Iran hasaidiwi silaha ila ana exchange na mataifa mengine. Zile shahed drones zinazowatungua wayukrein kule Russia zinatoka Iran. Zile ballistic missiles alizowatwanga waisraeli Oktober 1 zinatengenezwa Iran. Kwahiyo Iran kwa sasa anaongeza nguvu na mataifa mengine ili kukabiliana na marekani na NATO ambao wanaisaidia Israel.Kumbe Iran nao weupe tu wanasaidiwa silaha kama Israel!! Mimi nilidhani anajiweza kumbe waapii
Hahahahaahah kama wa Quds Ismail kaani yupo wapi??Iran anatafuta justification ya kuingia front direct na Israel ila kwasababu hamna akili hamuwezi elewa.
Kwahyo Israel yeye hatengenezi silaha zake mwenyewe?Iran hasaidiwi silaha ila ana exchange na mataifa mengine. Zile shahed drones zinazowatungua wayukrein kule Russia zinatoka Iran. Zile ballistic missiles alizowatwanga waisraeli Oktober 1 zinatengenezwa Iran. Kwahiyo Iran kwa sasa anaongeza nguvu na mataifa mengine ili kukabiliana na marekani na NATO ambao wanaisaidia Israel.
Hakuna nchi dunia hii isionunua silaha na iran inategemea silaha bora toka kwa urusi kwa sababu technology ya iran ibado sana kwa Israel. mkuu msijifariji kwa uongo helicopter iliyomuua rais wa iran ilitengenezwa marekani miaka ya 60. Kwanin iran itumie vifaa vya makumbusho toka marekani kama wana uwezo??Iran hasaidiwi silaha ila ana exchange na mataifa mengine. Zile shahed drones zinazowatungua wayukrein kule Russia zinatoka Iran. Zile ballistic missiles alizowatwanga waisraeli Oktober 1 zinatengenezwa Iran. Kwahiyo Iran kwa sasa anaongeza nguvu na mataifa mengine ili kukabiliana na marekani na NATO ambao wanaisaidia Israel.
Aisee wewe ndio upo nyuma sana. Esmail Qaani mbona wamekuonesha juzi hapa Tena ikatangazwa kapata ugonjwa wa mshtuko baada ya kuhojiwa na mamlaka za Iran kuwa anashirikiana na MOSSAD na anatakiwa kujieleza ilikuaje mpaka Nasrallah akauwawa.Hahahahaahah kama wa Quds Ismail kaani yupo wapi??
Uko late sana iran inalilia kusimamisha vita kati ya Israel na Hisbollah maana Israel wameua viongozi wote wa Hisbollah na huyo Ayatollah asipokuwa makini atauawa. Iran hata kumlinda rais wake tu walishindwa
Atauawa soon kama sulemani na FakrizadehAisee wewe ndio upo nyuma sana. Esmail Qaani mbona wamekuonesha juzi hapa Tena ikatangazwa kapata ugonjwa wa mshtuko baada ya kuhojiwa na mamlaka za Iran kuwa anashirikiana na MOSSAD na anatakiwa kujieleza ilikuaje mpaka Nasrallah akauwawa.
Iran Bado sana kwa Israel , helicopter iliyomuua Rais wa Iran ilitengenezwa marekani miaka ya 60. Sijakuelewa unazungumzia Marekani au Israeli?Hakuna n
Hakuna nchi dunia hii isionunua silaha na iran inategemea silaha bora toka kwa urusi kwa sababu technically ya iran ibado sana kwa Israel mkuu msijifariji kwa uongo helicopter iliyomuua rais wa iran ilitengenezwa marekani miaka ya 60
Netanyahu ndio anatakiwa kuishi kwenye mahandaki maisha yake yote si umeona Jana imemkosa kosa drone nyumbani kwake alikua bustanini angekua ndani sahizi tungekua tunaongea mengine. Na hao ni Hezbollah tu vijana wa Iran sasa unaweza ku assume Iran wenyewe uwezo wao uko je.Atauawa soon kama sulemani na Fakrizadeh
Hana huo uwezo anatengeneza silaha ndogo ndogo tu ila silaha nzito na mifumo ya ulinzi anapewa na marekani Tena kwa sababu wale Jewish lobbies kule US Wana ushawishi mkubwa kwa Serikali na ndio kitu waisraeli walicho win kuocontrol serikali ya Marekani ila akija kutokea Rais kichaa hao jamaa hawana chao. Wakimuua JFK kwa kwasababu hiyo hiyoKwahyo Israel yeye hatengenezi silaha zake mwenyewe?
Israel ana access na technology zote za USA 🇺🇸 acha ushamba na kujidanganya unasema Israel ilitwangwa October 1 nani alikufa kwenye kutwangwa??Iran Bado sana kwa Israel , helicopter iliyomuua Rais wa Iran ilitengenezwa marekani miaka ya 60. Sijakuelewa unazungumzia Marekani au Israeli?
Mnapeana taarifa gani? Naona umemtag mwenzio
Mkuu hii id ya zamani au mpya?Israel akijaribu kuipiga Iran amekwisha. Huu ni mtego ambao Iran anautamani sanaa
Haya sasa acha inyeshee tujue panapovuja daadekii.Chombo cha habari Maariv kutoka Israel kinaripoti kuwa tayari Iran imepokea silaha za kisasa ikiwemo ndege vita Chapa SU 35 kutoka Russia na air defense system S-400 , Hali kadhalika Iran imepokea kutoka China Laser Anti -drone system. Habari hii pia imeripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari nje ya Israeli.
Haya ni maandalizi kamili ya majibu yatakayotokana na Israel kujibu shambulio la Oktoba 1.
View attachment 3130743View attachment 3130745View attachment 3130746View attachment 3130747
Wewe ni mpuuzi, Jericho III ni silaha ndogo? Hujui kuwa Israel inatengeneza pia f35 zakwake mwenyewe, Israel inauzia silaha hadi nchi kibao za ulaya.Hana huo uwezo anatengeneza silaha ndogo ndogo tu ila silaha nzito na mifumo ya ulinzi anapewa na marekani Tena kwa sababu wale Jewish lobbies kule US Wana ushawishi mkubwa kwa Serikali na ndio kitu waisraeli walicho win kuocontrol serikali ya Marekani ila akija kutokea Rais kichaa hao jamaa hawana chao. Wakimuua JFK kwa kwasababu hiyo hiyo