BitekoWaziri wa nishati ni nani?
Ni mambo ya hovyo sn yaani anaamka asubuhi tu kuna kuwa na Naibu Waziri Mkuu?Rais angejiuzuru tuchangue mtu anayejielewa. Huwezi kuteua cheo ambacho hakipo kikatiba
Mazingira yanatengezwa.. ila ni mmoja ya watu waliotakiwa kupigwa chini kitambo sana.. hadi sasa hivi kuwepo hapo ni kwa mkono wa Bwana tu..Ngumu sana, katiba inambana sana kubadilisha PM, hadi avunje kabisa baraza la mawaziri.
Ukipata msaidizi. Maana akusaidie...Ukimtafutia PM msaidizi unakuwa umempa ujumbe gani?
Wataalam wa siasa njooni mtupe majibu.
Njia ya urais imeshatengenezwa kwakeHuyo kipara wa umeme wamtoe kabisaa kudadek zake shwaini
Kwanini kiwe cha utashi badala ya kuwa cha kikatiba?Hiki cheo mara ya mwisho alikishika Mrema kama sikosei enzi za Mwinyi.
Kiuhalisia ni cheo cha utashi wa raisi, hakipo kikatiba.
Mzee wa tozo,itakuwa kakasirika sana kutochaguliwa naibu waziri mkuu.Kama Mzee wa Tozo yupi hakuna mabadiliko hapo wala sihangaiki kufatilia...
Hakuna tija yoyote ni teua tenguaNI KUONGEZA UMASIKINI TU???
Hakuna lolote ni matumizi mabaya ya fedha za ummaJE HAWA MAWAZIRI WANA TIJA GANI KWENYE NCHI YETU????
Majaliwa ni bora ajiuzulu tuvipi kuhusu nafasi ya Majaliwa?
kwanini mkuu? Ufafanuzi kidogo kwenye hili kama unalielewa vyemaMajaliwa ni bora ajiuzulu tu
Sisi tunajua ni msukuma.Hayo mengine mtajua wenyewe.Biteko ni mtutsi siyo msubi