Mabadiliko TRA: Kamishna wa Forodha Mtanganyika Said Athuman Kiondo aondolewa awekwa Juma Bakari Hassan kutoka Zanzibar

Kwa sasa kikatiba hakuna kitu kinaitwa Tanganyika na badala yake Kuna jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) kwahiyo wazanzibari kama watanzania wengine Wana haki ya kuajiriwa na kufanya kazi sehemu yoyote ndani ya muungano japo mambo yaliyopo chini ya serikali ya mapinduzi ya Zanzibar ni ya wazanzibari peke Yao.
 
Ikivunjika Tanzania wachagga wote mrudi Moshi
 
Zanzibar wana ZPC zanzibar port coparation
 
Ni rahisi na si kinyume cha sheria mzanzibar kuteuliwa nafasi yoyote eneo lolote Tanganyika lkn ni marufuku mtanganyika kuajiriwa Zenj.

Japo kuna hoja ya mkuu wa kitengo cha habari Zanzibar kuwa mtanganyika
 
Mungu ibariki Tanganyika
 
Miye nilishawasihi TPDF kufuatilia motive ya huyu mama! Hivi wale combat intelligensia wa JW wako wapi!? TISS wamelambishwa ASALI tayari! Something serious is cooking! WATCH IT! it is coming!
 
Mleta uzii anashangaa na wengine pia wanashangaa kwa sababu mfumo wenyewe wa Muungano hauna tafsiri kwa vile Tanganyika haipo vyatanganyika vyote ni vyaa muungano
 
Miye nilishawasihi TPDF kufuatilia motive ya huyu mama! Hivi wale combat intelligensia wa JW wako wapi!? TISS wamelambishwa ASALI tayari! Something serious is cooking! WATCH IT! it is coming!
Kajambe ulale. Inawauma bandari tu watu wa kanisani.
 
ukisoma Katina Kuna ma, mambo ya muungano na yasiyo ya muungano hivyo wakienda mahakamani serikali itashindwa mapema.
Mnachoshindwa kuelewa ni kwamba mambo ya muungano yanaihusu Tanganyika na Zanzibar. Na Yale ambayo siyo ya muungano yanaihusu Zanzibar peke yake. Kwahiyo wazanzibari Wana haki ya kushiriki kila kitu huku Tz bara kwa sababu mambo ya Tanganyika yote ni ya muungano ila watanganyika hawawezi kushiriki mambo ya Zanzibar kwakuwa mambo ya Zanzibar siyo ya muungano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…