Ndiyo matatizo ya kuwa na rais mke wa tatu haya.Kuna suala la jinsia yake pia.
Usikute anajihisi kuwa anapingwa kwa sababu yeye ni mwanamke.
Rejea kauli zake za kwamba yeye ni mwanamke, mama, n.k.
Pengine ana hicho ki complex cha kujiona anasakamwa kisa jinsia yake na matokeo yake anazidisha kiburi kwa kutumia hisia kuliko akili.
Angekuwa anatumia akili wala asingepata shida kujielezea.
Ukilijua KANISA au msikiti
huwezi beza wanachoshauri ,kanisa duniani nizaidi ya jeshi
Mziki wakanisa ,kamuulize rais DRcongo Kabila ,baada ya kumkataa
Akijikuta anamkabidhi taifa ,mtu asiyesahihi kwake
Ndiyo matatizo ya kuwa na rais mke wa tatu haya.
Kila kitu anaona anadogoshwa na wakewenza, hata kama hawapo.
Aaah, wapi.Magufuli lazima awalinde polisi si alikua anawatuma kudhibiti upinzani ? Huyu mama hakopeshi anawachana kwa sababu hawatumii kama toilet paper
Kwa hivyo unakubali Magufuli aliiba kura na kupanga wabunge?
Mimi siwezi kujibizana na mtu asiyeweza kuandika sentensi kamili.
Hawana lolote maaskofu lini waliitisha hayo maandamano yakafanyika?Samia hauwezai muziki wa maaskofu. Hao ni watu ambao wakiitisha maandamano, watu wanaitikia kweli. Kwa hiyo awe makini!
Kanisa tunaliheshimu na msikiti tunauheshimu , serikali haina dini hao watakaotaka kuingiza uislam na ukristo serikali inajuwa namna ya kuwashughulikia hii si mara ya kwanza chokochoko kama hizi kuanzishwa.Ukilijua KANISA au msikiti
huwezi beza wanachoshauri ,kanisa duniani nizaidi ya jeshi
Mziki wakanisa ,kamuulize rais DRcongo Kabila ,baada ya kumkataa
Akijikuta anamkabidhi taifa ,mtu asiyesahihi kwake
Wewe ki kumi kwa mia chako kanisani hakinunuwi hata damu ya Yesu. Ni kondoo unayefata mchungaji aliyepotea.Samia kabuuuuug,bigtime.
Serikali ya nchi hii ina mkono mrefu hakuna shehe wala askofu anaeweza kutoa maelekezo yeyote kwa serikali. Serikali inasikiliza na kuheshimu maoni ya viongozi wa dini lakini kamwe hakuna dini itapanda kichwani mwa serikali hiyo msahau. NeverNchini Tanzania, taasisi za kidini zinaaminika mno na raia kuliko vyombo vya dola.
Kauli za mufti wa BAKWATA au Kadinali wa KATOLIKI zina nguvu mno kuliko hata amri ya mahakama kuu ya Tanzania. Kiufupi ni kwamba hakuna mtawala atakayefanikiwa kuitawala vizuri Tanzania bila kuwepo maelewano na viongozi wa dini hizi mbili. Tangu nchi inapata uhuru CCM imebebwa na waislamu na wakatoliki, kupitia COMPROMISE iliyofanywa na wakina Nyerere baada ya uhuru. Huu ndiyo ukweli mchungu.
Raisi anaweza akawa sahihi na viongozi wa dini wakawa hawako sahihi, au viongozi wa dini wanaweza wakawa sahihi na Raisi hayuko sahihi. Akitunisha misuli na kutotaka kufanya mazungumzo na hawa watu muhimu nchini ili kufikia hatma ya mzozo, kwasababu tu yeye anashikilia dola na anaungwa mkono na watu wa dini yake, basi anawweza kujikuta amekalia kuti kavu. Maraisi woteee kuanzia Nyerere waliufahamu huu ukweli, kwamba Tanzania siyo nchi ya dini moja hata kama waumini wenzako watakuunga mkono asilimia zote.
Wewe ki kumi kwa mia chako kanisani hakinunuwi hata damu ya Yesu. Ni kondoo unayefata mchungaji aliyepotea.
Hivi kati ya magufuli na mama yako samia yupi alikuwa anasakamwa sana?
Straight to ignore list, kuanzia hapa sitaona post zako za kichawa.
Tafadhali usiusemee Uislam kama huuelewi. Tuulize Waislam tukufahamishe.Nchini Tanzania, taasisi za kidini zinaaminika mno na raia kuliko vyombo vya dola...........
Kauli za mufti wa BAKWATA au Kadinali wa KATOLIKI zina nguvu mno kuliko hata amri ya mahakama kuu ya Tanzania. Kiufupi ni kwamba hakuna mtawala atakayefanikiwa kuitawala vizuri Tanzania bila kuwepo maelewano na viongozi wa dini hizi mbili. Tangu nchi inapata uhuru CCM imebebwa na waislamu na wakatoliki, kupitia COMPROMISE iliyofanywa na wakina Nyerere baada ya uhuru. Huu ndiyo ukweli mchungu.
Raisi anaweza akawa sahihi na viongozi wa dini wakawa hawako sahihi, au viongozi wa dini wanaweza wakawa sahihi na Raisi hayuko sahihi. Akitunisha misuli na kutotaka kufanya mazungumzo na hawa watu muhimu nchini ili kufikia hatma ya mzozo, kwasababu tu yeye anashikilia dola na anaungwa mkono na watu wa dini yake, basi anawweza kujikuta amekalia kuti kavu. Maraisi woteee kuanzia Nyerere waliufahamu huu ukweli, kwamba Tanzania siyo nchi ya dini moja hata kama waumini wenzako watakuunga mkono asilimia zote.
Sahihi kabisaSamia hauwezai muziki wa maaskofu. Hao ni watu ambao wakiitisha maandamano, watu wanaitikia kweli. Kwa hiyo awe makini!
Pole sana mkuu ,binafsi sijasema huo udini unaosemaKanisa tunaliheshimu na msikiti tunauheshimu , serikali haina dini hao watakaotaka kuingiza uislam na ukristo serikali inajuwa namna ya kuwashughulikia hii si mara ya kwanza chokochoko kama hizi kuanzishwa.
Kama kawaida yako,ukiishiwa hoja au ukizidiwa unakimbilia sijui ignore list,huo ni udhaifu mkubwa sana,Straight to ignore list, kuanzia hapa sitaona post zako za kichawa.