Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,026
- 5,299
daaah nomaa, ukiliangalia sufuria la ugali tu njaa inaisha mammae, sipendi sana hii kitu ya kuosha vyomboAisee me vyombo kuosha!
Nishawahi kuvigawa baada ya kuona vimekaa mda Bila kuoshwa then nikanunua vingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
UGALI BWANA!
Nakumbuka siku moja nimejaribu kupika ugali tatizo sasa likawa kwenye kuula
Nikawa najiuliza huu naunywa au nakula?Maana uji si uji ugali si ugali
We kinakushinda kupika nin7Sure! Manake hata ukiumwa usiku upate wa kukuhudumia
K2 cha chapati nakielewa sana, Ila kila nikikitoa k2 kinakuwa kigum km mikate ya bwana nikiikunja inakatika hataree sana.
Hahahahaha chapati hatari sana kigetogetochapati hata mimi majanga
tumia rice cookerKuna siku nilipika wali aise chini mbichi juu mbichi katikati ndo umeiva
Mkuu kumbe wewe nawe bachela. Mbona huwa unachangia mada za kikubwa?![emoji38][emoji16]Mkuu mimi kitu cha pilau hadi leo siiwezi kuikorofisha ikakaa poa...naishiaga kupika ya kawaida sana daaah