Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mradi lazima utikiMida ya kushusha hotel nyota 10 pale ngorongoro. Wawekezaji wawezeshwe
Au nasema uwongo ndugu zangu
Adui mkubwa wa Sukuma gang alikuwa ndani ya CCM.Maliasili imebadilishwa leo leo with immediate effect! Anyway acha tushangilie Sukuma Gang wanavyotiwa adabu [emoji3061]
Ili meno ya tembo yasafirishwe kwenda Eshia kwa urahisi na kwa wepesi zaidi.Lengo hasa la haya mabadiliko wakati huu ni nini ?
Tulia Msukuma , tunasafisha nchi...
sio huu umeme unaokatika katika umesababisha Hilo frijiMkuu, kuna member mmoja friji lake haligandishi hadi ameamua akufungulie uzi kwa hizi tabiri zako zinazo ishi...🤣🤣
Muuza meno ya tembo karudi. Jamani Tembo wetuuuuu.Maliasili imebadilishwa leo leo with immediate effect! Anyway acha tushangilie Sukuma Gang wanavyotiwa adabu [emoji3061]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkome!Masikini Tembo wetu [emoji2297]
Sura yake tu ilivyo inatosha Kukueleza 'how incompetent He is' na sijui 'Wateule' wake waliona au walivutiwa na nini Kwake.Simbachawene alipwaya wizara aliyokuwepo naamini yeye ndie chanzo cha mabadiliko haya.
Huyu mupe, yure muruke murah!Toa huyu peleka pale mpe yule muache yule mkipenda ajirini familia zenu ila mwisho wa yote performance itawapa result huku mtaani.
Kinana anatufaa huko akaupige mwingi tupeleke koroshoKaa chonjo kuna mabadiliko Madogo kwenye Makatibu Sehemu Tatu , alafu kwenye watendaji wa Ubalozi Mashariki Ya mbali tunabadili
Anaongea mambo ya simba simba hadharani vile alijua yupo salama, hahahaha kapigwa na kitu kizito kuleeeeeePongezi kwa wateule wote.
Dr. Ndumbaro anapaswa aiweke hii wizara vizuri.
Huna unachojua tapeli mkubwa wee!Kaa chonjo kuna mabadiliko Madogo kwenye Makatibu Sehemu Tatu , alafu kwenye watendaji wa Ubalozi Mashariki Ya mbali tunabadili
Mali asili na utalii bado haijapata mtu.
Mtu sahihi hiyo wizara ni Bashe
One man down TISS uchwaraHuyu mama huyu? Anyway ngoja tuone miaka mitatu iliyobaki ataifanyia nini
Tembo tu?Masikini Tembo wetu 🙆♂️