Mabadiliko ya Papa yashtua na kuzua gumzo kubwa

Mabadiliko ya Papa yashtua na kuzua gumzo kubwa

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
46,398
Reaction score
102,530
Hii imekuja baada ya papa kiongozi huyo wa dini kuugua kwa muda mrefu na kuzushiwa kifo.

Ambapo baada ya kutoka hospitali ameonekana kuwa tofauti kabisa na awali, licha ya kusema alizungumza na watu zaidi ya 1,000 baada ya kupona, ila hapa wanasema wanamfundisha baadhi ya maneno!.

Inasemekana ni cloning au ni double wake!
GmvnFHwXgAAF0dx.jpeg
 
Hii ime kuja baada ya papa kiongozi huyo wa dini kuugua kwa muda mrefu na kuzushiwa kifo.

ambapo baada ya kutoka hospital ame onekana kuwa tofauti kabisa na awali, licha ya kusema ali zungumza na watu zaidi ya 1000 baada ya kupona, ila hapa wana sema wana mfundisha baadhi ya maneno!.

ina semekana ni cloning au ni double wake!
View attachment 3281638
Katika Bold hapo ,kwann wafanye hivyoo?

Cloning inatumia muda gani mpk kukamilika?
 
Wazee wa conspiracy theories kwenye ubora wao. Yaani wamfanyie cloning mtu ambae nafasi yake inaweza chukuliwa muda wowote kwa uchaguzi?? Hii kali.
Mimi Sasa?, ndio issue trending kwa sasa maana changes zime shangaza watu wengi.

haya why asahau maneno?, si hata professor jay ali umwa vipi ali sahau ehh?
 
Back
Top Bottom