Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

True kuna majina humu ni balaa
Mf:

_ kitombile
_chinembe
_inama nkusweke
_kitombise
_nk
 
Melo kwanini hupokei matangazo ya vinywaji has bia na yale ya kubeti? Ni sera ya Jf kutopokea matangazo hayo? Tukiacha hayo bado Jf kwa ukubwa wake haipaswi kuzidiwa na blog au website yeyote hapa Tanzania kwa wingi wa Matangazo ya kibiashara!

Nini kinakwamishwa kupata matangazo? Nini shida
 
sio siri watumuaji wa app mmetutenga san lkn kwa ulimwengu wa mitandao ya kijamii wa sasa app ni rahis na inapendwa zaidi kuliko web.
.
so jitaifin kuleta updates kwenye app original sio ile webapp...
Ndo nililosema mie hili.
 
Baadae upige hatua,pawe na jukwaa la ujumbe wa sauti sometimes twende live kunawatu wana google vingereza humu kuandika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa haina shida
Pole kwa tatizo lako ila kiukweli hata mimi kuna siku ulinifutia comment nikaonekana kama najisemesha

Sio mchongo kwa kweli
Kwakweli pole na samahani kwa kilichotokea, kwa sasa sifanyi hivyo tena.
 
Hayo majukwaa yapo kitambo mbona
 
Ana matusi balaa coz anajua akipigw ban ana backup ya multiple ID

Jamaa ana account zaid ya 4
Kumzuiya mtu kuwa na multiple accounts ni sawa kabisa, lakini sijui wata fanyaje kwa mtu mwenye cm zaidi ya moja.

Otherwise nisawa, kunawatu wana jibu postizao wenyewe humu kama....!
 
Hili la muhimu Sana onyo Kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…