Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Wameunganisha na uzi mwingine ambao ulikua unalalamikia mwonekano mpya, ila sasa huo waliounganisha hauna kupiga kura. Ndo shida ilipoanzia.
 
Wadau katika Maisha kuna washauri wengine ni wapotoshaji , na una kuta hapo ww unaeshauriwa na huyo mtu basi na ww ndio unamkubali sana, kumbe ushauri wake ni unakupotosha tu.

Hakika muonekano mpya wa JF in terms of color hakika Melo kaingia Choo vha watoto wa kindergarten
Muonekano mpya ni horrible sanaa

Ni kheri Melo na kamati yako muliangalie upyaa
 
Unaweza kubadili background color rangi tatu tofauti, na zote bomba sana. Nimependa sana muonekano wa sasa na font pia. Seach function kwangu inafanya kazi bila shida, na tena very fast. Kudos to Melo and his team.
 
Irudishwe Jamiiforums ile iliyokuwepo mwanzoni kisha watupe nafasi ya kuanza Upya Mchakato wa kutoa Maoni na Mapendekezo ya nini tunataka Wadau wa JF. Japo wengi wape lakini mimi hii Mimaandishi bado kabisa sijaielewa. Fonts gani kama tuko Shule ya Msingi Bwana, Ndiyo nini sasa?

Default Font naomba irejeshwe ile maalum (special) ya mwanzo. Tafadhalini sana.
 
Kama lengo la uboreshwaji pia ni wenye uono mdogo waweze kunufaika pia ni jambo zuri..changamoto yangu ni kule chinii mwishoni nikitaka kwenda next list of thread ni mpaka nirudi juuuuu😁😁😁 ndipo niweze kunext...sijajua kama kuna mwingine ana hii changamoto maana kwa ile iliyokuwepo pale mwishoni ukitaka kwenda next mwsho kuna mishale tu unaclick unatembea mbele..natumia web version kwenye chrome.shukran
 
Dah. Nilidhani ni mimi mwenyewe sijaelewa huu muonekano mpya
 
swala la utendaji JF kuna tatizo na linapo kwenda.kuna siku nilisha uliza wakafuta uzi unaosema ikitokea mpinzani wa JF ndio akili zitawakaa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…