Mabadiliko makubwa yaja! Mzee wa Shelui jiandae

Hivi kwanini vichwa vya kaskazi vinaogopwa sana?
 
Hivi kwanini vichwa vya kaskazi vinaogopwa sana?
 
Hivi kwanini vichwa vya kaskazi vinaogopwa sana?
 
Kimei ni kimeo hakuna mtu mle pale CRDB alizunguka na vichwa sana kina DK Kalugendo

USSR
Watu hawajui kuwa kaimu mkurugenzi wa CRDB kwa kipindi kirefu ilikuwa lazima atoke Denmark. Hawa ndio waliotoa fedha ya kuiokoa CRDB na wakawa na shares karibuni 30%. So walikuwa wanashiriki shughuli za kiutendaji za kila siku hadi pale waliporidhika na kuachia shares zao, na hiyo ilikuwa takribani zaidi ya miaka 10 baadaye.
Huyo Dkt naye mpigaji tu, sema ni mbobevu sana kwenye sekta hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…