Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Pole kwa tatizo lako ila kiukweli hata mimi kuna siku ulinifutia comment nikaonekana kama najisemesha

Sio mchongo kwa kweli
 
Mkuu,
Hongera sana kwa kazi nzuri ya kuwaunganisha great thinkers.

Naomba Option hii iwepo, mwanzilishi wa uzi awe na uwezo wa kuzuia comments kwenye uzi wake hususani kwa zile nyuzi zenye mtiririko maalum.
 
Da'Vinci ukiweza kubali maonyo wala huna haja ya kushupaza shingo na kujaribu kufanya ulinganifu wa hiki na kile.

Ukiweza badilika na usifute comments zako za nyuma.. Fuata kanuni, sheria na taratibu za JF uone kama utapigwa ban yoyote.. Just OBEY N FOLLOW THE RULES! That much simple my young brother!
 
Polesana
 
Mkuu Maxence Melo huu ushauri wa kupewa onyo kabla ya kupigwa bani hebu uchukueni.

Mdau ameeleza vizuri, JF kuna watu wanaitumia kuwasiliana PM kwa mambo ya maana sana.

Siku hazifanani, unaweza kukosea kidogo ukapigwa ban, bila hata onyo au taarifa yoyote.

Vitu vyote vilivyoko PM huwezi kuvipata tena. Hili angalieni jinsi ya kuliweka sawa.

Walau mtu akipigwa ban ashindwe kuanzisha mada, kutoa maoni n.k. ila aruhusiwe kuperuzi.
 
We Melo,
Kunawatu humu majinayao muyabadilishe kama mnaweza, ilitusionekane tunatukana kwa mfano jina "chinembe" kibantu bantu linatafsirika kirahisi, mtu anaweza kuchafua haliyahewa humu kwa hoja kihoja ukimlinganisha na jinalake eti unakula ban, this is not fair.
 
Kuna jukwaa linaitwa jukwaa la wakubwa, naomba pamoja na mengine maboresho haya yaweke urahisi wa jukwaa hilo kufikika kirahisi, maana mpaka sasa sijajua wanaopaswa kushiriki kwenye hilo jukwaa wanatakiwa kuwa na vigezo gani.
Kwani lipo? Si walishafuta?
 
sio siri watumuaji wa app mmetutenga san lkn kwa ulimwengu wa mitandao ya kijamii wa sasa app ni rahis na inapendwa zaidi kuliko web.
.
so jitaifin kuleta updates kwenye app original sio ile webapp...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…