Mabadiliko ya Papa yashtua na kuzua gumzo kubwa

Mabadiliko ya Papa yashtua na kuzua gumzo kubwa

Ujinga ni kukomalia Papa kawekwa double wakati Mungu hata humuoni na wala hathibitishiki kuwapo.
Mkuu jumatatu njema
FB_IMG_17427221310009926.jpg
 
Professor Jay ni kijana kulinganisha na Papa Francis.

Hakuna sababu ya msingi ya kufanya human cloning halafu pia hakuna human cloning iliyowahi kufanyika kwa mafanikio.Cloning zilizofanikiwa ni zile za wanyama sio za binadamu.

Kama Papa akiona ana changamoto za kiafya au ameanza kupoteza kumbukumbu huwa anajiuzuru ili aje Papa mwingine,ni kama Papa Benedict wa 16 alivyojiuzuru ndipo akaja Papa Francis.
Basi ata kuwa double wake, ko papa ana sahau hadi maneno eti wamfundishe kuongea.
 
Propaganda tu , ni yule yule tu wala si vinginevyo.

Nachokifahamu ukatoliki unachimbwa sana duniani mwote, kutafuta makosa .

Huyu papa amepona pasipo tarajiwa, wengi walisema alikufa na wengi walidhani hata pona.
Badala yake imewashangaza wengi na kwa jinsi hio lazima waseme lolote .

Hata Yesu alipofufuka walisema si yeye hadi leo.
Mmojawapo ni mtoa mada, kimemuuma sana, anahangaika kuanzia Facebook
 
Kikubwa tujiulize swali la msingi na
Mleta mada, ingefaa utuletee habari iliyokamilika, utupe kile unachofikiria kinawafanya waudanganye ulimwengu.
Kuna sababu gani ya msingi ya kudanganya?
Chuki tu za kidini zimemjaa
 
Sina uhakika km hili jambo lipo ila km lipo mjomba hawa jamaa hawafikirii km tunavyofikiria sisi hta huo ugonjwa aliougua inawezekana wao ndio sababu baada ya kuona wakati wa kumfanyia mabdiliko umefika
Ana kipi special kabakisha kwamba lzm akifanye mpk walazimishe hili ? Kwann sio Papa wengine mpk awe huyu?
 
Wazee wa conspiracy theories kwenye ubora wao. Yaani wamfanyie cloning mtu ambae nafasi yake inaweza chukuliwa muda wowote kwa uchaguzi?? Hii kali.
Allloooo bora umekuja ndugu yangu bhana tunaomba madini

Uko vizuri sana kichwani siyo kama hawa akina mgerasi na popoma min -me
 
Sawa boss
Sema BABA YETU ULIYE MBINGUN JINA LAKO LITUKUZWE UFALME WAKO UFIKE UTAKALO LIFANYIKE DUNIAN KAMA MBINGU UTUPE LEO MKATE WETU WA KILA SIKU UTASAMEHE DENI ZETU KAMA NASI TUNAVYOWASAMEHE WALIO TUKOSEA USITUTIE KATIKA VISHAWISHI LAKINI UTUOPOE MAOVUNI

AMINA
 
Back
Top Bottom