Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

Huu upepo wa mwamba ni hatari wazee.
Kamati ya kumtafuta mganga wa Dotto Biteko naomba iongozwe na Mshana Jr au vipi bhana. Siamini kama kunamtu atakuwa na shaka na hilo maana CV ya Legend Mshana Jr ni dhahiri humu ndani na nje ya mipaka ya JF.
Achana na kuamini nguvu za giza,amini katika Mungu,muumba wa mbingu na ardhi inatosha mno na hutahitaji ziada,ukiwa na imani dhati na kweli🤔
 
Bahati unategenezwa lakini
Ndo kujituma. Ukitanguliza kujituma bahati zitakufuata. Lakini pia kwenye siasa ni kujua jinsi gani ya kukaa vizuri na wazito. Watu wengi wanafikiri uchawa ndo namna sahihi ya kuwafurahisha wakubwa kumbe sio. Watu kama Biteko huwezi sikia wanakesha kumsifu mwenyekiti/rais lakini ndo wanapata ulaji. Kuna yule RC Mtaka kabla sifa hazijamzidi alikubalika hadi na JPM ingawa alikuwa anaonekana kama vile sio mfuasi wa sera za JPM.
 
Huu upepo wa mwamba ni hatari wazee.
Kamati ya kumtafuta mganga wa Dotto Biteko naomba iongozwe na Mshana Jr au vipi bhana. Siamini kama kunamtu atakuwa na shaka na hilo maana CV ya Legend Mshana Jr ni dhahiri humu ndani na nje ya mipaka ya JF.
Ana siri nyingi za jamaa wanampeti peti ili angalau chochote kitu kipatikane ..
Naomba niiishie hapo
 
huyo Hana connection yoyote , Iko straight forward , kutoka o level , butimba tcc, certificate hapo hapo , akaenda china kupiga certificate, akarudi morogoro tc akapiga diploma , akarudi sauti kapiga degree na masters , SHIDA ipo wapi ? Kila kitu kipo wazi
Kasomeni corporate politics .Kwan mama samia ana elimu straight??? Ukiondoa dpw waliyomchomekea taja kasoro kwenye uongozi wake
 
Huyu mwizi wa madin amejituma nn??kuna mtu anajituma kama mpango .yuko benchi
Nimeamini, rushwa kwa wanaofanya vetting inafanya kazi. Miluoni kumi kumi na tano tano ambazo amekuwa anawapa, wakati wote zimempa matokeo ambayo daima amekuwa anayataka.
 
Back
Top Bottom