Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

mimi vyakula vya kuchemsha sina shida navyo..tatizo ni vile vya kuunga na mazagazaga mara nyingi nachanganya kila kitu sehemu moja..nyanyachungu..nyanya za kawaida...mboga....vitunguu...bamia km nitapenda viwepo...samaki/dagaa
ila km ni nyama nachemsha kwanza halafu ndio naweka pamoja..na hua siweki mafuta kwenye mboga kwakua simpenzi wa mafuta...naweka tu km napika wali.
 
Sababu inayofanya n hitaj
Ndoa,n kwa sababu na mm
Nataka kusmamia family
Kama,baba,wa familia
Upweke kwa nyumba nao uishe

Sometimes unajikuta umetulia
Kwa nyumba pekeako utafri n jin

[Color= yellow]Triple A[/color]
Sure! Manake hata ukiumwa usiku upate wa kukuhudumia
 
Wali rahisa kupika ukitumia Rice cooker.

The Corner stone which was rejected by Jewish.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…