Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene apelekwa Ofisi ya Waziri Mkuu, Ndumbaro aenda Katiba na Sheria, Pindi Chana Maliasili na Utalii

Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene apelekwa Ofisi ya Waziri Mkuu, Ndumbaro aenda Katiba na Sheria, Pindi Chana Maliasili na Utalii

Tulia Msukuma , tunasafisha nchi...
IMG-20220331-WA0111.jpg
 
Mkuu, kuna member mmoja friji lake haligandishi hadi ameamua akufungulie uzi kwa hizi tabiri zako zinazo ishi...🤣🤣
sio huu umeme unaokatika katika umesababisha Hilo friji
tulidhani hiyo Wizara itaguswa, ili tusinunue majenereta na petrol usipande kumbe ni mbuga ya Ngorongoro ndio kisa
 
Maliasili imebadilishwa leo leo with immediate effect! Anyway acha tushangilie Sukuma Gang wanavyotiwa adabu [emoji3061]
Muuza meno ya tembo karudi. Jamani Tembo wetuuuuu.
 
Sasa hii nayo ni Breaking news? Habari imekamilika halafu mnaita breaking news?. Kubadilishwa mawaziri watatu tena kuingia kwenye wizara nyingine tu nayo ni Breaking news? 🤔
 
Kuna stage moja haijavukwa tukivuka hapo hakuna kurudi nyuma kama taifa.
===
Nawatakia kazi njema wateuliwa, kuelekea kuivusha nchi kwenye hatua hiyo muhimu.
 
Back
Top Bottom