FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Reform kazini, hata mpira wakicheza kuna muda coach anabadili "formation" ndiyo maana halisi ya ku reform.Anabadili positions za kete. Draft ni lile lile
Sioni mabadiliko ya maana hapo.
Ofisi ya Rais ni kubwa kuliko mnavyodhania.
Hiki cheo cha unaibu waziri mkuu kilianzia wakati wa mzee Rukhsa, mama sasa kakirudisha tena. Kuna sababu za muhimu sana tena sana, kuliko unavyofikiria.