Mabadiliko ya katiba kutoa ukomo wa raisi kuongoza miaka kumi tuu na kumpa nafasi Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan kugombea tena 2030

Hata bila mabadiliko ya katiba, mama Samia ana haki ya kugombea mara mbili.

Hii awamu siyo yake.
Hili tuliliongea mkalikataa. Tuliwaambia mama anamalizia awamu ya 5 ya Magufuli kikatiba mkakataa mkasema hii ni awamu ya 6. Sasa awamu unayosema siyo ya Samia ni ipi? ya 5, au ya 6 kwa maana awamu ya ya Magu ilikuwa ya 5.
 
Hili tuliliongea mkalikataa. Tuliwaambia mama anamalizia awamu ya 5 ya Magufuli kikatiba mkakataa mkasema hii ni awamu ya 6. Sasa awamu unayosema siyo ya Samia ni ipi? ya 5, au 6?

Kila mmoja na uelewa wake, wengine wanakataa wengine wanakubali. Mwisho wa siku wataalaam wanamuwa.
 
Badison dishi linayumba, yaani umekaa ukaona itungwe katiba kwa ajili ya "mama kutuvusha!"
 
Some human are dead walking, hopeless hopeless
 
Hata bila mabadiliko ya katiba, mama Samia ana haki ya kugombea mara mbili.

Hii awamu siyo yake.
Awamu ya 6 ni ya nani kama siyo yake? katiba inasema awamu 2. kama hii ni yake basi ni awamu ya kwanza hata kama kahudumu kwa miaka2 ijayo ni ya mwisho.
 
Awamu ya 6 ni ya nani kama siyo yake? katiba inasema awamu 2. kama hii ni yake basi ni awamu ya kwanza hata kama kahudumu kwa miaka2 ijayo ni ya mwisho.
Ya mama Sami na hata 2025 itaendelea kuwa awamu ya sita.
 
una washwa??
 
Hata bila mabadiliko ya katiba, mama Samia ana haki ya kugombea mara mbili.

Hii awamu siyo yake.
Watu kama nyie ndio mnakosoa maandiko ya Maaskofu wa TEC watu waliosoma mpaka wakanuka vitabu mkuu? Mbona weupe sana vichwani?
 
Mkuu hii Nchi ngumu sana na pia hii awamu ya 6 siyo ya samia kwani hajapigiwa kura wala hajatoa ahadi yoyote kwa mtanzania bali Dkt Samia anamalizia alichoanzisha Hayati Magufuli.

Awamu ya mama itakuwa ya 7 inamaanisha kwamba mwaka 2025 mama atagombea na kutoa ahadi zake kwa watanzania na akichaguliwa ndiyo awamu ya saba inaanzamo na awamu ya muhula wa pili ya mama itakuwa 2030. Kwaiyo kuanzia 2030 kuendelea ndiyo kama tukibadili katiba.

Yani Dk samia bado tunae sana kama miaka 12 imebaki ngoma bado mbichi
 
una washwa??
Kwanini humpendi raisi wako mimi siwezi kuwa muongo Magufuli nilimpenda sana na amekufa akisakamwa na nikajifunza kuwa kiongozi mzuri anachukiwa kama mama Samia. Siwezi kumpenda ruto au kagame alafu nimchukie Samia. Laana ya mzee John inawatafuna ndiyo mana mna hasira na mama
 
Zamu yenu, badirisheni lolote. Itafika zamu ya wengine.
 
Nimeamini Mchawi sio lazima AKULOGE usiku.
Hata maneno TU Kama haya NI uchawi tosha
 
Nimeamini Mchawi sio lazima AKULOGE usiku.
Hata maneno TU Kama haya NI uchawi tosha
Uliambiwa soma ukakataa ona sasa unaamini ushirikina rudi shule
 
Wewe ni mpumbavu. Hata maelezo sina ila wewe badison ni kiazi mbatata kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…