The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Hata kwa wanyama hakuna clonning ya miezi 2 ikuletee mzee hivo.Professor Jay ni kijana kulinganisha na Papa Francis.
Hakuna sababu ya msingi ya kufanya human cloning halafu pia hakuna human cloning iliyowahi kufanyika kwa mafanikio.Cloning zilizofanikiwa ni zile za wanyama sio za binadamu.
Kama Papa akiona ana changamoto za kiafya au ameanza kupoteza kumbukumbu huwa anajiuzuru ili aje Papa mwingine,ni kama Papa Benedict wa 16 alivyojiuzuru ndipo akaja Papa Francis.
Watu wasinge kua wanafuga, Nikupiga clonning tu unafyatua nyama unauza