Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
[emoji1545][emoji1545][emoji1534][emoji626]Wakuu,
Tupo kwenye hatua za mwisho kuja na JF yenye mwonekano mpya ambayo inaendana na mabadiliko ya teknolojia. Ndani ya saa 72 zijazo mabadiliko haya yataonekana kwa wengi.
Katika mabadiliko haya, huenda ukakutana na kitu kikakufurahisha, kikakuchanganya, kikakufanya uone kuna haja ya kuongeza au kupunguza n.k - usisite kutujulisha kupitia uzi huu.
Thread hii itatumika kukusanya maoni yenu na yatazingatiwa ajili ya kujenga sehemu bora na salama zaidi kwa ajili ya kila mmoja wetu.
Kwa wale watumiaji wa App, tunashauri kujaribu App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi kwani itaendana vema zaidi na kinachokuja.
Tunawashukuru kwa ushirikiano mnaotupa kila mara kwani hadi toleo hili ni tokana na maoni yenu.
Kutakuwa na features kadhaa hazitakuwa released mapema hadi zikamilike kufanyiwa testing ndipo ziwe applied.
Tunawapenda, tunawajali na tunaahidi kuendelea kutoa huduma bora.
Asanteni sana!
Unataka tusibakie na record za uzi zako...Kuwe na option yakufuta thread,mkuu melo fanyia kazi wazo hilo sio mnang’ang’ania nyuzi zetu kama msafu ama biblia!,la mwisho kabisa kuwa na member wa blue tiki na la nyongeza kabisa kuwa na kitufe cha kupiga ban mod yeyote atayezingua!
AmenMungu zidi kuibariki JF
Hamna kama mtu kaandika miyeyusho unampa dislike yake unalala mbele kama youtube vile😁Unataka kuleta ugomvi sasa[emoji23][emoji23]
Ee ndio huyohuyo anaitwa Genta nini sijuiPIA Wampunguzie BAN Miss antibiotic a.k.a GENTAMYCINE
Hebu subiri kwanza ni kwamba comment uliyoiandika mwenyewe ukifuta ni kosa au maana sijaelewa hizo reasons hapo juuNdugu Max mimi naomba mniambie kwanini ni mimi peke yangu ndio napigwa Ban kila nikifuta Comments tena Ban zangu hua za kuanzia mwezi hadi miezi 7. Why only me?? Wakati sio mwenyewe ninaefuta michango. Kuna watu humu ni vinara wa kufuta Comments ila hawajawahi kupigwa ban ila mm nikifuta tu.. nakula ya miezi
Inauma sana😞😞😔😔
View attachment 2239898View attachment 2239900
Unahitaji ban, tulishanyimwa kuwahi seat.front seat melo
Safi sana jitu Umeli Block bado unapata Mada zake za hovyoMbona mi sipati notification?
Kuna watu tunawablock ila bado wakianzisha mada twaona mada zao
Kwanini msiweke ukimtia mtu block usione mada yoyote anayoanzisha wala hata changizo zake zozote zile
Pia kwanini msituwekee uwezo wa kuzuia mada fulani, tusizione kabisa ie mada za kukashfu dini za wengine etc
Unataka tusibakie na record za uzi zako...