Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Bahati inawezakutengenezwa lakini au vipo bhana.Ila na elimu yake ukisikiliza vizuri ina connection na chenga nyingi sana๐
Bahati ni bahati... ๐
Sio kujituma..ni bahati tu kwakeMganga ni kujituma.
Wewe, dereva nae tayari kajipata.Unaweza kwenda kwa mganga halafu ukaishia kuwa dereva wa huyo Biteko
Usilalie bahati ya mwenzio
Pambana kivyako tu mpaka paeleweke
Bahati nzuri anayo..Bahati inawezakutengenezwa lakini au vipo bhana.
Kila mtu anajituma au vipi bhana. Ila sio wote tunapata matokeo.Sio kujituma..ni bahati tu kwake
Kujituma Sa 7 mchanaMganga ni kujituma.
Huyu mwizi wa madin amejituma nn??kuna mtu anajituma kama mpango .yuko benchiMganga ni kujituma.
Kujituma najituma, matokeo sungura.Kujituma Sa 7 mchana
Wewe mpango si yupo siti ya mbele na dereva au nimepanda treni.Huyu mwizi wa madin amejituma nn??kuna mtu anajituma kama mpango .yuko benchi
Hakunaga bahati ni maandalizi yasiyotegemewa yamekutana na nafasiBahati nzuri anayo..
Achana na kuamini nguvu za giza,amini katika Mungu,muumba wa mbingu na ardhi inatosha mno na hutahitaji ziada,ukiwa na imani dhati na kweli๐ค
Bahati unategenezwa lakiniKama una nyota ya punda utaishia tu kuwa mwanaharakati wa kupinga kila kitu.
Ndo kujituma. Ukitanguliza kujituma bahati zitakufuata. Lakini pia kwenye siasa ni kujua jinsi gani ya kukaa vizuri na wazito. Watu wengi wanafikiri uchawa ndo namna sahihi ya kuwafurahisha wakubwa kumbe sio. Watu kama Biteko huwezi sikia wanakesha kumsifu mwenyekiti/rais lakini ndo wanapata ulaji. Kuna yule RC Mtaka kabla sifa hazijamzidi alikubalika hadi na JPM ingawa alikuwa anaonekana kama vile sio mfuasi wa sera za JPM.Bahati unategenezwa lakini
Ana siri nyingi za jamaa wanampeti peti ili angalau chochote kitu kipatikane ..
Kasomeni corporate politics .Kwan mama samia ana elimu straight??? Ukiondoa dpw waliyomchomekea taja kasoro kwenye uongozi wakehuyo Hana connection yoyote , Iko straight forward , kutoka o level , butimba tcc, certificate hapo hapo , akaenda china kupiga certificate, akarudi morogoro tc akapiga diploma , akarudi sauti kapiga degree na masters , SHIDA ipo wapi ? Kila kitu kipo wazi
Chochote kitu au vipi bhana ๐๐คฃ๐wanampeti peti ili angalau chochote kitu kipatikane ..
Jiongeze lini alienda muwakilisha raisi kikao serious kakataa dpw hapo tuu .ndo tumeanza ulizana diniWewe mpango si yupo siti ya mbele na dereva au nimepanda treni.
Oya oya usiende hukuKasomeni corporate politics .Kwan mama samia ana elimu straight??? Ukiondoa dpw waliyomchomekea taja kasoro kwenye uongozi wake
Nimeamini, rushwa kwa wanaofanya vetting inafanya kazi. Miluoni kumi kumi na tano tano ambazo amekuwa anawapa, wakati wote zimempa matokeo ambayo daima amekuwa anayataka.Huyu mwizi wa madin amejituma nn??kuna mtu anajituma kama mpango .yuko benchi