Kwa mwendo huu naona mtifuano mkali kati ya Madelu na Makamba au Madelu kwa haya mabadiriko atakubali yaishe.Ya jpm imewapa fundisho, wataweka spana baadhi ya maeneo isitokee... jpm ilikua zao la mvutano wa lowasa na membe...
Biteko kapangiwa kazi ya uratibu wa shughuli za serikali!! kazi ambayo hufanywa na waziri mkuu!! Siyo kwamba asaidie uratibu wa sgughuli za serikali, bali ashughulike na uratibu wa shughuli za serikali!!Mama anataka kumuondoa lakini ni kama vile anamuonea aibu sasa hebu angalia kapelekewa Biteko ili amsaidie
Umemaliza ?Ukitaka kujua machawa kichwani kwenu kuna Ma+vi angalia ulichotuma hapo bora baba yako hizo shahawa zake angemwaga chooni kuliko kutuleta sisi matatizo
Acha kufikili kwa matak*
Naungana nawe kabisa mkuu, kwa Sasa kasimu hata akinyoosha kidole tu wengi tupo nae.Katika biblia takatifu kuna hadithi moja ya Washami. Hawa nchi yao ilikuwa imetekwa na chakula chote kilifungiwa kwenye lango la mji wao wakawa nje ya lango hawana chakula. Na ilikuwa ukisogea kwenye lile lango chakula kinauzwa bei mbaya na askari walikuua kama ulitaka kufanya ujanja ujanja. Hawa Washami Mungu alikuwa upande wao na walikuwa wamemlilia Mungu kwa muda mrefu.
Njaa ilipowazidi Washami wakajiambia moyoni mwao kuwa TUKIBAKI HAPA TUTAKUFA NA NJAA NA TUKIENDA KULE KWENYE LANGO ASKARI WATATUUA LAKINI PIA BWANA ANAWEZA KUTUFANYIA MUUJIZA. Wakaamua kwenda kule kwenye lango na Mungu akaleta kishindo cha farasi wengi wale askari kule kwenye lango lenye chakula wakakimbia wakijua kuwa kuna jeshi kubwa linakuja kuwapiga.
Kwako Kassim Majaliwa hadithi hii ikusaidie japo sio ya kitabu cha dini yako. Kwa ulipofikishwa leo ni kuwa unapaswa kumalizwa kisiasa kabisa. UKINYAMAZA WATAKUMALIZA NA UKIZUNGUMZA WATAKUMALIZA ila ukizungumza unaweza kupata kishindo cha jeshi la wananchi kikakusaidia. Uchaguzi ni wako.
Mimi nakushauri PAMBANA utakuwa umeisaidia nchi yako kidemokrasia. Otherwise utabaki kuwa Waziri Mkuu wa kusaini na kutia mihuri na mpaka Dec. Bunge lijalo atateuliwa Waziri Mkuu mwingine na utakuwa umejeruhiwa sana kisiasa au kuuawa kisiasa kabisa.
Cheo hicho hutokea nchi ikiwa inachemka. Kipindi cha Mrema nchi ilikuwa inachemka kwa uchapaji kazi wake. Ila sasa sakata la Dpw ndio linachemsha nchi. Hakuna budi kujipanga pale juu kufifisha mambo yaliosababisha. Wachache watanielewa.Hiki cheo mara ya mwisho alikishika Mrema kama sikosei enzi za Mwinyi.
Kiuhalisia ni cheo cha utashi wa raisi, hakipo kikatiba.
Ila kinachotafakarisha hapa ni pale Biteko atakapokosea kama Naibu Waziri wa Nishati, je waziri akimuadhibu si itakuwa anamuadhibu Boss wake ambae ni Naibu Waziri Mkuu? Maelekezo ya Waziri wa Nishati yatakuwa na mashiko kwa Naibu wake ambae kiuhalisia ni Boss wake?
Hivi ni kwa nini huwa mnadhani Ccm itafanikiwa kuiba kura uchaguzi zote?Before hujashangilia January kutolewa inabidi ujue kwanza January kapanda cheo ki protocol. Mama anamuandaa kuwa Raisi, hii nchi Mama ishamshinda bwana. Saivi it's so clearly kabisa.
MUSICAL CHAIRS!Anabadili positions za kete. Draft ni lile lile
Sioni mabadiliko ya maana hapo.
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko na teuzi za sura mpya kwenye baraza la mawaziri. Uapisho utafanyika September 1, Ikulu ndogo Zanzibar saa tano kamili asubuhi.
1. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Awali alikuwa Waziri wa Madini.
2. Amemteua January Makamba kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali alikuwa Waziri wa Nishati.
3. Amemhamisha Balozi Pindi Chana kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Awali alikuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
4. Amemhamisha Steven Byabato kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali, Byabato alikuwa Naibu Waziri wa Nishati.
5. Amemteua Jerry Silaa kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Silaa ni Mbunge wa Ukonga, Dar es Salaam.
6. Rais amemteua Anthony Mavunde kuwa waziri wa madini, mwanzo alikuwa naibu waziri wa kilimo.
7. Prof Makame Mbarawa aliyekuwa waziri wa ujenzi na uchukuzi amekuwa waziri wa uchukuzi.
8. Innocent Bashungwa amekuwa waziri wa ujenzi, mwanzo alikuwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa.
9. Godfrey Kasekenya aliyekuwa Naibu waziri wa Ujenzi na uchukuzi ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Ujenzi
10. Alexander Mnyeti ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Kilimo
11. David Mwakiposa Kihenzile ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Uchukuzi. Ni mbunge wa Jimbo la Mufindi
12. Judith Kapinga ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa nishati, ni mbunge wa viti maalum Ruvuma.
13. Dunstan Kitandula ameteuliwa Naibu Waziri wa maliasili na Utalii, ni mbunge wa Mkinga
14. Stergomena Tax amehamishwa wizara ya mambo ya Nje kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
15. Angellah Kairuki amehamishwa kutoka TAMISEMI na kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii
16. Dkt. Damas Ndumbaro amehamishwa kutoka Wizara ya Katiba ba Sheria na kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
View: https://www.youtube.com/watch?v=7bLEuvgVGG4
======
View attachment 2733279
View attachment 2733280
View attachment 2733281
View attachment 2733282
Ndiyo mama mwenyewe wa Taifa au?Nakuelewa sana mama.!
Sio kudhani ndio wanavyoshinda kwa kuiba kura!!! Hawapati ridhaa ya Wananchi kutawala!!!Hivi ni kwa nini huwa mnadhani Ccm itafanikiwa kuiba kura uchaguzi zote?
Naibu kapewa jukumu la kuratibu shughuli za serikali so kwa hali hiyo unafikiri waziri mkuu kabakiwa na nini kama si kwenda ofisini na kusaini mahudhurio(kama ipo)Hivi hawatoingiliana na PM? Au naibu atakuwa ana deal na nini
2025 ya Ile kanda ya msukuma Mnyeti BisekoRais Samia Suluhu amefanya mabadiliko na teuzi za sura mpya kwenye baraza la mawaziri. Uapisho utafanyika September 1, Ikulu ndogo Zanzibar saa tano kamili asubuhi.