Ni kweli kwasababu Rais ni SamiaHuyu mama ni moyeyusho sana yani hajielewi
Huu ni uchambuzi wa kisiasa, ambao sifa yake kubwa mtu anaweza kusema ndio au hapana.Mama anataka kumuondoa lakini ni kama vile anamuonea aibu sasa hebu angalia kapelekewa Biteko ili amsaidie
Mwandiko wako unaonekana ni shog*Umemaliza ?
Hapo mm ndio nilkuwa napenda hata makamu rais apewe majukumu mazito mfno akawa makamu wa rais na vile akawa labda waziri wa fedha au afya ni Jambo zuri hata Zimbabwe wanao hyo unamkuta makamu wa rais pia ndio waziri wa afaya na anafanya Kaz vzr tuRais anao uwanda mpana wa kubadili wizara na kuwaweka Mawaziri kwa kadri atakavyo.
Kwa uzoefu wangu sikuwahi kusikia Kiongozi aliyewahi kuwa Naibu Waziri mkuu...
Naibu waziri Mkuu wa kwanza Tanzania alikuwa ni Salim A. Salim ambaye alihudumu kwa miaka minne akiwa na Joseph warioba kama waziri Mkuu wake katika awamu ya kwanza ya utawala wa Mzee Mwinyi kwahiyo Mrema hakuwa wakwanza.Ishu ya PM kutakiwa kuondolewa kumbe imekuwa serious.
Nilianza kuisikia tangu 2022 miezi ya Mwanzoni na aliyetakiwa kum-replace ni huyo huyo Dotto...
Vipi kijana hujamboYeye mwenyewe ajiuzulu
No, Salim alikuwa waziri mkuu kabisa bwana baada ya kifo cha Sokoine na ndio akashinikiza rais Nyerere akakubali mitumba ingizwe nchini kwa kuwa watanzania walikuwa wakitembea nusu uchi.Salimu Ahmed Salim na Mzee Mrema waliwahi kuwa manaibu waziri wakuu enzi za utawala wa Mzee Mwinyi.
Zanzibar Kuna makamu rais mkp watatu mm naona sawa tuRais
Makamu wa rais
Waziri mkuu
Naibu waziri mkuu.
Halafu ni nchi masikini sana hii.🚮🚮🚮
afya ipo kwenye nyaraka tu.Nyuzi za kuibua hisia za kidini wala azina afya kwa taifa.
Kumbe hujui kitu ndumaro alikuwa wakala wa wachezaji kabala ajaingia ktk siasa Ni mtu mtu wa michezo mno huo ujinga wa tfff na baodi wa ligi kufungia fungia watu utakomaa jamaa pia nae aliwahi kufungiwa na tfff hyo hyo hvyo anaijuwa vzrNdumbaru na michezo wapi nawapi jamani............
Poa Ami Jey.afya ipo kwenye nyaraka tu.
Imefanyika hivi makusudi kucheza na akili za watz wasijadili mkataba wa bandari Ili akili zenu na mijadala yenu ihamie humu.Rais angejiuzuru tuchangue mtu anayejielewa. Huwezi kuteua cheo ambacho hakipo kikatiba
Christian ni 76% tambua hilo kwanza.Wakati wa Magufuli awamo ya tano aliteua wasaidizi wake kiubabe mno kuwaminya waislamu.Aliwadharau sana waislamu akidhani ni mbumbumbu kama wanavyojitapa wakristo...