92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Ningekuwa sikauki ofisini kwa memba mwenzangu wa JF navimba kama nipo nyumbani kumbe ofisi ya umma😂😂Mkuu wekapo basi energy drinks,juice, ice cream na soda za kutosha reception ofisini kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningekuwa sikauki ofisini kwa memba mwenzangu wa JF navimba kama nipo nyumbani kumbe ofisi ya umma😂😂Mkuu wekapo basi energy drinks,juice, ice cream na soda za kutosha reception ofisini kwako
Wewe ndo mkabila na mdini. Ngojea tu referendum ipiteWe jamaa unaangalia makabila tu ,nenda kweny kesi ya mirathi na utapeli utaona ndugu zako kibao .
Naungana na jamaa mmoja hapa Jf alissema ukifuatilia siasa za Tanzania alafu ukawa comfortable bila ya stress basi jehanamu haitakuwa ngumu kuishi huko .Biteko
Yani naibu waziri mkuu at the same time ni waziri wa nishati..
Lakini kwenye unaibu waziri mkuu atashughulikia mambo ya uratibu wa serikali...
Kichwa lazima kikuzunguke[emoji3]
Hivi hawatoingiliana na PM? Au naibu atakuwa ana deal na niniCheo cha Mrema( RIP) Kimerudishwa
Mkuu wekapo basi energy drinks,juice, ice cream na soda za kutosha reception ofisini kwako
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko na teuzi za sura mpya kwenye baraza la mawaziri. Uapisho utafanyika September 1, Ikulu ndogo Zanzibar saa tano kamili asubuhi.
1. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Awali alikuwa Waziri wa Madini.
2. Amemteua January Makamba kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali alikuwa Waziri wa Nishati.
3. Amemhamisha Balozi Pindi Chana kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Awali alikuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
4. Amemhamisha Steven Byabato kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali, Byabato alikuwa Naibu Waziri wa Nishati.
5. Amemteua Jerry Silaa kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Silaa ni Mbunge wa Ukonga, Dar es Salaam.
6. Rais amemteua Anthony Mavunde kuwa waziri wa madini, mwanzo alikuwa naibu waziri wa kilimo.
7. Prof Makame Mbarawa aliyekuwa waziri wa ujenzi na uchukuzi amekuwa waziri wa uchukuzi.
8. Innocent Bashungwa amekuwa waziri wa ujenzi, mwanzo alikuwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa.
9. Godfrey Kasekenya aliyekuwa Naibu waziri wa Ujenzi na uchukuzi ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Ujenzi
10. Alexander Mnyeti ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Kilimo
11. David Mwakiposa Kihenzile ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Uchukuzi. Ni mbunge wa Jimbo la Mufindi
12. Judith Kapinga ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa nishati, ni mbunge wa viti maalum Ruvuma.
13. Dunstan Kitandula ameteuliwa Naibu Waziri wa maliasili na Utalii, ni mbunge wa Mkinga
14. Stergomena Tax amehamishwa wizara ya mambo ya Nje kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
15. Angellah Kairuki amehamishwa kutoka TAMISEMI na kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii
16. Dkt. Damas Ndumbaro amehamishwa kutoka Wizara ya Katiba ba Sheria na kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
View: https://www.youtube.com/watch?v=7bLEuvgVGG4
======
View attachment 2733279
View attachment 2733280
View attachment 2733281
View attachment 2733282
Hakipo kikatiba ila Katiba inampa mamlaka Rais kuunda vitengo na nafasi za uongozi Serikalini kadiri anavyoona inafaaHivi cheo cha naibu waziri mkuu huwa kipo
Kassimu majaliwa unapewa ujumbe hapa. Je unapwaya au hawakutaki? kwanini umepewa msaidizi Tena kinyume cha katiba?
Lakini uteuzi huu wa naibu waziri mkuu na huyo mnyeti ni danganya toto kwa wasukuma ambao wameoneka kuwa na mwitikio mkubwa katika oparesheni za Chadema na ni dhahiri hawataki kusikia kuhusu sa100.
Maandalizi na pia kuiomba kanda ya ziwa imuunge mkono bi tozo. Maana mpaka sasa hawana habari nae na walimpa makavu live.Hii nafasi ipo kikatiba au ndo kusema Kassim Majaliwa haaminiki tena!?
Huko alikopelekwa napo atacheza na interest zake hasa Kenya, kuna vitu atavirahisisha tu kwa Kenya.Huyo kipara wa umeme wamtoe kabisaa kudadek zake shwaini
Woyo woyo woyoooooooo mkuu ukiteuliwa usinisahau 😂😂😂😂
KWAHIYO MAMA ANGELINA MABULA KICHWA KIMELIWAAA
Ilimradi ametolewa Nishati hilo ndilo lilikuwa hitaji letu, hayo mengine mtajuana wenyewe ambao mna uwezo wa kuongea na Mungu hadi mnajuwa duniani mtaishi muda gani.Mambo ya nje ni jirani na uraisi.