Maariv Media Israel : Iran yapokea SU 35 fighter jets, S-400 Air defense System kutoka Russia na laser Anti - drone system silent Hunter" kutoka China

Hiyo Taarifa imetolewa na Chombo cha Habri cha Israel Maariv. Huo ni ushahidi kwamba Iran na yale mataifa mengine ya Kiarabu hapo Middle East hawana kitu ambacho Israel hakijui. Tukumbuke Neta aliwahi kusema Hakuna kilichojificha au hakijulikani na hakuna mahali popote Israel hawezi kufika ndani ya mataifa hayo.
Siyo taarifa ya Siri hiyo. Tofauti na taarifa za Siri za Israel ambazo Iran amezichapisha kuhusu mpango wake wa kuishambulia Iran. Marekani mpaka sasa wanajiuliza Iran amejuaje
 
Mlisemaga hivyo hivyo kuhusu kuingia Lebanon, sasa hivi Taifa teule lina jipigia tuu huko na linaamua nani afe. Hivi yale magaidi ya Hamas yame mteua nani tumpe R. I. P in advance make tuna mambo mengi?
Hamna lolote huko Hezbullah hakuna anacho piga hata hao viongozi inawezekana hakuwauwa, sababu alikuwa ananua wanafiki kule Lebanon kwa hio mnafiki anaweza kuwa kala njama na Hezbullah ili Israel apoteze silaha zake kwenye majumba yameisha kuwa evacuated 😄

Mtakuja kushangaa kuona Nasurlah yuko hai na hao makamanda wa Hezbullah kila kitu kinawezekana unapo deal na mnafik, vipi akupe siri wewe asiweze kuwapa siri wengine.
 
Ni ujinga kuamini eti hizo air defense hazipitiki

Huyo Russua mwenyewe amekuwa akichomwa na vi drone vya Ukraine ambavyo vinaundwa kwa gharama ndooogo kabisa

Jambo lingine ni kwamba, nani anajua aliyemuuwa Nasraan?

Na hicho kifo kilifanywa kwa namna gani, Je, ni jeshi la Israel ndani ya jeshi la Irani..?

Au ni komandoo wa Kiisrael ailiyeingia na kutoka bila kuonwa na Iran?

Ukipata jibu, basi jijibu pia kwamba, bado Iran anachapika vizuri tu hata akiwa na hiyo mitambo
 
Hiyo Taarifa imetolewa na Chombo cha Habri cha Israel Maariv. Huo ni ushahidi kwamba Iran na yale mataifa mengine ya Kiarabu hapo Middle East hawana kitu ambacho Israel hakijui. Tukumbuke Neta aliwahi kusema Hakuna kilichojificha au hakijulikani na hakuna mahali popote Israel hawezi kufika ndani ya mataifa hayo.
Hizo taarifa zipo zaidi ya wiki..sisi wa makete tulizipata kutoka jeshi la Iran..wala siyo siri ili adui ( GAIDI & TAIFA LA SHETANI ) Israel afahamu kuwa kazi ni ngumu.
 
Ila sasa Israel hajatamba kwamba ana kitu gani. Anasubiria H-hour (hitting hr). Ndipo atamshangaza Iran na wenzake. Ila broo; tujue na tukubaliane kwamba vita sio nzuri kabisa. Tuiepuke kila inapowezekana.
 
Siyo taarifa ya Siri hiyo. Tofauti na taarifa za Siri za Israel ambazo Iran amezichapisha kuhusu mpango wake wa kuishambulia Iran. Marekani mpaka sasa wanajiuliza Iran amejuaje
Hahahaa; "Waarabu wa Pemba wanafahamiana kwa vilemba vyao".
 
Hiyo Taarifa imetolewa na Chombo cha Habri cha Israel Maariv. Huo ni ushahidi kwamba Iran na yale mataifa mengine ya Kiarabu hapo Middle East hawana kitu ambacho Israel hakijui. Tukumbuke Neta aliwahi kusema Hakuna kilichojificha au hakijulikani na hakuna mahali popote Israel hawezi kufika ndani ya mataifa hayo.
Kwa hiyo kugundua kuwa Iran at amepokea s35 nayo ni habari .Netanyahu akisema hivyo mara laki moja kuwa anajua kila kitu kinachoondela itasaidia kitu gani
 
Kwa taarifa yako Israel ndio anaitaka hii vita kuliko iran
Usitegemee siku moja Russia kuipiga Israel hiyo Deep State ya Russia imejaa Wazayuni ? hata aliyem-recruit Putin kuongoza Russia ni Roman Abromovic ni Jew Ethnics...endelea na kujifariji na story za msikitini. wenzenu wakati wanawekeza kwenye tech nyie mnakimbilia kununua majamvi ya kubong'olea msikitini.
 
Chombo cha habari Maariv kutoka Israel kinaripoti kuwa tayari Iran imepokea silaha za kisasa ikiwemo ndege vita Chapa SU 35 kutoka Russia na air defense system S-400 , Hali kadhalika Iran imepokea kutoka China Laser Anti -drone system. Habari hii pia imeripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari nje ya Israeli.

Haya ni maandalizi kamili ya majibu yatakayotokana na Israel kujibu shambulio la Oktoba 1.
View attachment 3130743View attachment 3130745View attachment 3130746View attachment 3130747
Wanapoke silaha kila uchao ila makamanda wanaoishi Tehran wanauawa hapo hapo mjini. Midomo haisaidii vitani.
 
Chombo cha habari Maariv kutoka Israel kinaripoti kuwa tayari Iran imepokea silaha za kisasa ikiwemo ndege vita Chapa SU 35 kutoka Russia na air defense system S-400 , Hali kadhalika Iran imepokea kutoka China Laser Anti -drone system. Habari hii pia imeripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari nje ya Israeli.

Haya ni maandalizi kamili ya majibu yatakayotokana na Israel kujibu shambulio la Oktoba 1.
View attachment 3130743View attachment 3130745View attachment 3130746View attachment 3130747
Iran imeshakuwa mkubwa,Israel na USA hawana Cha kumfanya Kwa Sasa kama N.Korea.

Sema wanachoweza Sasa ni kuuana Kwa kuviziana Kwa kutumia snippers na sumu tuu ila conventional warfare wameshafeli.
 
Ni ujinga kuamini eti hizo air defense hazipitiki

Huyo Russua mwenyewe amekuwa akichomwa na vi drone vya Ukraine ambavyo vinaundwa kwa gharama ndooogo kabisa

Jambo lingine ni kwamba, nani anajua aliyemuuwa Nasraan?

Na hicho kifo kilifanywa kwa namna gani, Je, ni jeshi la Israel ndani ya jeshi la Irani..?

Au ni komandoo wa Kiisrael ailiyeingia na kutoka bila kuonwa na Iran?

Ukipata jibu, basi jijibu pia kwamba, bado Iran anachapika vizuri tu hata akiwa na hiyo mitambo
We dogo kumbe akili zako bado ndogo sana we unajua distance ya kutoka Israel mpaa Iran hizo ndege unadhani itakuwa easy zikiwa zinasubiriwa? Usifananishe distance ya Ukraine na Russia afu vidrone sio Fighter aircraft.

Afu Iran mwenyewe ana air defense zake ni nzuri si ajabu bora kuliko za Mrusi. US atafanya kila njia kuzuia F35 zisikose market, anajua wazi hazitoboi Iran.

Watu wengine sijui akili zao wanafikiria tikiti maji ni tango?
 
We dogo kumbe akili zako bado ndogo sana we unajua distance ya kuto Israel mpaa Iran hizo ndege unadhani itakuwa easy zikiwa zinasubiriwa? Usifananishe distance ya Ukraine na Russia afu vidrone sio Fighter aircraft.

Watu wengine sijui akili zao wanafikiria tikiti maji ni tango?
Nilidhani unajibu maswali kumbe unatoa povu tu

Haya basi umeshinda
 
Kwa hiyo kugundua kuwa Iran at amepokea s35 nayo ni habari .Netanyahu akisema hivyo mara laki moja kuwa anajua kila kitu kinachoondela itasaidia kitu gani
Haisaidii chochote ila majigambo yatapungua na Wasubiri kukutana uwanja wa mapambano ili kieleweke nani zaidi.
 
Watwangane tu...miaka nenda rudi ni kelele tu.
Mkuu; Watatwangana ok. Lakini hata ss huku bongo tutaonja joto ya jiwe - Hatutaishi kwa amani. Hebu fikiria kwa mfano wale ndg. zetu waTz (JW)waliopo pale chini ya UNIFIL (buffer zone).
 
Back
Top Bottom