Namkubali San huyo musilamu mwezenuNaona hujaielewa dhanna ya Reform and Rebuilding.
Hapo kwa Kassim Majaliwa, kilichositisha asipigwe chini ni mfumo tu, lakini ana "underperform" sana, juzi aliambiwa, usingoje maagizo kutoka juu.
Mama yuko kwake kapumzika. Hujamuona Mwinyi siku mbili hizi huku bara? Ni kutuambia Tz bado ipo.Hivi inawezekana raisi wa Zanzibar akajakuapicha mawaziri huku bara?
Akufukuzae akuambiii toka....Naibu kapewa jukumu la kuratibu shughuli za serikali so kwa hali hiyo unafikiri waziri mkuu kabakiwa na nini kama si kwenda ofisini na kusaini mahudhurio(kama ipo)
Kuna watu mnavitukoHali kadhalika amemteua Lucas Mwashambwa Waziri wa Kujipendekeza na Mapambio Mitandaoni
Mmadaraka yampe depression sidhani mzee huyu Ni makini sma na Hana masiaraHakuna ujumbe wowote, hata ukimtazama Kassim Majaliwa unamuona kuwa yu mgonjwa-gonjwa. Hana afya njema, ni lazima apunguziwe mzigo, ana "underperform".
Kama si maradhi physically basi ana "depression".
Kila mmoja wetu na fikra zake.Mmadaraka yampe depression sidhani mzee huyu Ni makini sma na Hana masiara
Mifumo mzee, mifumo ya nchi hii ndo inawahakikishia CCM ushindi huo. Yaani hata ulie ukatae ila hata hao upinzani wanaelewa kwamba mifumo ya nchi hii haipo upande wao kwa zaidi ya asilimia 80. Huwezi kushinda bila mifumo. Hata bahati inamdondokea mwenye maandalizi mazuri.Hivi ni kwa nini huwa mnadhani Ccm itafanikiwa kuiba kura uchaguzi zote?
VIP yule katibu mkuu was ujenzi bib Aisha amour kafukuzwa nn sijaona popote aliko takes au ndo kasababisha mkataba ufuje
HV katibu mkuu ujenzi bib Aisha amour amepelkekwa wapi au mm ndio sijui alikoKila mmoja na fIkra zake.
katiba ya jmt haina wizara wala vipengele vyakd ila inamtaka raisi kuteua waziri mkuu na mawaziri na kuunda baraza .lakini katiba haijasema wizara ziweje ndio maana kila raisi anaunda wizara zake na kuzichanganya anavotaka. So cheo cha naibu waziri ama naibu waziri mkuu havipo kikatiba na ni issue ya kuwapa washikaji au wafuasi wako fadhila pale wanapo kupa sapotiNdio kilichobaki anachokiweza huyu Bibi.
Mtu anapo- underperform anahamishwa instead ya kuwekwa pembeni.
Huyo Bibi Tax naye karudishwa wizara aliyotolewa hata mwaka haujaisha.
Hicho cheo alichopewa huyo Biteko kina tija gani maana hakipo kikatiba na hata Mrema aliyewahi kukishika hakuna aliyepewa tena ikiwa ni tafsiri hakina manufaa
I only see the last kicks of a dying horse.
Makosa hayajirudii mara mbili mzee.Membe alipanda cheo kuliko JPM,nini kilitokea 2015?
Ukimtoa Majaliwa (PM) maana yake ni kuvunja baraza la mawaziri!! Waziri mkuu akitoka , anatoka na baraza lake lote!! Inabidi apendekezwe waziri mkuu mwingine, kisha akathibitishwe na bunge!! Kisha rais kwa kushauriana na waziri mkuu waunde baraza jipya la mawaziri!! Huo mziki si wa kitoto!!Angemtoa tu Majaliwa mtu pekee aliyebaki serikalini ambae kidogo anafanya wananchi wawe na imani na serikali ya ‘bi Tozo’; kusudi hilo jumba bovu lianguke haraka.
Acha kusumbujmka na marehemu.Acha ujinga. Huyu ndo mkombozi wetu baada ya kuteswa na jiwe miaka mitano bila mishahara kuongezeka Wala ajira mpya zozote. Sasa hivi ajira ni kila pahala hasa sector binafsi ambayo ilikuwa imekufa kabisa kifo Cha Mende.
Sasa hivi utalii inaajiri kwa Kasi mno na waliosoma tourism wanasema mama has rescued them. Sector ya bank inaajiri kwa mamia kwa Sasa baada ya kupulia mashine k a miaka mitano ya jiwe.
Mpaka ameamua kuwarudishia pesa zilizoobwa kwenye akaunti za Hawa wamiliki wa bureau de change. Sasa hatusikii watu kuuawa ovyo ovyo na watu wasiojulikana.
Hakuna mabadiliko yeyote hapo; ni wale wale wamezungushwa!!Alipotenguliwa DG TISS, lazima haya Mabadiliko ya Baraza yangefuata.
Afrika ni shida.Maisha hayako fair kabisa aiseeeh
Mtu unakula
mshahara wa Naibu waziri mkuu
Mshahara wa Waziri wa nishati
Mshahara na Posho za ubunge
bado maposho ya vikao na safari
alafu utasikia Vijana endeleeni kujiajiri