Acha dharau na kebehi kwani wewe hapo umechukua hatua Gani zaidi ya kusubirbkwenda toilet kukata gogo?Ni kweli Biteko hana ushawishi wowote ila ata upinzani wa kweli nao hatuna. Nchi inachezewa nyie mpo busy tu kupiga porojo mnazidiwa ata na yule Mwanasheria aliyeamua kuishitaki Serikali.
Yaani nyie mpo mpo tu mnasubiri uchaguzi.
Kuna jambo so bule, ukimtoa mpasuko wake ni balaa ukimuacha aibu....Kazi imeanza kua ngumu mno.Dah..kuna mambo hayako sawa,hii sio kawaida wakuu..huu moshi unaofuka soon kuna moto utawaka! Hatuko salama kama tunavyodhani,kuna msigano mkubwa sana nyuma ya pazia..
Wewe ndo boga kabisa sasa umeongea niniOna sasa akili za wapinzani wetu zilivyo!
Alowaita wapinzani bila shaka alifahamu kabisa nyie ni wapinzani tu.
Hivi magufuli alikuwa msukuma?Siasa za Tanzania sio sawa na za Kenya, huyo Dotto ana ushawashi wapi zaidi ya Jimboni kwake? Unazani Majaliwa mfano ukitoa Jimboni kwake unazani una ushawishi mwingine kule Lindi.
Siasa za aina hio huwa ziko Kenya unakuta kuna mtu ana controo Kabila lake lote, Magufuri mwenyewe bado alikuwa ha cotroli wasukuma wote na laiti Uchaguzi ungekuwa huru ungeshangaa sana hata pale Chato kwake tu.
Hivi kuna nafasi kikatiba ya Naibu Waziri Mkuu, bila shaka Kagame atakuwa amefurahi sana.View attachment 2733568
Hakuna Sababu yoyote ile nyingine kwenye Uteuzi huu zaidi ya kutafuta huruma kutoka Kanda ya ziwa , hasa baada ya Oparesheni 255 ya Chadema Kuungwa Mkono na Wakazi wote wa Kanda hiyo , wakiwemo Wabunge na viongozi wa ccm
View attachment 2733550
View attachment 2733567
Bali wachambuzi wa siasa za Kanda ya Ziwa wanaona kwamba , Uteuzi wa Dotto Biteko kijana Mdogo , asiye na Ushawishi wowote kwenye kanda hiyo hautabadili chochote kwenye kanda hiyo
Alikuwa MZILANKENDEHivi magufuli alikuwa msukuma?
Ss si bora hta ww akakugea cheo kuliko madudu anayoyafanya saivi.Ww una uafadhali kdgWanawake hampendani tunalijua hilo.
Basi tupe huo umuhinu au ni njia tu ya uweakness kujificha nyuma ya uimaraReform kazini, hata mpira wakicheza kuna muda coach anabadili "formation" ndiyo maana halisi ya ku reform.
Ofisi ya Rais ni kubwa kuliko mnavyodhania.
Hiki cheo cha unaibu waziri mkuu kilianzia wakati wa mzee Rukhsa, mama sasa kakirudisha tena. Kuna sababu za muhimu sana tena sana, kuliko unavyofikiria.
Na pia walikuwa Waisrael waliokwenda kwenye kambi ya Washami baada ya kutengwa kwa mjibu wa sheriaNaungana nawe kabisa mkuu, kwa Sasa kasimu hata akinyoosha kidole tu wengi tupo nae.
Masahihisho kidogo kwenye hiko kisa Cha washami walikua ni wakoma ndio walioenda kwenye kambi za hao maaskri , wakoma ni watu walio kua dhaifu na duni sana na walikua wametupwa nje ya mji ndio maana hawakujali kuishi au kufa.
Ila watu wajanja sana alianza Mkumbo Kitila kuwa msemaji wa Bandari baada ya muda akaula, akaja Jerry Silaa nae akamuiga Mkumbo hivi sasa nae kaula, kumbe hizi ndio mbinu mbadala ya kupata uwaziri, nyuma nilidhani ni uchapakazi kumbe ni kuwa mwimbaji mapambio mkuu.Je, Mwigulu, Makamba na Nape bado wapo?
Kama bado wapo hakuna mabadiliko Makubwa hapo.
Bitozo bado anazidi kufurahisha kijiwe.
Heh heh hata mzee Mrema aliwahi kuwa Naibu `waziri mkuu akawa anatoa siku 7 kwa wenye tuhuma kufika ofisini kwake.Hivi cheo cha naibu waziri mkuu huwa kipo
Msijilishe pumba, hizo kura hata akizikosa hazizuii yeye kuwa rais!! Mark this Samia ni mpaka 2030!!Anawavuta ili apate kura za mashabiki wa Magufuli.
maana yake ni kwamba majaliwa kaelemewa na kazi na sasa kapewa msaidizi... kama mtu kachoka, kwa nini anangangamia?Hivi hawatoingiliana na PM? Au naibu atakuwa ana deal na nini