peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Haya, someni hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unaguna?Mhhh.
Iyo hiyo aliko JM sasa..Membe alikuwa wizara gani?
Mnyonge mnyonge Ila haki yake apewe, Mchengerwa kipindi Yuko Tamisemi aliitendea haki sana hiyo wizaraAcha uvivu, google, mkwe kapelekwa TAMISEMI kukusanya hela kwa DEDs na uchaguzi wa serikali za mitaa
Kama cheo hakipo kikatiba Ila bado kinaundwa kwa hoja kuwa 'Rais ana madaraka ya kufanya hivyo kwa katiba hiyo hiyo isiyokitambua hicho cheo' hilo ni tatizo kubwa mno.Analipwa kwa kutumia kigezo gani?
Kikatiba nafasi hiyo haipo. Naibu Waziri Mkuu haingii katika Baraza la Mawaziri.
Sijui wanagawana vipi mapesa kwa jina la mafao lakini najua kuna kitu kinaitwa 'presidential appointees'
Hawa wana mafungu wanayolipwa ! Tunahitaji Katiba kuweka mambo sawa
Fikria kwamba Mbunge analipwa kiinua mgongo kila baada ya miaka 5. Akikaa Bungeni miaka 10 ,15 au 20 analipwa kila baada ya miaka 5. Hivi kazi gani nyingine tena unayoweza kupata ladha na utamu kama huo.
Ukiwaona wapo kimya Dodoma si kwasababu wana nidhamu ni kwasababu asali imewakolea wanahofia kupaliwa.
Tunahitaji Katiba ili kuweka mambo sawa. Kwanini Mbunge akopeshwe V8 na sehemu ya Mkopo walipe Wananchi tena kila baada ya miaka 5. Tuna tatizo kubwa sana , tunahitaji Katiba
JokaKuu
Labda amechoka kudanganywa.Hii nafasi ipo kikatiba au ndo kusema Kassim Majaliwa haaminiki tena!?
Jibu lako ni lina sehemu mbili '' YES and NO'Kama cheo hakipo kikatiba Ila bado kinaundwa kwa hoja kuwa 'Rais ana madaraka ya kufanya hivyo kwa katiba hiyo hiyo isiyokitambua hicho cheo' hilo ni tatizo kubwa mno.
Hapa ni suala la ufundi. Rais alijua kwamba Naibu Waziri Mkuu kama Manaibu wengine na kwa kuwa hana nafasi kikatiba hataweza kuingia Baraza la Mawaziri. Rais anafahamu ili awe ''effective' Naibu Waziri Mkuu ni lazima ahudhurie vikao ambavyo yeye ana hadhi kuliko Mawaziri. Njia aliyotumia ni kumpa uwaziri wa Nishati ili aweze kuingia katika Baraza la MawaziriNaibu PM haingi baraza la mawaziri Ila bado itabidi awepo kwa kuwa ni waziri wa nishati...maajabu haya
Siyo kwamba haiendani ni kwamba haifai hata kwa bahati mbaya. Ukiisoma utabaki na maumivu ni afadhali usi isome kabisa. Mfano, Katiba hii haimzuii Rais kuwa na Baraza la Mawaziri 50 akitaka. Katina hii inamtambua Rais kama Amir Jeshi Mkuu lakini akiwa Zanzibar ni Amir Jeshi Mkuu Mwenza. n.k.Katiba hii ya mwaka 1977 haiendani kabisa na wakati tulionao huo ndio ukweli.
Hajawahi kuwa TAMISEMI alikuwa utumishiMnyonge mnyonge Ila haki yake apewe, Mchengerwa kipindi Yuko Tamisemi aliitendea haki sana hiyo wizara
Naona unachanganya mafaili sasa.Hii ilikuwa ni baada ya Nyerere kuondoka na Waryoba hakukaa muda kabla ya Msuya kuchukua usukani kama waziri mkuu.
Ni kweli.Naona
Naona unachanganya mafaili sasa.
Enzi za utawala Mzee Mwinyi kulikuwa na Mawazili wakuu Watatu tu alianza Joseph Warioba(1985-1991), John Malechela(1991-1993) na Mzee Msuya(1993-1995).
Pia Manaibu waziri wakuu katika uongozi wa Mzee Mwinyi tulikuwa nao wawili tu ambao ni Salimu ambaye alikuwa Waziri wa ulinzi na Naibu waziri Mkuu(1986 Hadi 1989) pia na Mzee Mrema.
Lakini unapaswa ukumbuke Kabla ya uchaguzi wa Tanzania wa mwaka 1990 Salim A.Salim alikuwa Ethiopia teyari kama Katibu mkuu wa OAU na kuwaachia licheo lisilo na maana la kisiasa.
huyo Hana connection yoyote , Iko straight forward , kutoka o level , butimba tcc, certificate hapo hapo , akaenda china kupiga certificate, akarudi morogoro tc akapiga diploma , akarudi sauti kapiga degree na masters , SHIDA ipo wapi ? Kila kitu kipo waziIla na elimu yake ukisikiliza vizuri ina connection na chenga nyingi sana😂
Bahati ni bahati... 😂
Acha kabisaHuyu jamaa ni mmoja ya watu wachche nchini wanaofaidi vilivho keki ya Taifa. Kwa mwezi sijui ana mishahara mingapi! Maana ana mshahara wa ubunge, uwaziri, unaibu Waziri mkuu! Kama huko kote hapati mishahara, basi posho nono hazikosekani.
Nakubali nitalifanyia kaziKasome kitu inaitwa corporate politics .hata ww utakuwa