Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli ni zimwi la DPW pekee ndio linamwandama, vinginevyo huyu ni bora kuliko JPMKasomeni corporate politics .Kwan mama samia ana elimu straight??? Ukiondoa dpw waliyomchomekea taja kasoro kwenye uongozi wake
Yuko Mzee mmoja pale Buzirayombo ni kiboko
Hakuna kaka hii wanaume sisi kwa kuogopa kutawaliwa na wanawake tumecheza na ujinga wa kudhan wakristo ndo wamezuia waislamu kusoma na kuendelea .akitoboa dpw mama atatishaKwa kweli ni zimwi la DPW pekee ndio linamwandama, vinginevyo huyu ni bora kuliko JPM
Ndio kusema wajomba wanamponzaKwa kweli ni zimwi la DPW pekee ndio linamwandama, vinginevyo huyu ni bora kuliko JPM
Ndio tafsiri ya bahati...Hakunaga bahati ni maandalizi yasiyotegemewa yamekutana na nafasi
Kitengo aliyejiendelezahuyo Hana connection yoyote , Iko straight forward , kutoka o level , butimba tcc, certificate hapo hapo , akaenda china kupiga certificate, akarudi morogoro tc akapiga diploma , akarudi sauti kapiga degree na masters , SHIDA ipo wapi ? Kila kitu kipo wazi
Eeh bhana ee.akitoboa dpw mama atatisha
Kwenye hayo Maandalizi na mganga si anakuwepo au vipi bhana.Hakunaga bahati ni maandalizi yasiyotegemewa yamekutana na nafasi
Huyu ka alivyokuwa Magufuli ana asili ya nchi jirani ya Rwanda, sijui kagame anatumia ujanja gani kupenyeza watu wake kwenye safu ya uongozi wa nchi hii
Hili jambo kama linaukweli ndani yake.Jiongeze lini alienda muwakilisha raisi kikao serious kakataa dpw hapo tuu .ndo tumeanza ulizana dini
Umeongea kweli ,kama Doto ana bahati Samia utasemaje? Wale wanaojifanya Wana Elimu kubwa sijui kujituma wanaishia kupayuka hovyo huko lakini yeye ndio kwanza ni Rais 🔥🔥Kasomeni corporate politics .Kwan mama samia ana elimu straight??? Ukiondoa dpw waliyomchomekea taja kasoro kwenye uongozi wake
Unamzungumzia Kagame ya Visit Rwanda?Huyu ka alivyokuwa Magufuli ana asili ya nchi jirani ya Rwanda, sijui kagame anatumia ujanja gani kupenyeza watu wake kwenye safu ya uongozi wa nchi hii
Mmmmh wewe Mpwayungu Village anasemajeNasikia jamaa ni mwalimu
Kuna watu wanajituma kuliko hata huyo Biteko mwenyewe na hali bado si shwariMganga ni kujituma.
Acha kabisa mkuu 😔😔😔 ni simanziHali si shwari
You can say that again.Kuna watu wanajituma kuliko hata huyo Biteko mwenyewe na hali bado si shwari