residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Wewe mbona ulipobakwa ulikimbilia hospitali ya kanisa ndio ikakuokoa!!??Wee Munga kwanza anza na mkataba kati ya makanisa na serikali uaokuwezesheni kuchota mihela ya serkali kila mwaka eti mnasaidia kutoa huduma za kijamii wezi nyie.
Tatizo linalojitokeza ni kuwa akiongoza rais mkristo ruksa kumkosoa iwe ni muislam au Baraza kuu la wakristo .Narudia tena kukwambia serikali inaheshimu dini zote lakini hakuna dini itaipanda serikali hii ya Tanzania kichwani kamwe. Tunajua namna ya kuwashughulikia watu wanaoleta hizi chokochoko za udini na hii siyo mara ya kwanza.
Huo ni mtazamo wako. Serikali ya Tanzania haina diniTatizo linalojitokeza ni kuwa akiongoza rais mkristo ruksa kumkosoa iwe ni muislam au Baraza kuu la wakristo .
Lakini akishika madaraka muislam akifanya madudu watu waanze kumkosoa waumini mnajitokeza kumtetea na kuanza kuleta hoja kuwa Kuna udini .[emoji23][emoji23][emoji23]
Jiulize akina nyerere na unyerere walitokea wapi
Tatizo linalojitokeza ni kuwa akiongoza rais mkristo ruksa kumkosoa iwe ni muislam au Baraza kuu la wakristo .
Lakini akishika madaraka muislam akifanya madudu watu waanze kumkosoa waumini mnajitokeza kumtetea na kuanza kuleta hoja kuwa Kuna udini .😂😂😂
Hujui unachoongelea.Daah usiniangushe bro hivi maandamano akidi inahitaji wafikie wangapi? Maana kiukweli mie niliona hawazidi sita askari waliwaita kwa mahojiano kuwauliza shida yao ni nini? Hata lupango hawakulala wale
Uhuru wa kuongea kati kati ya utumwa bro!
Brother tupo kwenye issue ya leo, Magufuli sio marejeo yetu kwa sasa, sisi tuongee leo, jana haiji tena kamwe ila leo tunayo na kesho ni yetu pia ila jana sio yetu tena.
Wewe vipi, siyo rasilmali ya nchi?Mama anachapa kazi kisawasawa ya kuuza rasilimari za nchi .
Huyo mama atapta bila kupingwa mpaka 2030. Kisha atachukua Dr Hussein Mwinyi na baada ya miaka 10 January anaingia ambaye naye atamwachia Ridhiwani Kikwete after 10 years.
Hata dini yake yenyewe inamkataza kuwa kiongozi katika nafasi aliyopo .Wakristo mna udini sana na mnamchukia Rais Samia kutokana na uislamu wake. Period.
Wewe vipi, siyo rasilmali ya nchi?
Haya dada mkubwa.Wewe ki kumi kwa mia chako kanisani hakinunuwi hata damu ya Yesu. Ni kondoo unayefata mchungaji aliyepotea.
Hata dini yake yenyewe inamkataza kuwa kiongozi katika nafasi aliyopo .
Kwa mujibu wa dini Yako unaruhusiwa kuongozwa na mwanamke? 🤣🤣🤣
Kwa hiyo huyu mkatoliki Nyerere ambaye katoka huko kisiwani musoma Hana mbele Wala nyuma anakuja kuwaongoza wapigania uhuru watoto wa town akina Abdul Sykes ? Sasa hapo nani mjanja kati yao🤣🤣🤣
Tukubali tu kwamba ni bahati mbaya kuwa na utawala uliopo sasa, ni utawala ambao kiongozi wake hakuwa vision, alipata nafasi pasipo matarajio!
Its ok,sio shida! Lakini why ametutweza, why unaenda kuwa mpasuko?
Kwanini hii tulilo nalo leo limekua hivi , kwa nini haikua jana?
Huoni kuna shida isiyokuwa ya kawaida?
Ulipaswa kwanza umkemee Jusa ,aliyeamsha hisia za watanganyika. Mbona swala la watu kutetea rasilimali za nchi yao manawaita wabaguzi,wagawa Taifa. Ukweli utanaki palepale kwamba Wakati fulani na maamuzi fulani huligawa Taifa. Maamuzi yeyote makubwa kama haya yanayohusu lango la biashsra Kwa nchi yetu lazima wanachi wasikilizwe ,wasipuuzwe wala kuzibiwa masikio.
Aliambiwa Tubu . Akaleta kiburi hatimaye tukafunika tuta . Then anatokea mtu anasema kufa ni ahadi wote tutakufa 😂😂😂Brother this issues tuinyazie tu aisee!