Hii ilikuwa ni baada ya Nyerere kuondoka na Waryoba hakukaa muda kabla ya Msuya kuchukua usukani kama waziri mkuu.Kipindi kile tulikuwepo mkuu. Salim Alikuwa waziri Mkuu kwenye utawala wa Nyerere kwa mwaka mmoja tu tena baada ya Sokoine kututoka lkn baada ya Mzee Mwinyi kuingia Madarakani Salim alirudishwa kama Naibu waziri Mkuu[1986-1989] na waziri wa ulinzi huku Waziri Mkuu kipindi hicho akiwa Joseph Warioba.
Kama ndivyo, mbona Mtusi mbuge wa Karagwe ndugu Bashungwa hujamzungumzia na alishika wizara nyeti ya UlinziNaibu waziri mkuu ameteuliwa MTUTSI pure 100%. PK anatutafuta sana
Hovyoo..Naona hujaielewa dhanna ya Reform and Rebuilding.
Hapo kwa Kassim Majaliwa, kilichositisha asipigwe chini ni mfumo tu, lakini ana "underperform" sana, juzi aliambiwa, usingoje maagizo kutoka juu.
Niletee mama yako kwanza nizae nae at least mpate mtoto mwenye akili kwa mara ya kwanza katika ukoo wenuUmemaliza ?
Hee! Hivi mko serious! ?January Makamba.. hiyo nafasi aliyopewa sasa hivi ndio yake sasa..
Hahahahah 🤣🤣Kwahiyo kipara amemwambia mama "kama unanihamisha namuomba Byabato huko niendako"
Umemaliza ?Niletee mama yako kwanza nizae nae at least mpate mtoto mwenye akili kwa mara ya kwanza katika ukoo wenu
Mrema alikuwa naibu WM enzi za mwinyi. Uteuzi wa mrema ulitokana na utendaji wake wakati akiwa waziri wa mambo ya ndani.Rais anao uwanda mpana wa kubadili wizara na kuwaweka Mawaziri kwa kadri atakavyo.
Kwa uzoefu wangu sikuwahi kusikia Kiongozi aliyewahi kuwa Naibu Waziri mkuu.
Hata hivyo kama Rais ana Makamu wake iweje Waziri mkuu asiwe na Naibu?
Nilipochanganyikiwa zaidi ni Kiongozi mmoja kuwa Naibu Waziri na Waziri ktk serikali hiyohiyo. Inawezekanaje?
Kwamba Pale bungeni na huko mitaani hakuna wanachama wa CCM wenye weledi kiasi cha kumtwisha majukumu mazito ndugu Dotto?
Tuombe Mungu uteuzi huu uwe na malengo ya kuimarisha ustawi wa wananchi wote na si kumdhoofisha mtu flani kwa manufaa ya watu wachache.
Hahahahah🤣🤣Biteko
Yani naibu waziri mkuu at the same time ni waziri wa nishati..
Lakini kwenye unaibu waziri mkuu atashughulikia mambo ya uratibu wa serikali...
Kichwa lazima kikuzunguke😀
Hahahahah 🤣🤣Mzee wa tozo,itakuwa kakasirika sana kutochaguliwa naibu waziri mkuu.
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko na teuzi za sura mpya kwenye baraza la mawaziri. Uapisho utafanyika September 1, Ikulu ndogo Zanzibar saa tano kamili asubuhi...
Mrema mpka amekufa anafuatilia mafao yake bila mafanikio Kwasababu ya cheo chake hakitambuliwiAli Hassan Mwinyi enzi zake aliwahi kumteua marehemu Augustine Mrema kwenye nafasi kama hiyo!!
Huyo mnafiq hawezi kuteuliwa hata ubalozi wa nyumba kumi. Ana ID za kuwapiga spana magamba na I'd ya kutafutia ugali ambayo anaweka namba ya simuHali kadhalika amemteua Lucas Mwashambwa Waziri wa Kujipendekeza na Mapambio Mitandaoni
Ajakasirika maana yupo pale kwa malengo na anafurahi kutobadilishwa....Mzee wa tozo,itakuwa kakasirika sana kutochaguliwa naibu waziri mkuu.
Analipwa kwa kutumia kigezo gani?Duh! Mbona Mzee Mrema sasa waligoma kumlipa mafao yake ya unaibu waziri mkuu ?....