Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

Anachapa kazi kwa bidii,
Hana Majungu,
Hana mbwembwe,,
Hana tabia za kutafuta sifa za kijinga kama za yule aliyewahi kuwa RC wa mkoa furani.

Ukiwa na sifa hizo basi endelea kufanya ibada kwa dini yako.
Mtegrmee Mwenyezi Mungu.
 
Yuko Mzee mmoja pale Buzirayombo ni kiboko
Screenshot_20230904-211721.jpg
 
Kwa kweli ni zimwi la DPW pekee ndio linamwandama, vinginevyo huyu ni bora kuliko JPM
Hakuna kaka hii wanaume sisi kwa kuogopa kutawaliwa na wanawake tumecheza na ujinga wa kudhan wakristo ndo wamezuia waislamu kusoma na kuendelea .akitoboa dpw mama atatisha
 
huyo Hana connection yoyote , Iko straight forward , kutoka o level , butimba tcc, certificate hapo hapo , akaenda china kupiga certificate, akarudi morogoro tc akapiga diploma , akarudi sauti kapiga degree na masters , SHIDA ipo wapi ? Kila kitu kipo wazi
Kitengo aliyejiendeleza
 
Huu upepo wa mwamba ni hatari wazee.
Kamati ya kumtafuta mganga wa Dotto Biteko naomba iongozwe na Mshana Jr au vipi bhana. Siamini kama kunamtu atakuwa na shaka na hilo maana CV ya Legend Mshana Jr ni dhahiri humu ndani na nje ya mipaka ya JF.
Huyu ka alivyokuwa Magufuli ana asili ya nchi jirani ya Rwanda, sijui kagame anatumia ujanja gani kupenyeza watu wake kwenye safu ya uongozi wa nchi hii
 
Kasomeni corporate politics .Kwan mama samia ana elimu straight??? Ukiondoa dpw waliyomchomekea taja kasoro kwenye uongozi wake
Umeongea kweli ,kama Doto ana bahati Samia utasemaje? Wale wanaojifanya Wana Elimu kubwa sijui kujituma wanaishia kupayuka hovyo huko lakini yeye ndio kwanza ni Rais 🔥🔥
 
Huyu ka alivyokuwa Magufuli ana asili ya nchi jirani ya Rwanda, sijui kagame anatumia ujanja gani kupenyeza watu wake kwenye safu ya uongozi wa nchi hii
Unamzungumzia Kagame ya Visit Rwanda?
 
Back
Top Bottom