Reform kazini, hata mpira wakicheza kuna muda coach anabadili "formation" ndiyo maana halisi ya ku reform.Anabadili positions za kete. Draft ni lile lile
Sioni mabadiliko ya maana hapo.
nimekupata, maja yukomatataniukiona baba ako kaoa bi mdogo ujue bi mkubwa tayari ana kasoro ndo kutengwa huko.
Bora,jamaa ni kilaza mno tena mno.Huyo kipara wa umeme wamtoe kabisaa kudadek zake shwaini
Dotto yuko vizuriKama kawa
Kama dawa
Ukanda na ukabila
Jerry Slaa umenmsahau?Hali kadhalika amemteua Lucas Mwashambwa Waziri wa Kujipendekeza na Mapambio Mitandaoni
😃😅🤣😀😄Ni mabadiliko madogo hakuna jipya
Anachapa kazi anaposukumwa, mama style yake ni mtu ajisukume mwenyewe.Feel sorry to Hon. Majaliwa, an iron man na mwajibikaji haswa.
sawa sawa kabisa. kama alivyo mjomba wake mwenda zake.Biteko msubi
Mbona nilipomsalimia "Suura akajibu Suurawetu" pale kabuhimaBiteko ni mtutsi siyo msubi
kuwa kapwaya, hafanyi kazi zake kama ipasavyoWataalam wa siasa njooni mtupe majibu.
Hiki cheo hakipo kwenye katibaNaibu waziri mkuu? 🤔 Hiki cheo toka lini kipo 🤔
Huyo ni mtoto wa mafisa hawezi kuondolewaHuyo kipara wa umeme wamtoe kabisaa kudadek zake shwaini
Mara ya mwisho alikuwa ni Marehemu Lyatonga Mrema wakati wa Mzee Mwinyi!Naibu waziri mkuu? [emoji848] Hiki cheo toka lini kipo [emoji848]
Hao ndio engine ya mama ,hawatatoka Hadi 2030.Je Mwigulu.makamba na Nape bado wapo?
Kama bado wapo hakuna mabadiliko Makubwa hapo.
Bitozo bado anazidi kufurahisha kijiwe.