Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Kuwa na heshima, Melo ni Kama Baba tukiwa humuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€­πŸ€­
Chengine wekeni kitufe cha kuomba msamaha ban ya wiki mbili sio mchezo nyie..!

Max melo uje ujaribu nawewe kujipiga ban uone utamu kunoga..πŸ˜‚
 
Tunayasubiri kwa hamu kubwa hayo maboresho.

Kingine mjitahidi kuzingatia maadili. Lugha za matusi na zisizo za kistaarabu zimeshamiri sana. Watu wanatukana matusi mazito sana humu. Lifanyieni kazi.
 
Namna hiyo, kazi nzuri...

Muupigeni mwingi kwenye huo muonekano mpya.
 
Pamoja sana Mr.Max, JF is our sanctuary, our temple where we learn and unlearn, our hub of "just be whoever you are" , voice of justice and so much more.. we thank you for this precious gift.. keep it up!!
 
Ahsante , nashauri app yenu iliyopo play store kwa watumiaji wa mfumo wa Android iboreshwe, msiitoe maana Kuna sehemu niliona mnataka /mna mpango wa kuitoa ili tuwe tunatumia app iliyoko kwa website yetu kitu ambacho nimejaribu kuitumia na kubaini kuwa haina Radha kabisa,

Binafsi sijawahi kuielewa kabisa app yenu iliyoko kwa site kuliko ya play store. Mkiitoa huko play store mtanitesa sana
 
Shukran sana mkuu
So logo yetu itabadilika pia au itabaki kama ilivyo manake tumeizoea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…