Wagalatia hawakuuyaka ubia kabisa, walisema tubinafsishe vyote na sio bandariWalitaka vifungu vifanyiwe kazi na serikali imefanyia kazi wakawa hawana sababu ya kupinga mkataba.
Samia ni bonge la kiongozi, bonge la rais. Kathibitisha uwezo wake wa kiuongozi kwenye suala hili la bandari kuingia mkataba mkubwa wa kibiashara.
Waandike waraka mwingine ...KUTUAMBIA WAUMINI....HAYO MAZINGATIO YAO YAMETEKELEZWA KWA % NGAPI....Maoni ya Tec yamezingatiwa vilivyo na kwa ufupi Serikali imewasikiliza, soma waraka vizuri utaelewa tec walitaka nini.
Umethibitisha wapi?...,unamwamini mwanasiasa??....Maoni yao na ya wadau wengine yamezingatiwa kwenye mikataba hii,ni kwa mujibu wa kauli ya Rais Samia. Serikali imetumia kauli ya tafsida kuwa wamejirekebisha, ule wa kwanza waliingizwa chaka.
Acha uongo, walipinga uwekezaji wote wa bandari, walisema bandari isimamiwe na wazawa tu, yatizo wagalatia hawataki kuonekana wameshindwaMaaskofu walisema hawapingi uwekezaji bali ni baadhi ya vipengele kwenye mkataba, vimerekebishwa ndio maana wakahudhuria.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Kanisa Catholic Lina Karne zaidi ya 18! Wanaishigi na Wanasiasa wa rangi yeyote Ile!! Awanaga Papara. CCm awajafikisha ata miaka 70! Brazil huko Chama chenye miaka 80+ kilidondoka!! Yes Utawaibisha.ila Haibu yako itakuwa mara billions.Kama walihudhuria basi watakuwa wametenda dhambi hizi:-
*wamesaliti waraka wao waliousoma kwa majuma 6 mfululizo kupinga uwekezaji huo;:-
*wamepofushwa na fedha sh milioni 100 waliopewa hivi karibuni na rais Samia .
*wamedharau waumini wao. Kwann kama wameukubali waraka hawajapeleka mrejesho makanisani kwa majuma 6 kama walivyosoma waraka?
* wamepigwa kijembe cha waziwazi Kwasabb Mrisho Mpoto na makamu wa Rais Philip Mpango wamesikika wakisema "na waliokuwa wanapinga mkataba wa DP World, hivi sasa wanaukubali, wamealikwa na wapo hapa. Hakika kama waliokuwepo hawa TEC wamedhalilika.
Kama hawakuwepo, well and good. Nasubiria waraka wao mpya.
Mimi ni mkatoliki maisha yangu yote ila kwenye suala la mkataba kati ya serikali na DP World nipo upande wa biashara hii yenye lengo la kuinua viwango vya ufanisi pale TPA.Hapo nilipo bold wakati utoaji saini uko live ulikuwa unacomment kishabiki sana nashangaa saa hizi unawatetea TEC😂😂😂View attachment 2789644
THEIR DAYS ARE NUMBERED --hachette.co.ukWagalatia hawakuuyaka ubia kabisa, walisema tubinafsishe vyote na sio bandari
Hakuna takwa la wagala lililofanyiwa kaziNa ikiwa matakwa na matarajio yao na ya Watanzania yamefanyiwa kazi Kuna dhambi gani.
Umefika wakati wa TEC KUDHAULIKA au kuendelea KUHESHIMIKA.......TEC MLIPINGA KABISA LIMKATABA ...., kwenye utiani wa sign mlienda kutafuta nini?...MSIMAMO WENU NI ULE ULE....[Fr Kitima unasubiriwa huku][emoji16]Acha uongo, walipinga uwekezaji wote wa bandari, walisema bandari isimamiwe na wazawa tu, yatizo wagalatia hawataki kuonekana wameshindwa
Sio mihemuko ya kisiasa bali ya kidini, wanachuki sana wagalatiaWalikuwa wanapinga wasichokijua kwa mihemuko ya kisiasa,
😂😂😂Mimi ni mkatoliki maisha yangu yote ila kwenye suala la mkataba kati ya serikali na DP World nipo upande wa biashara hii yenye lengo la kuinua viwango vya ufanisi pale TPA.
Na Wao Wagalatia awanaga Haraka! Lao lazima litimie! Awampigii Magoti yeyote yule. Magufuli Askofu aliemnyanganya Uraia WA Tanzania .ndo aliesoma misaa yake ya MAZISHI! Kanisa Catholic Alina Cha kupoteza Wala Awana any political biass!Hakuna takwa la wagala lililofanyiwa kazi
When in Rome!¡........ this is Catholic church Awana haraka Wala mihemko.Lao mwisho wa Siku litatimia tu!CCM IPO Siku Wata Going to Canossa😁Umefika wakati wa TEC KUDHAULIKA au kuendelea KUHESHIMIKA.......TEC MLIPINGA KABISA LIMKATABA ...., kwenye utiani wa sign mlienda kutafuta nini?...MSIMAMO WENU NI ULE ULE....[Fr Kitima unasubiriwa huku][emoji16]
ThubutuuuNa Wao Wagalatia awanaga Haraka! Lao lazima litimie! Awampigii Magoti yeyote yule. Magufuli Askofu aliemnyanganya Uraia WA Tanzania .ndo aliesoma misaa yake ya MAZISHI! Kanisa Catholic Alina Cha kupoteza Wala Awana any political biass!
CCM ya Tanzania IPO Siku Wata: GO TO CANOSSA😁Utaweza kuwa 30,10,50 Years! Ila yatatimia😁😁 https://www.google.com/url?sa=t&sou...QQFnoECB8QAQ&usg=AOvVaw2SAIGGc3ln94StgC0v5NhYThubutuuu
+ Mkombozi bankNi zile 100m au
Sio kila mvaa kanzu ni muslim wengine ni wasabatoThubutuuu
Kanisa katolic ni zaidi ya ccmWameona hayo marekebisho?