uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Amini amini nawaambieni mada hii siyo kwaajili ya shekeli wala vipande vya dhahabu na fedha bali kuzuia vurugu za wale wenye tamaa ya 2030
Ok, nimekusikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amini amini nawaambieni mada hii siyo kwaajili ya shekeli wala vipande vya dhahabu na fedha bali kuzuia vurugu za wale wenye tamaa ya 2030
Hili tuliliongea mkalikataa. Tuliwaambia mama anamalizia awamu ya 5 ya Magufuli kikatiba mkakataa mkasema hii ni awamu ya 6. Sasa awamu unayosema siyo ya Samia ni ipi? ya 5, au ya 6 kwa maana awamu ya ya Magu ilikuwa ya 5.Hata bila mabadiliko ya katiba, mama Samia ana haki ya kugombea mara mbili.
Hii awamu siyo yake.
Hili tuliliongea mkalikataa. Tuliwaambia mama anamalizia awamu ya 5 ya Magufuli kikatiba mkakataa mkasema hii ni awamu ya 6. Sasa awamu unayosema siyo ya Samia ni ipi? ya 5, au 6?
Badison dishi linayumba, yaani umekaa ukaona itungwe katiba kwa ajili ya "mama kutuvusha!"Ndugu zangu watanzania katiba yetu imeweka ukomo wa muhula mmoja wa viongozi akiwamo rais na wabunge kuchaguliwa kila baada ya miaka mitano. Hii ni nzuri ila tatizo kubwa ni kwamba katiba imeweka ukomo wa raisi kuwa miaka 10 tuu kitu ambacho sio sahihi.
Ni muda muafaka kifungu hicho kifanyiwe marekebisho haraka ili raisi aweze kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi na kuendelea. Miaka mitano au kumi ni michache sana kumpatia mama atuvushe. Kwaiyo mfano katiba mpya ikija iwe na option kama raisi akitaka kugombea agombee tena na sio miaka kumi ikiisha ndiyo basi.
Hii imekaa poa manake kuna katiba za vyama watu wanaruhusiwa kugombea nafasi hadi miaka 20 na kuendelea .
Pamoja tuungane na tujenge taifa letu
Awamu ya 6 ni ya nani kama siyo yake? katiba inasema awamu 2. kama hii ni yake basi ni awamu ya kwanza hata kama kahudumu kwa miaka2 ijayo ni ya mwisho.Hata bila mabadiliko ya katiba, mama Samia ana haki ya kugombea mara mbili.
Hii awamu siyo yake.
Ya mama Sami na hata 2025 itaendelea kuwa awamu ya sita.Awamu ya 6 ni ya nani kama siyo yake? katiba inasema awamu 2. kama hii ni yake basi ni awamu ya kwanza hata kama kahudumu kwa miaka2 ijayo ni ya mwisho.
una washwa??Ndugu zangu watanzania katiba yetu imeweka ukomo wa muhula mmoja wa viongozi akiwamo rais na wabunge kuchaguliwa kila baada ya miaka mitano. Hii ni nzuri ila tatizo kubwa ni kwamba katiba imeweka ukomo wa raisi kuwa miaka 10 tuu kitu ambacho sio sahihi.
Ni muda muafaka kifungu hicho kifanyiwe marekebisho haraka ili raisi aweze kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi na kuendelea. Miaka mitano au kumi ni michache sana kumpatia mama atuvushe. Kwaiyo mfano katiba mpya ikija iwe na option kama raisi akitaka kugombea agombee tena na sio miaka kumi ikiisha ndiyo basi.
Hii imekaa poa manake kuna katiba za vyama watu wanaruhusiwa kugombea nafasi hadi miaka 20 na kuendelea .
Pamoja tuungane na tujenge taifa letu
Hata bila mabadiliko ya katiba, mama Samia ana haki ya kugombea mara mbili.
Hii awamu siyo yake.
Mkuu hii Nchi ngumu sana na pia hii awamu ya 6 siyo ya samia kwani hajapigiwa kura wala hajatoa ahadi yoyote kwa mtanzania bali Dkt Samia anamalizia alichoanzisha Hayati Magufuli.Mavi weee...
Kwahiyo siku akija kichaa naye abadili kuongoza milele?
Hivi nyie weusi hamjui kwann ni maskini kuanzia wa mali hadi fikira kwakua mnatumia tumbo kufikiri?
Muda wote mnawaza kula na kutapanya kila kitu, na kwamba wajukuu zenu watajijua wenyewe wakija, wakti wazungu wenzangu wanakuja kuwalaghai na vipande vichache vya hela kama rushwa kwa ajili ya wajukuu zao, na sio wao binafsi.
Najiita mzungu maana nataka ni bleach hii ngozi yangu ya laana.
Kwanini humpendi raisi wako mimi siwezi kuwa muongo Magufuli nilimpenda sana na amekufa akisakamwa na nikajifunza kuwa kiongozi mzuri anachukiwa kama mama Samia. Siwezi kumpenda ruto au kagame alafu nimchukie Samia. Laana ya mzee John inawatafuna ndiyo mana mna hasira na mamauna washwa??
Yan mpaka ummy,uweso ETI nao wako kwenye race za uceo, hii cabinet Ina wehu watupu, wazee Haya yote ni kazi ya mikono yenu
Amka utakojoa kitandaniWe dare to speak openly Mkuu hapa jamii forum
Nimeamini Mchawi sio lazima AKULOGE usiku.Ndugu zangu watanzania katiba yetu imeweka ukomo wa muhula mmoja wa viongozi akiwamo rais na wabunge kuchaguliwa kila baada ya miaka mitano. Hii ni nzuri ila tatizo kubwa ni kwamba katiba imeweka ukomo wa raisi kuwa miaka 10 tuu kitu ambacho sio sahihi.
Ni muda muafaka kifungu hicho kifanyiwe marekebisho haraka ili raisi aweze kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi na kuendelea. Miaka mitano au kumi ni michache sana kumpatia mama atuvushe. Kwaiyo mfano katiba mpya ikija iwe na option kama raisi akitaka kugombea agombee tena na sio miaka kumi ikiisha ndiyo basi.
Hii imekaa poa manake kuna katiba za vyama watu wanaruhusiwa kugombea nafasi hadi miaka 20 na kuendelea .
Pamoja tuungane na tujenge taifa letu
Mpaka bashe 🤣🤣 aisee,Hatari sana. Sisi yetu macho tu
Mpaka bashe [emoji1787][emoji1787] aisee,
Wewe ni mpumbavu. Hata maelezo sina ila wewe badison ni kiazi mbatata kabisaNdugu zangu watanzania katiba yetu imeweka ukomo wa muhula mmoja wa viongozi akiwamo rais na wabunge kuchaguliwa kila baada ya miaka mitano. Hii ni nzuri ila tatizo kubwa ni kwamba katiba imeweka ukomo wa raisi kuwa miaka 10 tuu kitu ambacho sio sahihi.