Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

Anabadili positions za kete. Draft ni lile lile

Sioni mabadiliko ya maana hapo.
Reform kazini, hata mpira wakicheza kuna muda coach anabadili "formation" ndiyo maana halisi ya ku reform.

Ofisi ya Rais ni kubwa kuliko mnavyodhania.

Hiki cheo cha unaibu waziri mkuu kilianzia wakati wa mzee Rukhsa, mama sasa kakirudisha tena. Kuna sababu za muhimu sana tena sana, kuliko unavyofikiria.
 
Je Mwigulu.makamba na Nape bado wapo?

Kama bado wapo hakuna mabadiliko Makubwa hapo.

Bitozo bado anazidi kufurahisha kijiwe.
Hao ndio engine ya mama ,hawatatoka Hadi 2030.

Fukuza PM sio kumpokonya majukumu na kumpa Biteko.Hapa mamlaka imekwepa kuvunja Serikali yote akaona amfiche PM ili amulikwe vizuri
 
Back
Top Bottom