Haswaa! Yani maharage uyale siku uliyoyachemsha na kuyaunga bana. Sasa mie ili kuepuka kero naendaga chukua kwa mama muuza. Yeye anayapika fresh kila siku.Tuko wengi,labda nieke kikiwa kibichi na kisikae mda mrefi 3_4days.Utakuta watu wanasema unachemsha maharage mengi yaweke kwenye fridge inabaki kuunga Tu lakini sioni kama yanakuwaga mazuri.Mi kila nnapotaka kupika maharage napika naunga tunakula yanaisha,nkihitaji ntachemsha tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetisha sana mkuu, hiyo wali chai unamaanisha wali mkavu na chai??, dah hilo pilau sasa 😀😀😀Weka wali kweny ricecooker weka chai yako pemben wali ukiiva pakua weka kweny feni upoe fasta ukishapoa chukua chai piga fasta au unaweza nunua ndondo kwa mamantilie ukija unamwagia juu unapiga
Ukichoka wali chai nunua kiungo cha pilau cha 100 na mshikaki wa jero changanya kwenye ricecooker vizur vikiiva ni pilau tayar halina mbwembee chukua nyanya moja kata kata piga shushia na maji
Mm nilijenga urafiki na wale wamama wanaouza mboga za majan so nikitaka nampigia simu ananikatia katia kabisa nikichukua nikuosha weka kwenye jungu chukua nyanya moja kitunguu changany vyote na mafuta wela vyote zungusha dk 6 had 8 tayar
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetisha sana mkuu, hiyo wali chai unamaanisha wali mkavu na chai??, dah hilo pilau sasa [emoji3][emoji3][emoji3]
Hii ya ugali mayai huwa naipiga sanaUgali na mayai..
Unapiga ugali, unapika mayai. Ugali unalia kwenye sufulia na mayai unachanganya umo umo.. Flampeni kwa mwezi inaoshwa mara moja sababu huwa haichafuki.
Unakuwa na kazi ya kuosha sufulia tu
Nyanya moja +yai moja = mboga. Songa kaugali. Jibu ni mloVyakula visivyo na mlolongo mrefu wa kuandaa na vyombo vichache sana vitumike. Nimechoka ubwabwa (wa rice kuka)/tambi/ugali na nyama au mainiau mchemsho. Vitu gani vingine huwa mnapika?
Asanteni
Uvivu wako wa kupika usikufanye ule makapi. Mavyakula yaliolala kwenye fridge hayanaga ladha.
Best thing ni kuacha uvivu. Pika chakula freshi ule freshi.
Unajiolea shishi bebi, anapika mavyakula ya kuua mashine kisha vijana wanakugongea mkeo.Suluhisho ni KUWOWA
Mchemsho wa ng'ombe - j3Vyakula visivyo na mlolongo mrefu wa kuandaa na vyombo vichache sana vitumike. Nimechoka ubwabwa (wa rice kuka)/tambi/ugali na nyama au mainiau mchemsho. Vitu gani vingine huwa mnapika?
Asanteni